Wanawake ambao si waaminifu kwenye NDOA

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Ukiona mke wako muda wote yuko na simu yake karibu ujue kuna jamaa linachakachua. Yaani akiwa jikoni simu pembeni, bafuni simu pembeni, anafua simu pembeni, anakula simu pembeni. Lakini mke mwaminifu wala hakumbuki simu iko wapi. Yeye jikoni simu iko chumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani. Hivyo muwe mna observe vitu kama hivyo:target:
 
sawa, nakubali kiasi, lakini ungetuweka kwenye balansi bwana, tupe na dalili za mwanume asiye mwaminifu kwenye ndoa.
 
Ukiona mke wako muda wote yuko na simu yake karibu ujue kuna jamaa linachakachua. Yaani akiwa jikoni simu pembeni, bafuni simu pembeni, anafua simu pembeni, anakula simu pembeni. Lakini mke mwaminifu wala hakumbuki simu iko wapi. Yeye jikoni simu iko chumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani. Hivyo muwe mna observe vitu kama hivyo:target:
hivi we unajua maana ya simu ya mkononi?hata chooni unaenda nayo.kama ingekuwa ya kukaa chumbani wakati unapika,basi ingefungwa landline.bigup sana wanawake mnaojua maana ya cm za mkononi
 
tusipopokea simu zenu mnalalamika kwahiyo tuache kwenye pochi ndo uaminifu

Ukiona mke wako muda wote yuko na simu yake karibu ujue kuna jamaa linachakachua. Yaani akiwa jikoni simu pembeni, bafuni simu pembeni, anafua simu pembeni, anakula simu pembeni. Lakini mke mwaminifu wala hakumbuki simu iko wapi. Yeye jikoni simu iko chumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani. Hivyo muwe mna observe vitu kama hivyo:target:
 
Ukiona mke wako muda wote yuko na simu yake karibu ujue kuna jamaa linachakachua. Yaani akiwa jikoni simu pembeni, bafuni simu pembeni, anafua simu pembeni, anakula simu pembeni. Lakini mke mwaminifu wala hakumbuki simu iko wapi. Yeye jikoni simu iko chumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani. Hivyo muwe mna observe vitu kama hivyo:target:

Endelea kudanganyika.....

Hao wanaoacha chumbani ndio wabaya.... inakuwa kwenye silence na anakuwa ameshapanga mipango yao yote, hawapotezi hata sekunde kwenye program zao... 1 mistake.... 1 Goal...
 
Hahaaaaa akishakugundua ww ukoje basi naye atapanga mipango yake accordingly...
 
Ukiona mke wako muda wote yuko na simu yake karibu ujue kuna jamaa linachakachua. Yaani akiwa jikoni simu pembeni, bafuni simu pembeni, anafua simu pembeni, anakula simu pembeni. Lakini mke mwaminifu wala hakumbuki simu iko wapi. Yeye jikoni simu iko chumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani. Hivyo muwe mna observe vitu kama hivyo:target:

Tumechoshwa na mada hizi za unyanyapaa wa wanawake!!!!!!!!!! hivi unapoandika ki2 kama hichi unakuwa unawaza nini, sasa mtu anapika jikoni simu aache chumbani ikiita asumbuke kuja kuichukua, akikutuma umpelekee jikoni napo mfumo dume vilvile, nitatumwaje na mwanamke!!!!, eh........ poleni enyi viumbe vya uzao wa eva maana kila baya lilimo akilini mwa uzao wa adamu mnatupiwa nyinyi.......... ipo siku mtakombolewa. msijali mama dada bibi shangazi mama mkwe.................. na wote wenye jinsia ya.... ke.....
 
sasa basi nyie wanaume bado hamjatujua sisi wanawake!!!!!!!!!!!!
leo nimegundua na hakika tutendelea kuwadanganya mpaka mwisho wa dunia
kama tulivyo wadanganya mwanzo wa dunia.........na mkaadabishwa na mungu
Eti kuacha simu ovyo(mbali) ni dalili ya uaminifu............hahaaaaaa mmeliwa vibaya mno kaka zangu.....
 
Ukiona mke wako muda wote yuko na simu yake karibu ujue kuna jamaa linachakachua. Yaani akiwa jikoni simu pembeni, bafuni simu pembeni, anafua simu pembeni, anakula simu pembeni. Lakini mke mwaminifu wala hakumbuki simu iko wapi. Yeye jikoni simu iko chumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani. Hivyo muwe mna observe vitu kama hivyo:target:
kazi rahisi kudili na binadam wa kabila hiyo...!!!!
 
sasa basi nyie wanaume bado hamjatujua sisi wanawake!!!!!!!!!!!!
leo nimegundua na hakika tutendelea kuwadanganya mpaka mwisho wa dunia
kama tulivyo wadanganya mwanzo wa dunia.........na mkaadabishwa na mungu
Eti kuacha simu ovyo(mbali) ni dalili ya uaminifu............hahaaaaaa mmeliwa vibaya mno kaka zangu.....

Habari ndio hiyo.
 
Duu hyo haitoshi kuacha simu chumbaniiiiiiiiiii yeye yupo jikoni inawezekana muda wa kuwasiliana ni ule yupo kazini akirudi anajifanya hana tym na simu wakati wanaume walishachakachua long tym. na kama ni house yf yani unatoka saa mbili asubuhi machizi wanazama ndani mida ya saa tatu na wana chakachua
 
Uaminifu haupo katika vitu au mambo yanayoonekana kwa macho tu, Naweza kufanya yote unayodhani ni alama ya uaminifu kwako,
lakini bado nikawa sio mwaminifu.

Uaminifu umejengwa katika moyo wa mwanadamu, namna ambavyo anaweza kuithibiti nafsi yake, kujikubali, na kujikana katika hali zote
ili kuulinda uaminifu huo.

Lakini nafsi ya mwanadamu yoyote awe Adamu au Eva ikiamua kuwa na uaminifu itakuwa nao kwa gharama zozote zile.
Na ikiamua kutokua na uaminifu inaweza pia, kwa gharama zozote zile.

Ila pia ni vizuri kujiuliza unayofaida gani ktk yote uyafanyayo?
Manake kila jambo lina mwisho wake, na mwisho unaweza kuwa mzuri au mbaya pia
 
Back
Top Bottom