Umeconfirm vp?

Yaani unathubutu kuuweka uchafu wako hapa ndani!

Katika vile vigezo nilivyoweka we umekiuka kile cha "Nia Njema".

Bwana Magamba we umeshawaharibia hao wawili unaosema,jitihada zote za kujitunza zimeishia kwako. Au ulijuaje/Confirm vipi???????????

Jamaa siku hizi hamaindi.

Si ulisikia mwaka huu alipita tu, akacheki afu akaenda zake. Hajachuzi.

Watu walilaani ile mbaya.
Kwa wale wanaoponda huu uzi:
Kwa nini mods wameu-rate 5*.
THINK WIDE MY FRIENDS!
Nimeshuhudia kwa macho yangu.

Kuna tetesi Jakaya huwa anaenda kuhudhuria sherehe hizo kimya kimya and they became good friend yeye na Mswati
kaka naona unazidi kujitetea hapa............................
huwezi kuona hii kitu kwa macho!iliyotumika na isiyotumika zote mwonekano ni ule ule!
anayetaka kujua nimejuaje basi ani-pm lakini amini nawaambieni nimeshuhudia mwenyewe kwa "macho" yangu na si kuhadithiwa.
Ni kweli wapo tena wengi tu, mi mwenyewe sikuamini lakini ukweli ndo huo.
Hivyo wale wote ambao huwa wanawaghasi hawa wenzetu kwa mawazo ambayo ni kinyume na hiki nilichoshuhudia mimi, waache mara moja.
Nasisitiza wapo, wapo, wapo....., tena wengi tu. Ukiamua ku-search huwezi kosa. Cha muhimu ni kuepuka papara, kuwa na subira, nia njema, busara na nidhamu ya hali ya juu.
Note:
Nime-confirm mwenyewe kuwa sio "temporarily renewed".
eheee ati nini, we jamaa ivi wajua uzuri wa nguo mpaka uvae, aha na ukiweka nguo yako in market alafu aitoki apo kuna tatizo, re----do again ur research it was lakini sio now days,...................kumi kwa wawili,

Namaanisha WANAOJITUNZA tofauti na watu wengi wanavyofikiria.
we kijana upo chuo gani kwani? unataka kuleta migomo yenu hapa eti?Ndio nimelazimishwa! Ar u satisfied nau?
we kijana upo chuo gani kwani? unataka kuleta migomo yenu hapa eti?
Ni kweli wapo, hata mie nimeconfirm tena kwa wawili sehemu/vyuo tofauti. Hivyo nakubaliana nawe kabisa. Wengi wao kinachowasaidia mpaka kufika vyuo vikuu ni misimamo na mazingira yao wakati wa sekondari. Big up kwa waliojitunza.
Chuoni unaenda kufanya uzinzi au kupata taaluma?