Wanawake ambao hawajaolewa huwa na hasira/frustration?

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema
 
Isn't this obvious.Nadhani hii haihitaji discussion.Na huyo aliyekupa kazi naye mnafanana,mind isiyojua issue simple namna hii nayo ni too simple.Ndio ninyi vihiyo!
jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema
 
Kwa nini umerukia "ndoa"
Je wamewahi kukwambia hasira zao zimeletwa
sababu hiyo ( hawajaolewa) ? au ni una guess tu??

Maana mtu anaweza ku kasirika kuhusu kitu kingine
kabisa.. Na kila utakapo muuliza kuhusu chochote kile
atakuwa yuko Negative ..
 
Hiyo ni moja ya sababu ambayo inaweza kumfanya awe hivyo,lakini kuna mambo mengi sana yanayoweza kumfanya mtu awe na kisirani kila wakati!
 
Ikiwa sayansi inathibitisha kwamba He/She akikaa kwa 56 days w/out ejaculation anakua na uchizi flaniflani kama vile kucheka sana alipopaswa kununa au kununa sana alipopaswa kucheka ! Au kumkuta kazubalia kukodoa macho kwenye bango la tangazo lililopo kwenye njia anayopita kila siku kwenda/kurudi kazini. Hivyo hata kwa huyo that's side effects.
 
jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema

Kwa mtazamo wangu..mi nadhani huwa wanajisikia tu vibaya wanapoona wenzao wanaolewa wao bado au wenzao waliokuwa kuwa nao wana watoto na familia wao hawana...inauma flan hivi. Ila wengine wanakuwa wameamua kukaa hivyo,hawataki kusikia kitu ndoa..ndo maana utakuta wana-criticize. So,wengine hizo hasira na majibu ya harsh ndivyo walivyoo...wala si kwasababu hawana kipoozeo..
 
Ikiwa sayansi inathibitisha kwamba He/She akikaa kwa 56 days w/out ejaculation anakua na uchizi flaniflani kama vile kucheka sana alipopaswa kununa au kununa sana alipopaswa kucheka ! Au kumkuta kazubalia kukodoa macho kwenye bango la tangazo lililopo kwenye njia anayopita kila siku kwenda/kurudi kazini. Hivyo hata kwa huyo that's side effects.
Mkuu mbona kuna wanaokaa hata mpaka mwaka lakini hilo tatizo halijitokezi?
 
Kwa mtazamo wangu..mi nadhani huwa wanajisikia tu vibaya wanapoona wenzao wanaolewa wao bado au wenzao waliokuwa kuwa nao wana watoto na familia wao hawana...inauma flan hivi. Ila wengine wanakuwa wameamua kukaa hivyo,hawataki kusikia kitu ndoa..ndo maana utakuta wana-criticize. So,wengine hizo hasira na majibu ya harsh ndivyo walivyoo...wala si kwasababu hawana kipoozeo..
Wengine ndivyo walivyo tu.
 
Hiyo ni kweli mimi mwenyewe namifano mingi tuu hapa ofisini kwangu.
Utasikia kuolewa ni utumwa!
 
kuna ukweli fulani ingawa sio viuri ku generalize....
ishu sio ndoa,ishu ni mtu kutokuwa na wa kwake
wazee walisema 'duniani wawili wawili'

so ni upweke ndo sababu..
hata dirvocee wengine wapo hivyo
 
Back
Top Bottom