Wanawake acheni kuuza

Kivipi..nyinyi ndio hamjielewi..kuuza papuchi..biashara nyingine hamzioni au??

Kama huwezi kununua si unaacha hiyo biashara. Sio kila bidhaa ununue zingine unapiga moyo konde unatafuta unayomudu. Badala ya kununua papuchi unaweza nunua hata maji au sabuni nazo bidhaa pia.
 
Kama huwezi kununua si unaacha hiyo biashara. Sio kila bidhaa ununue zingine unapiga moyo konde unatafuta unayomudu. Badala ya kununua papuchi unaweza nunua hata maji au sabuni nazo bidhaa pia.
Papuchi haitakiwi kuuzwa??
 
Hayo sio Mapenzi kabisa kutiana ni kitu mbali na mapenzi kitu mbali, endeleeni kuuza kwanza mnapunguza kasi ya maambukizi hawa wanaojifanya hawauzi wana mabwana kumi hadi kumi tano na wote Anawapa kavu, pigeni kazi kimfaacho mtu chake.
 
Kwani wewe utamu haupati???
kumbuka hawa wanaouza ni machangu na kama si change basi ni mwanamke anaejidai mstaarabu ila anakajidamu ka uhuni, mchumba au girlfriend wako sidhani kama anakuchaji, wanaochaji ni wale wenye wanaume Zaidi ya mmoja, hiyo kwake ni kama biashara, na lazima alipwe mana aidha ndo biashara inayomuweka mjini, na pia ni kwa ajili ya MAINTENANCE Mana maumbile ya mwanamke huchakaa kwa matumizi tofauti na ya mwanaume.
 
Willing buyer and willing seller, hakuna cha kujadili. Atueleze zilipo papuchi za promotion, buy one get two
 
Ila Binadamu ni watu wabaya sana, Sasa dunia ya leo kuna kitu ambacho ni kitamu au chakuburudisha ukakipata bure?? :)
Swali la uchokozi: Cjui ile inayoingia kwenye papuchi nayo ni tamu na inaburudisha? .......

Na kama jibu ni YES ... je nayo inalipiwa ama yatolewa bure?
 
oke mchezo upo hivi.. wao wanauza nyie mnanunua mkiwalipa wanazileta kwangu. real men dont pay, they get paid
 
nitoe bure unajua gharama za kuhudumia?

I don't know how much utakua unacharge ila kama unacharge anywhere less than five digits unaabisha mwili wako na ni bora ugawe bure.
Swali linakuja does it worth that much.
Binafsi sijawai kununua papuchi ila gharama nagharamia nadhani unaelewa tofauti
 
Back
Top Bottom