Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Akikuomba pesa ya gas mwambie atembee kwa miguu.pesa yako shopping nywele na starehe.a men treats you the way you want to be treated.pete ya uchumba ni sigh ya kwanza .pete isipungue dhamani yako .make your men work for you .nenda kazini ukijisikia ,trust me .
 
Umefufukia wapi wewe ? acha uzushi lete source sio habari za jumla jumla hapa. wapi ? kitabu kipi ? Mstari wa ngapi ? Lini?
 
teh mamaa wallet nakuaminia
but ni kweli
usilee mwanaume
 
Sina heshima kwa mwanaume asiyehudumia mkewe.
Natalia nakubaliana na wewe
Ila jua kwamba kuna siku za mwandamo wa mwezi kabla ya tarehe sitini ambapo mambo yanaweza kuwa mabaya kwa mume
na jua kuwa kuna wakati wa kupata na kukosa
Anapokosa usimnyanyapae kuwa ni mwanaume suruali
Ndo raha ya wewe kuwepo mkisaidiana na sio kuonana kupe
 
Last edited by a moderator:

Kwani ulikuwa hujui mwandamo wa mwezi kabla hujaoa.mjiandae Kabla hamja oa . Msisumbue watoto wa watu
 
Last edited by a moderator:
Akikuomba pesa ya gas mwambie atembee kwa miguu.pesa yako shopping nywele na starehe.a men treats you the way you want to be treated.pete ya uchumba ni sigh ya kwanza .pete isipungue dhamani yako .make your men work for you .nenda kazini ukijisikia ,trust me .

This is too general Natalia, hivi unafahamu wanaume tukisema tuwe kama nyie wengi wenu mtakwama sana. Ni wanawake wangapi wapo tayari kusomesha waume zao, kulea familia kubwa(baba, mama, kaka, shemeji,wadogo,shangazi) na familia yake(mume na watoto) bila kuanza kuwaita majina ya ajabu?
Mungu akikubariki mali, nafasi za kazi nzuri msaidie mhitaji, usipende kutesa moyo wa mtu...mara mwanaume suruali, Pasua kichwa....majina yote haya kwa vile hana pesa? kuweni na huruma, mbona wengine si tunawapiga kampani na tuko poa? kutoa kwa muhitaji kwafaa kwa moyo mkunjufu.................

nitamalizia kesho nimechoka na kazi
 
yaani nimuangalie tu mume wangu akienda kupamda daladala? Au ashindie maji ofisini? Kisa amekosa hela kipindi hicho? Haiwezekani kamweeeeee....

Natalia hujapenda wewe....uko ndoani ili urahisishe maisha.....
BADILI TABIA hebu sema wewe tena bana maana naona Natalia hakubaliani na hali halisi
Kuna kusaidiana ndani ya ndoa ndo maana mambo ya kwenye kile master bedroom yanaishia huko huko hata watoto hawajui
 
Last edited by a moderator:
yaani nimuangalie tu mume wangu akienda kupamda daladala? Au ashindie maji ofisini? Kisa amekosa hela kipindi hicho? Haiwezekani kamweeeeee....

Natalia hujapenda wewe....uko ndoani ili urahisishe maisha.....
Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka
 
Last edited by a moderator:
Nyie hamjui tofauti ya kusaidia na kulea?

Hapa linalohatazwa ni kulea sio kusaidia
 
Ukiwa na mawazo kama hayo utakuwa lege lege...hutakuwa malengo makubwa kwenye maisha,,,

Kama wanaume wanaweza kupata position kubwa na sisi tunalalamika kukandamizwa kijinsia...mwanamke anayehitaji ela ya kujirembea tu... u CEO wa nini???? Tuwaache wenye majukumu makubwa wapewe vyeo vikubwa au???

Mimi mume wangu hata atimuliwe kazi niko tayari kuhudumia familia kwa roho nyeupe...kwani natafuta ela ya nini...kuhudumia familia hakunizuii kujiremba kwani mimi sijitofautishi na wanaume popote nilipo...I am proud to be a responsible wife.
 
This is too general Natalia, hivi unafahamu wanaume tukisema tuwe kama nyie wengi wenu mtakwama sana. Ni wanawake wangapi wapo tayari kusomesha waume zao, kulea familia kubwa(baba, mama, kaka, shemeji,wadogo,shangazi) na familia yake(mume na watoto) bila kuanza kuwaita majina ya ajabu?
Mungu akikubariki mali, nafasi za kazi nzuri msaidie mhitaji, usipende kutesa moyo wa mtu...mara mwanaume suruali, Pasua kichwa....majina yote haya kwa vile hana pesa? kuweni na huruma, mbona wengine si tunawapiga kampani na tuko poa? kutoa kwa muhitaji kwafaa kwa moyo mkunjufu.................

nitamalizia kesho nimechoka na kazi
Men needs us ,we don't need them we want them
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom