Wanawake 8,000 singles waandamana kuishinikiza serikali iwasaidie waolewe!

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99
[h=1]kumbe kuna watu wanalilia ndoa,wengine wanafanya madudu[/h]

Amini usiamini Nigeria ina upungufu wa wanaume wa kuoa!! Kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza na kutengeneza familia wameamua kuchukua hatua. Zaidi ya wanawake elfu 8 walio single wiki iliyopita waliandamana kutokana na upungufu wa wanaume wa kuwaoa.

Lengo la maandamano yao ni kuishinikiza serikali kuwasaidia waolewe, kivipi? (Ndio swali hata mimi nimejiuliza!)

Wanawake waliojikusanya na kuandamana ni mkusanyiko wa 5380 waliopewa talaka, 2200 ni wajane 1200 yatima, na 80 wengine. Wanawake hao wamedai kuwa hawana uwezo hata wa kununua chakula cha siku kwa sababu hawana wanaume wa kuwasaidia ndio maana wanahitaji wanaume wa kuwaoa na kuwasaidia mahitaji yao.

Chanzo: http://www.gistus.com/30877/husband-scarcity-zamfara-8000-women-protest
 
Hahahahaaa!
Basi nikahamie Nigeria! Coz wabongo hawa hawapendi hii makitu (ndoa) na hao wanaopenda ndoa sio wakareee and sometimes sio wife materia!
...
Hiyo picha hapo inaonesha kama ndoa zao zimefungiwa katika huo mjengo wa mbele yao! Teh teh teh!
 
Wacha nichangie hii topic,me siwezi kuwalaumu wanaume wa kinigeria kutowaoa wanawake zao,wajue kwanza wanawake wa kinaijeria ndio utajua naongelea nini
 
...
.

.....ha ha ha ha utawafanya mafisi watobowe vipakatwa ili waweze kutinga huko!!!
 
Itabidi na sheria za kidini zibadilike kidogo haswa za Wakirstu, baada ya kuoa mke mmoja waruushiwe kuoa ata watatu, ili tatizo la Waoaji lipungue au liishe kabisa, Uku pia waislam sheria iwaongezee wake ka wawili hivi na kufunya Jumla kuwa Sita. Hapo nadhania HAWATAANDAMANA TENA
 
Hahahahaaa!
Basi nikahamie Nigeria! Coz wabongo hawa hawapendi hii makitu (ndoa) na hao wanaopenda ndoa sio wakareee and sometimes sio wife materia!
...
Hiyo picha hapo inaonesha kama ndoa zao zimefungiwa katika huo mjengo wa mbele yao! Teh teh teh!

Mashaxizo uwe na fedha za kuwalisha chakula, siyo upeleke p.u.mb.u tupu teteteh!!!
 
Kwani hapo wanaongelea wanaume wa Nigeria kutooa wanawake zao au uhaba wa wanaume...hata wakiwaoa wanaume wachache wanawake wengi...

Afu una statistics gani zinazokufanya useme wanaume wa Nigeria wanaoa foreigners...mbona wanaoana sana...angalia hata ma superstar wao; wanaoa dada zao bana...

Nigeria ni moja kati ya nchi zenye makabila conservative...kuoa kabila lingine tu ni issue seuse kuoa foreigner...labda hizi ndoa za makaratasi.

Wacha nichangie hii topic,me siwezi kuwalaumu wanaume wa kinigeria kutowaoa wanawake zao,wajue kwanza wanawake wa kinaijeria ndio utajua naongelea nini
 
Naendelea kucheka...

Kwani tatizo ni sheria...wanawake wengi mmno...kwa sababu nina hakika hata hao wa mke mmoja mmoja wana vimada na bado kuna hao wamebaki bila provider. Teh Teh teh

Itabidi na sheria za kidini zibadilike kidogo haswa za Wakirstu, baada ya kuoa mke mmoja waruushiwe kuoa ata watatu, ili tatizo la Waoaji lipungue au liishe kabisa, Uku pia waislam sheria iwaongezee wake ka wawili hivi na kufunya Jumla kuwa Sita. Hapo nadhania HAWATAANDAMANA TENA
 
kumbe kuna watu wanalilia ndoa,wengine wanafanya madudu

Amini usiamini Nigeria ina upungufu wa wanaume wa kuoa!! Kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza na kutengeneza familia wameamua kuchukua hatua. Zaidi ya wanawake elfu 8 walio single jana wameandamana kutokana na upungufu wa wanaume wa kuwaoa.

Lengo la maandamano yao ni kuishinikiza serikali kuwasaidia waolewe, kivipi? (Ndio swali hata mimi nimejiuliza!)

Wanawake waliojikusanya na kuandamana ni mkusanyiko wa 5380 waliopewa talaka, 2200 ni wajane 1200 yatima, na 80 wengine. Wanawake hao wamedai kuwa hawana uwezo hata wa kununua chakula cha siku kwa sababu hawana wanaume wa kuwasaidia ndio maana wanahitaji wanaume wa kuwaoa na kuwasaidia mahitaji yao.

Kwa wapopo anything is possible na vile hapa Tanzania watu (wanawake) wanapenda kuiga vitu vya Nigeria sitoshangaa kuona kina dada wiki ijayo wanaandamana mtandaoni kwenye blogs zao mpaka Mnazi mmoja ili waungwe mkono.
 
majanga,mbona wote kama changudoa,waendeleee kujiuza

Wamechoka kujiuza. We unafikiri mtu utajiuza mpaka lini, kuna kuchoka. Machangu nao wanalilia kuolewa na ndiyo maana siku hizi wanatembea na dawa za kunasa wanaume ili watunzwe na kupandishwa cheo (kuitwa mama fulani) waondokane na haibu na karaha za kuzurura usiku wa kiza kinene.
 
Back
Top Bottom