WanawakeLive
Member
- Nov 14, 2011
- 6
- 1
wanawake tumekuwa ktk mstari wa mbele kudai HAKI na FURSA SAWA kwa wote (50% kwa 50%) mbona majukumu ya familia tunayakwepa??? tena na majina kibao ya kuwadhalilisha wenzi wetu, (sharobaro, mwanaume suruali, nk) tutaongozaje jamii na taifa kama hatuwezi kuongoza familia zetu?
Namaanisha matumizi ya nyumbani huku tunajitetea mwanamke tumeubwa kulelewa!!
Huku tunasema mfumo dume unatukandamiza tunataka viti maalum, na nafasi kibao za uongozi kwenye jamii....nyumbani kuwajibika hatutaki, tunamwachia mume majukumu yote! bora mwanamke ambae hana hela, naongea na sisi wenye vijisenti...TUTAFIKA?
MIAKA 50 YA UHURU??