Elections 2010 Wanavyuo hawana lolote

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Hizi ni habari mbaya kwa wanavyuo na wanaharakati.mimi ni mwanachuo,ukweli ni kwamba wakati jambo la kubadili muda linaanza niliwaambia wanachuo bila mafanikio kuandamana kupinga jambo hilo kwani ni njama.hawakunielewa.ukweli ni kwamba munaowaita wasomi wala hawako hivyo japo si wote,wengi ni bora liende.tungeandamana wakati ule ingesaidia.niko tayari kukosolewa,lakini wengi hawana interest na critical analysis,ila madesa tu.so wanaharakati mnapoteza muda na pesa,hata vyuo vikifunguliwa,hawataenda,na wengi wanaoweza kupiga kura hawatapiga.vyuo siku hizi ni madanguro tu,nenda kama hamtakuta kondoms kila mahali hadi public places
 
Umenena mwanangu.Juzi kulikuwa na kipindi TBC kuhusu Vijana na Uchaguzi.Na hawa walikuwa wa vyuo mbali mbali vya DSM eg chuo cha ustawi wa jamii,DIT etc.Mtangazaji kijana mwezao aliuliza swali kuwa wanaelewa nini kuhusu ilani ya uchaguzi.Vijana kama saba hivi wa mwanzo waliukuwa blue kabisa .Eti wanasikia neno hilo mtaani na redioni lakini hawawezi kufafanua ni nini.Kama hawa ndio tunawategemea tumeisha inasikitisha
 
Wamesahau jinsi wanavyosukumwasukumwa na bodi ya mikopo pale msasan eh!!! Wamesahau kuwa wakisababisha mabadiliko kwa kura zao uongozi mbovu utatokomezwa na hatimae tatizo la kupata mikopo litaisha?
 
Hizi ni habari mbaya kwa wanavyuo na wanaharakati.mimi ni mwanachuo,ukweli ni kwamba wakati jambo la kubadili muda linaanza niliwaambia wanachuo bila mafanikio kuandamana kupinga jambo hilo kwani ni njama.hawakunielewa.ukweli ni kwamba munaowaita wasomi wala hawako hivyo japo si wote,wengi ni bora liende.tungeandamana wakati ule ingesaidia.niko tayari kukosolewa,lakini wengi hawana interest na critical analysis,ila madesa tu.so wanaharakati mnapoteza muda na pesa,hata vyuo vikifunguliwa,hawataenda,na wengi wanaoweza kupiga kura hawatapiga.vyuo siku hizi ni madanguro tu,nenda kama hamtakuta kondoms kila mahali hadi public places

Plato hizi ni tuhuma nzito toka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa mwanachuo. Hujasema unatoka chuo gani na wala hujatueleza ni chuo kipi kilichotapakaa condoms kila mahali hadi public places ila nachukulia kuwa unaongelea chuo chako pekee. Kimsingi umeeleza kitu ambacho nimekuwa nikikitafakari kwa muda mrefu sasa.

Ukweli ni kwamba wahitimu wa vyuo siku hizi wana tatizo kubwa la kukosa uwezo wa kuchambua mambo. Na wengine wanashindwa hata kueleza kwa ufasaha mambo ya msingi kabisa ya maeneo waliyosomea. Nimeshuhudia hili kwenye "interviews" mbalimbali ambazo nimeshaufanya kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali ambao wamekuwa wakihitimu siku hizi. Ukiwauliza wahitimu hao maswali yanalohitaji uelewa wa jumla wa masuala ya kijamii ndio unakuwa umewaacha kabisaaaa. Na hii haijalishi umemuuliza kwa kiswahili au kiingereza matatizo yapo palepale. Ikimaanisha kuwa kichwani hamna kitu.

Lakini pia hata nikiongea na vijana wahitimu wa vyuo wanaomaliza hivi sasa sipati ile "analytical thinking" unayotegemea kuipata toka kwa msomi aliyemaliza elimu ya chuo kikuu. Nadhani Plato umeibua suala la msingi sana linalogusa mfumo wa elimu yetu tunayofundishana hivi sasa nchini na kama mfumo huu unatusaidia kutatua matatizo yetu yanayotukabili kila siku.
 
To be honesty hawa vijana wanamatatizo zaidi ya tunavyoweza kudhani, in short they are frastrated and or comfused. Uncertain of their fate and survive just to get tommorow and no more !!!!!
 
acha unafiki kama uliwaambia useme ni chuo gani hicho sio una generalize vyuo vyote!
Ziningine ni colleges na taasisi sijui unaongelea "wanachuo" wa wapi hawa na uli waambiaje wana vyuo nchi nzima kama una generalize na kama nani maana binafsi sija kusikia!!!
 
Hizi ni habari mbaya kwa wanavyuo na wanaharakati.mimi ni mwanachuo,ukweli ni kwamba wakati jambo la kubadili muda linaanza niliwaambia wanachuo bila mafanikio kuandamana kupinga jambo hilo kwani ni njama.hawakunielewa.ukweli ni kwamba munaowaita wasomi wala hawako hivyo japo si wote,wengi ni bora liende.tungeandamana wakati ule ingesaidia.niko tayari kukosolewa,lakini wengi hawana interest na critical analysis,ila madesa tu.so wanaharakati mnapoteza muda na pesa,hata vyuo vikifunguliwa,hawataenda,na wengi wanaoweza kupiga kura hawatapiga.vyuo siku hizi ni madanguro tu,nenda kama hamtakuta kondoms kila mahali hadi public places

This is totally assumption and gossip; please stop!!!
 
look this people careful b4 reading their comments, plato, malaria sugu, zawadi ngoda are puppets

U who called urself Plato, university haupo, na chuo hakipokei idiot, arrogant, foolish, stupid, ignoramus, etc like u, kama wenye kupata Div 0 in TZ ur among of them be honest, upo chuo gani? faculty ipi? mwaka? u understand now ur such a culprit, ulishindwa kwenda chuo bcos ulishaozea udanguro, if ur in any case ur in college then, get me right ur Kihiyo. msomi hawezi kuvumilia hali halisi ya nchi ilivyo,
ww ni kihiyo they are many, au ur closely beneficiary of ufisadi or family member, Hivi hujui people wameshachoka na ahadi maelfu na maelfu, hata JK mwenyewe kashasahau ametoa ngapi, ww ongea tu, jana tu ameahidi 5 machinga complex, flyovers, treni ya umeme in Dar nk. wakati in 5 yrs hata 1 flyover hajajenga, ooooohhh JK, mchana anatudaganya, 2010 HTUDANGANYIKI PERIOD
 
Back
Top Bottom