"Wanaume Zenu Ndiyo Wanatutongoza; Sasa Mnatutukania Nini?"

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Mmmh; wacha nisiongee mengi, nimeikuta hii kitu hapa:

Source: HarusiYangu.com...Tanzania's Wedding Portal

TOPIC: hivi kwa nini mnatutukana

Habari zenu wana HY, hivi kwanini wanawake wenzetu mlio katika ndoa mnatutukana sisi ambao hatupo katika ndoa na tunawanaume zenu, ikiwa mnafahamu fika kuwa sisi sio watongazi, na hatuna uwezo wa kufosi hao mnaowaita waume zenu kuacha nyumba zote na kuja kwetu?

Maana jamani mnatakiwa mkumbuke kuwa sisi ni binadamu kama nyinyi, na tuna mioyo kama nyinyi, tumetongozwa kama mlivyotongozwa nyinyi na tukapenda kama mlivyopenda nyinyi ndio maana tupo nao.

Sasa kwanini mnatuita majina yote hayo watoto wa wanawake wenzenu wakati mnajua fika kuwa na sisi tuna mioyo kama yenu. na sio kosa letu?
 
Justification tu.

Mwanamke anaweza kuwa na utetezi pale tu itakapobainika kwamba alidanganywa na hakuambiwa ukweli kwamba mwanamme aliye naye ana mke tayari.Akishajua tu kuwa mwanamme ameshaoa, ama amtake mwanamme amtambulishe rasmi katika mipango ya kumfanya mkewenza, au asimamishe mahusiano.

Hizi habari za ubinadamu ni justification tu, ukiiba chakula na kusema "ubinadamu, nilikuwa na njaa" unaweza kupunguziwa kifungo, lakini huondoi kosa na huondoi kifungo.

Hao wanaume mabazazi ndio kabisa hawana hata chembe ya utetezi.Mtu kama unataka kuvinjari usioe, ukioa unakoma kuvinjari.Kuoa si lazima, ila kwa kutaka kuonekana watu wa heshima mijitu inaoa huku tamaa inaiwaka bado.
 
Last edited:
Justification tu.

Mwanamke anaweza kuwa na utetezi pale tu itakapobainika kwamba alidanganywa na hakuambiwa ukweli kwamba mwanamme aliye naye ana mke tayari.Akishajua tu kuwa mwanamme ameshaoa, ama amtake mwanamme amtambulishe rasmi katika mipango ya kumfanya mkwewenza, au asimamishe mahusiano.

Hizi habari za ubinadamu ni justification tu, ukiiba chakula na kusema "ubinadamu, nilikuwa na njaa" unaweza kupunguziwa kifungo, lakini huondoi kosa na huondoi kifungo.

Hao wanaume mabazazi ndio kabisa hawana hata chembe ya utetezi.Mtu kama unataka kuvinjari usioe, ukioa unakoma kuvinjari.Kuoa si lazima, ila kwa kutaka kuonekana watu wa heshima mijitu inaoa huku tamaa inaiwaka bado.

Mkuu; may be kuna uwezekano Wanaume wengi wanapowatongoza hawawaambii status zao?

Kuna jamaa namfhamu anajiita Dr. Davis yeye kazi yake ni kudanganya mabinti kuwa anataka kuwaoa na anawaoa kweli. Kisha anawadunga mimba na kuwaacha. Anaenda kwa mwingine hivyo hivyo. Mpaka tulimround up alikuwa kishafanya uharibifu kwa Wanawake kama wanne.

Lakini pia wanaume wa Kiislamu wanaruhusiwa kuoa mpaka wake 4. Sasa huwezi kuoa bila kutongoza . . . . nk. Hii imekaaje?

Kisha kuna mchangu doa wenye Intelligence. wao kazi yao kujiachia ili watongozwe na ukiingia mkenge hubanduki hapo. Hawa nao vipi?
 
Mkuu; may be kuna uwezekano Wanaume wengi wanapowatongoza hawawaambii status zao?

...hivi utaanza anzaje kwenye harakati za kuunganisha network unamchomekea "...hivi unionavyo nina mke wangu nyumbani, tena tunapendana sana tu masikini...", ..si utaonekana zumbukuku ulimwengu upo huku?
 
Mkuu; may be kuna uwezekano Wanaume wengi wanapowatongoza hawawaambii status zao?

Superman
Yaani kuna watu wasanii kweli we acha tu, hata kama ni kuficha status lakini mwingine hakwambii hata baadae ukishakuwa nae matokeo wewe unampenda zaidi na ahadi kemkem kumbe mwenzio mwanafamilia.
Amekupa matumaini na amekuwa kwa ajili yako kila ukimuhitaji lakini kumbe ni mume wa mtu tena ndoa..

Muda mwingi tuelekeze lawama kwa wandani wetu kuliko kupambana na watu wanaotembea nao iwe nje ya uhusiano/ndoa maana utapambana na wangapi kama mtu wako fagio la jiji?!..presha tu kila mara.
 
Hawa nao wengine hujua waache fix za kujifanya innocent.

Wewe mtu mwanamme gani atakaa na kimwana siku zote? Wikiendi zote, sijui Valentini na siku nyingine zote muhimu? Lazima kuna wakati atakuwa "unreachable" kwa sana tu, na hata kama hawataki kuongelea hili, moyoni wanajua kuwa kuna mwenzangu sehemu sehemu, hata kama hajui kuna "big house" basi atajua kuna mwenzake kiaina.

Labda uniambie kama jibaba ana hit and run.
 
Na kwa nini wanawake wanapo gundua mwanaume wao ana wachanganya wote hawa gombani na huyo mwanaume bali hao wanawake wanaishia kugombana wenyewe kwa wenyewe?
 
Na kwa nini wanawake wanapo gundua mwanaume wao ana wachanganya wote hawa gombani na huyo mwanaume bali hao wanawake wanaishia kugombana wenyewe kwa wenyewe?

huo ni ujinga kwanza mkimgombania mwanume mnampa kichwa sana anajiona ni bora sana,
Unatakiwa upambane na mwanaume wako, yeye ndo amesababisha hayo yote.
 
...hivi utaanza anzaje kwenye harakati za kuunganisha network unamchomekea "...hivi unionavyo nina mke wangu nyumbani, tena tunapendana sana tu masikini...", ..si utaonekana zumbukuku ulimwengu upo huku?

mbona wapo wa hivyo, mfan hai ninao.
 
Wanawake wengi tu wako tayari kuwa nyumba ndogo!na kila mnapoonana anakuuliza 'haijambo familia?'na vitu anakupa kama kawaida!na akigundua una kicheche kingine nje ndo kwaanza anaongeza vionjo!anaweza akakupa hata ile nyingine ya kina fidel80!hahahahah
 
...hivi utaanza anzaje kwenye harakati za kuunganisha network unamchomekea "...hivi unionavyo nina mke wangu nyumbani, tena tunapendana sana tu masikini...", ..si utaonekana zumbukuku ulimwengu upo huku?

Mkuu Mosquito mwanamke ukimwambia ukweli huyo si wako inabidi ufunge kamba na uume na kupulizia hapo unabeba mzigo kiulaini lakini ukisema ukweli tu basi unalikologa kabisaaa.
 
Mkuu Mosquito mwanamke ukimwambia ukweli huyo si wako inabidi ufunge kamba na uume na kupulizia hapo unabeba mzigo kiulaini lakini ukisema ukweli tu basi unalikologa kabisaaa.
Na ndio maana nyumba nyingi zimejaa vilio maana zimesimikwa kwenye msingi ya usanii na uongo.
 
Na ndio maana nyumba nyingi zimejaa vilio maana zimesimikwa kwenye msingi ya usanii na uongo.

....and it happens only to those who believe ni womanising!Lol!hoping kwamba they are condomising
 
.....Labda uniambie kama jibaba ana hit and run.
Jamani hii maana yake ni nini?Linalia kichochoroni au wapi mpaka likimbie?Halafu kina dada inabidi wajue kuwa kwa takwimu mwanaume 1 inabidi ahudumie wanaume 5,sasa ambao wameolewa kwanini wana uchu na uchoyo?
Nawakilisha.
 
Na kwa nini wanawake wanapo gundua mwanaume wao ana wachanganya wote hawa gombani na huyo mwanaume bali hao wanawake wanaishia kugombana wenyewe kwa wenyewe?

Hivi mwanamke akiwachanganya wanaume je inakuaje hapo? mnagombana wanaume au mnampa kisago huyo mwanamke?
 
nimepita kusoma tu, sina comment hapa, mie bado nipo nipo
wenye wanandoa kwanini eti? Nyamayao please my dear comment over this
 
huo ni ujinga kwanza mkimgombania mwanume mnampa kichwa sana anajiona ni bora sana,
Unatakiwa upambane na mwanaume wako, yeye ndo amesababisha hayo yote.

Mwanajamiione hungeweza hiki anachosema Joyceline nafikiri tusingeongea tuliyoongea yote yale.

Ila nafikiri Joyceline hana boyfriend/mchumba/mume na kama anaye basi atakuwa Msukuma. Otherwise hasingengezungumza (highlight)
 
kuna movie moja inaitwa 'I THINK I LOVE MY WIFE' wenye ndoa mkaitafute, mie mwenyewe sina ndoa nimeshaitazama na imenijenga nafikiri nikiingia kwenye ndoa sitahangaika na vimeo sana
 
Halafu kina dada inabidi wajue kuwa kwa takwimu mwanaume 1 inabidi ahudumie wanaume 5,sasa ambao wameolewa kwanini wana uchu na uchoyo?
Nawakilisha.

Mkuu umewakilisha vibaya sijui unamaanisha ushoga hapo au ndo umechanganya madesa?
 
Back
Top Bottom