"Wanaume wote ni nyoka...."

Elisha Ray mkuu naona nimekugusa sana...

pole sana, lakini sio mm nilosema, kumbuka kuwa mjumbe hauwawi

Yani Boflo umenigusa sana kwa sababu mie nakataa kuitwa nyoka mtu wangu. Mie bin adamu ati. Wajua watu huwa wanawaitaga watoto wao 'mbwa we' au 'paka we' pale wanapokasirika na wanasahau wao ndo waliowazaa. Pia wanasahau hindi halizai nyanya bali linazaa hindi au nyanya itazaa nyanya na sio hindi. Kwa hiyo hapo wanapowaita watoto wao majina ya 'mbwa' maana yake na wao ni mbwa vile vile maana binadamu hazai mbwa.. Yani hii kitu imenigusa mkuu si kitoto... hehe. if possible huyo alosema mpelekee ujumbe kuwa nae ni nyoka.. i hope hatakuua mjumbe... lol
 
View attachment 54192[/QUOTE]
CAUTION to JF Serious Ladies, Mbololis Tombolis is the most dangerous snake in the world, its color varies from black to pink, its size ranges from 2inch to 10inch, honestly depending on its use, it usually ATTACK LADIES in the lower abdominal area in bedrooms. Its vomitus spit causes swelling in the women abdomen which last 9Month. Some mutant spicies like mbololis kamerunilis tend to attack from behind to men and women. Bofloooooooooooo!
 
Men banaaa! Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia, they are all the same kilichotofauti is their sizes ambazo zimetajwa juu from 2-10 inches. Pia they love with their
snakes while we love with our hearts!!! Chezeya wanaume weye!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom