Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

yaani wanaume ni wabaya wabaya wabaya
waongo
matapeli
wanafiki
washamba
malaya
mashetani
viruka njia
makupe
;
;
'
evil creatures
tunakaa nao basi tu
 
Maria1047 na Bebii,ama kweli leo mmeamua kututengeneza.Hivi mlivyoamka leo asubuhi mlitanguliza mguu gani chini,maana......du!
mzee Aspirin uko wapi uwatie bakora hawa wajukuu zako?
labda Bebii ila mimi kila siku nipo hivi (live my full life at JF)
 
kweli nna tatizo, mana nampenda wifi yako saaana!
Na namuheshimu, sababu ananiheshimu... Bado huamini tu kuwa kuna wanaume tuna real love? Na kuna wanawake (tena wengi tu) ambao ni infidel to their lovers?
Huyo wako anaruka ruka sana nini maria?
kuwa na real love haimaanishi kutotembea nje
kuna professor flani udsm anampenda mkewe ile sana tuu yaani kuliko unamsema vibaya mkewe bora umchanje yeye kwa kisu ila prof. Nje anaenda sana kwa kisingizio cha urijali
 
yaani wanaume ni wabaya wabaya wabaya
waongo
matapeli
wanafiki
washamba
malaya
mashetani
viruka njia
makupe
;
;
'
evil creatures
tunakaa nao basi tu
shosti unalaana
umalaya sio ubaya unataka wasio na wanaume wafanye na wanyama???????????????????????
 
Huwa najiuliza kama kuna mwanamke/mdada mwaminifu duniani!Coz sijawahi ona!
ni wachache sana
mimi namfahamu mdada/mmama flani ofisini yaani ni 100% mwaminifu mmewe yupo hapo DSM
 
Hizi generalisation nyingine hizi. maria, jipe muda wa kuishi muda mrefu kidogo, utrakutana na mambo mengi sana yatakayoufungua ubongo wako.
 
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga, mtoto wa pili

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.
Yesu Kristu Maria na Yosefu

Ulitaka kusema nini manka???
 
labda Bebii ila mimi kila siku nipo hivi (live my full life at JF)

mi nilishazoeaga lile jina jengine la Marytina, uzuri unaanzaga kabisa kujitambulisha ndo inakuwa rahisi. Ulichosema ni kweli kwa kiasi kikubwa tunabisha basi tu.
 
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga, mtoto wa pili

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.

Hahahahaha UCHOYO NA ROHO MBAYA VITAKUUA WEWE DADA YANGU
 
Back
Top Bottom