Wanaume weusi. . . . . !!

Trust me, wanaume wa tz ndo my only number, hata mkenya staki kusikia! Watz hata waishe wote, bora nihamie kwenye ukameruni (god forbid). Ila mweupe, over my dead rotten body!

Kwani unanionaje bro?

Again hapa pananichanganya, unachagua kumpenda mtu au unachagua kuwa na mtu. kama ni kumpenda, sidhani kama moyo unaangalia rangi, kabila, taifa au hata dini.

Lets make records clear hapa, halafu ili watu waelewe tuseme unachagua kuwa na mtu gani na kwanini!
Personally, nitaenda kwa moyo utakaponipeleka, ukinipeleka; otherwise for convenience nitakuwa na yule ambaye naye anataka kuwa na mimi na hakuna gharama (si lazima pesa) za kurelocate, kugombana na familia, etc.
 
Hivyo mnakubaliana na kauli au swali la Eiyer hapo chini?
"Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?"

Da Mkubwa Kaunga. HHili swali ni la msingi sana kwa hii mada. Hata hivyo bado halieleweki vizuri kwa sababu akisema ngozi na tabia inabidi alipanue swali lake kwa ufafanuzi zaidi. Nielewavyo mie akimaanisha ngozi (Kwa maana ya watu wenye ASILI nyeupe yaani wazungu/wahindi na sijui wanani) hii itaendana na aina ya malezi na tamaduni zao ambavyo ni vitu vyenye effect/impact kwenye tabia ya mtu husika. So tukisema wazungu na waafrica ni wazi watakuwa na tabia tofauti hatuweziwalinganisha kwani wanatoka kwenye malezi na tamaduni tofauti

Ila kama anazungumzia rangi ya ngozi nashindwa kumwelewa kwa sababu kama ni mbongo lakini mweupe hawezitofautiana na mbongo mwenye rangi nyeusi ilmradi wawe wametokea kwenye tamaduni sawa!.
 
Kupenda makalio makubwa ni ujinga wa wanamme au preference?
Same applies to ngozi

Unajua kwanini nimeuliza hilo swali?

Eiyer kataja watu wanaoprefer white,
n most of us here, wamesema wanaprefer blacks, so wote ni wajinga kama ni kimjibu Eiyer. Of course ni sawa na ........... anaye prefer makalio makubwa! LOL
 
Again hapa pananichanganya, unachagua kumpenda mtu au unachagua kuwa na mtu. kama ni kumpenda, sidhani kama moyo unaangalia rangi, kabila, taifa au hata dini.

Lets make records clear hapa, halafu ili watu waelewe tuseme unachagua kuwa na mtu gani na kwanini!
Personally, nitaenda kwa moyo utakaponipeleka, ukinipeleka; otherwise for convenience nitakuwa na yule ambaye naye anataka kuwa na mimi na hakuna gharama (si lazima pesa) za kurelocate, kugombana na familia, etc.

moyo mdanganyifu usijaribu....
 
Da Mkubwa hapa red its a million dollar question.............. na nadhani pia linaapply kule kwenye ile thread ya Eyer ya kumpenda mtu mwenye kipato, elimu sijui umbo! Mimi siwaelewi kabisa ndio maana najifungia kwenye kisiwa changu cha........LOVE CONQUERS ALL.
 
haya ndio yale yule mwingine akasema wanaume wa kibongo wachafu..wonders shall................
 
Da Mkubwa Kaunga. HHili swali ni la msingi sana kwa hii mada. Hata hivyo bado halieleweki vizuri kwa sababu akisema ngozi na tabia inabidi alipanue swali lake kwa ufafanuzi zaidi. Nielewavyo mie akimaanisha ngozi (Kwa maana ya watu wenye ASILI nyeupe yaani wazungu/wahindi na sijui wanani) hii itaendana na aina ya malezi na tamaduni zao ambavyo ni vitu vyenye effect/impact kwenye tabia ya mtu husika. So tukisema wazungu na waafrica ni wazi watakuwa na tabia tofauti hatuweziwalinganisha kwani wanatoka kwenye malezi na tamaduni tofauti

Ila kama anazungumzia rangi ya ngozi nashindwa kumwelewa kwa sababu kama ni mbongo lakini mweupe hawezitofautiana na mbongo mwenye rangi nyeusi ilmradi wawe wametokea kwenye tamaduni sawa!.

Nasupport hili MwanajamiiOne, unajua kugeneralize mambo kuna shida; na hata tamaduni za hao 'weupe' sijui 'brown' zinatofautiana. Nina rafiki yangu mmoja ni Mrusi mwenye asili ya kimoldova amepata shida sana na girlfriend wake wa kimarekani hadi wakaja oana, mila zao hasa za mahusiano hazitofautiani sana na waafrika. Isingekuwa kutaka makaratasi angeend up oa mwanamke wa kiha!

Na bado kuna tabia ya mtu mmoja mmoja, huwezi ifunika na rangi au taifa. Mtu wangu mimi anajulikana kama Mwingereza wa Sikonge (si Sikonge wa JF, yule ni kaka yangu. LOL) kwa kuwa ana tabia fulani za 'kizungu'.
 
Last edited by a moderator:
Uwe pink, zambarau, mwekundu, mweupe, mweusi, manjano, brown .... kama unamtarimbo I like you .

Tofauti mi ninayo angalia ni kitu kingine kabisa na si skin colour. What's the point of having a white or a pink man ambaye ha'" faction properly down under '"
 
ameeeen
 
Ofu kozi Kaunga kama ni uinga ni wa wote, kama ni akili ni ya wote
Maana ni preference tu hizi

Unajua kwanini nimeuliza hilo swali?

Eiyer kataja watu wanaoprefer white,
n most of us here, wamesema wanaprefer blacks, so wote ni wajinga kama ni kimjibu Eiyer. Of course ni sawa na ........... anaye prefer makalio makubwa! LOL
 
Last edited by a moderator:
Zinduna akakikuta unamwaga mchele kwenye kuku, utakoma! Utarudishwa mkoleni wewe, usimuamshe alielala! Mie wangu ni zaidi ya hao wazungu, aah! Mungu si athumani!
nimejikuta naongea tu nakwambia, mnisamehe makungwi wenzangu, lolest! Zinduna msamaha mbele kha!
 
Last edited by a moderator:
achilia mbali mzungu mi sikumbuki kama nshawai kua na bf mweupe... May be vile kwamba sio celeb...!
 
Year Eiyer alikuwa sahihi, wanaume weusi tukihisi tunaibiwa kinawaka kweli kweli na panakuwa ahaptoshi, lakini wanaume weupe aka wazungu mke anaweza kumegwa na akaja kumwambia mumewe kwamba alimegwa lakini hayakuwa mapenzi bali tamaa ya ngono tu na mume akasamehe na maisha yakaendelea.........Mke anaweza kumwambia mumewe....
"I just have sex last night with someone buti it was not love, just sex......"
Na mume akajibu.... "It is ok my love....."

Kwa M-bongo pangechimbika..............LOL

Atathubutu kusema hivyo kwanza!!.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom