Wanaume weusi. . . . . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.Mshirik wa BBA revolution,Mtanzania Elizabeth Gupta,aliwahi kuwaponda wanaume au vijana weusi,akadai hakuwahi kuwa na kidume mweusi,lakini nashangaa ameolewa na Kevin ambae ni mweusi! Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?Kuna ushahidi wowote wa kisansi wa kuthibitisha hili?Naomba ieleweke kwamba hao niliowataja hapo sio kipimo cha ufahamu au wao ni bora,hapana.Nimewatumia kama mifano kuelezea tatizo la kutokujitambu tulilonalo!
 
Duh mie mweusi na najiamini na napendwa hao ni mawazo yao na tena wazungu ni dhaifu mpaka wafanye boosting na wanawageuza hao mlango wa uwani
 
Kibweka na wewe unaonekana jukwaa hili....huo mlango wa uwani ndo mlango gani.
 
Duh mie mweusi na najiamini na napendwa hao ni mawazo yao na tena wazungu ni dhaifu mpaka wafanye boosting na wanawageuza hao mlango wa uwani

Mlango wa uani?Wa chooni?
 
Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.Mshirik wa BBA revolution,Mtanzania Elizabeth Gupta,aliwahi kuwaponda wanaume au vijana weusi,akadai hakuwahi kuwa na kidume mweusi,lakini nashangaa ameolewa na Kevin ambae ni mweusi! Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?Kuna ushahidi wowote wa kisansi wa kuthibitisha hili?Naomba ieleweke kwamba hao niliowataja hapo sio kipimo cha ufahamu au wao ni bora,hapana.Nimewatumia kama mifano kuelezea tatizo la kutokujitambu tulilonalo!

Ma Miss (So called walimbwende) wa Tz and elsewhere si wanawake waliokosa maadili mpaka kuonyesha miili yao hadharani, you do not need discuss issues with these cursed ladies!!! m*la*a!!!!!
 
Eh!Ninaweza kuwa neno hili!
 
Black brothers can be very disappointing. But good thing is, we black sisters will never give up on ur silliness, lol! Tutabanana hadi kieleweke!

I don't believe this!Even you?
 
Sio kweli kwamba tunapenda wanaume weupe....Hata nyie wanaume kuna baadhi yenu mnapenda wanawake wa kizungu.. Na kama ni suala la pesa wapo weusi tuu wengi wanapesa..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom