Wanaume wenye sura mbaya ndio waanzilishi wa kuhonga wanawake

tondoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
207
51
Utakuta kuna mwanaume ana Sura ya ajabu, sura ya kutisha, sura utafikiri anakunywa Gongo kila saa, mpaka wanawake wanamuogopa kumuangalia. Mwanaume kama huyu mwanamke gani atamtaka, mwisho wake wananza kutumia wapambe kumpelekea pesa huyo mwanamke. Mwisho wa siku tamaa ya wanawake hujishitukia katembea na mtu la ajabu kisa pesa.

Wadau mnasemaje.
 
Mkuu naona sura yako na wewe iko kama tondoli tu!
 
Utakuta kuna
mwanaume ana Sura ya ajabu, sura ya kutisha, sura utafikiri anakunywa
Gongo kila saa, mpaka wanawake wanamuogopa kumuangalia. Mwanaume kama
huyu mwanamke gani atamtaka, mwisho wake wananza kutumia wapambe
kumpelekea pesa huyo mwanamke. Mwisho wa siku tamaa ya wanawake
hujishitukia katembea na mtu la ajabu kisa pesa.

Wadau mnasemaje.

mwanaume pesa sura akapigie piza za matangazo
 
Umenikumbusha mbali sana, kuna dada alikua na buzi lina pesa ndefu si utani, lilimsomesha yule dada mpaka akamaliza shule, likampangishia nyumba, dada akapata kazi mjini, akaanza kusomesha wadogo zake. Lakini dada alikua na wake wa rohoni kijana handsome alisoma nae

Buzi lilikuwa linakuja mjini kwa shughuli za biashara na walikua wanakutana hotelini. Basi siku moja katikati ya project dada akolea na kuanza kutaja jina la handsome boy! Ananiambia mzee alishrink ghafla kabla hata wazungu hawajatoka!!
 
Hiki kizazi kweli kipo mashakani, mwanaume unajisifia sura? Hiyo sura ndio italeta mahitaji nyumbani? Ndio maana vijana wengi ni mashoga
 
mkitoka kwa wanawake mnatufuata wanaume wabaya kweli dunia haina usawa
 
sidhani kama ni sahihi kuwaponda wanawake au wanaume wenye sura mbaya kwani hakuna mtu liyejua akizaliwa anakuwa na sura gani ni vizuri tukawahukumu kwa matendo yao
 
Back
Top Bottom