wanaume wenye ndoa

my dear.....mimi naona we utulie....achana na waume za watu....wana wake zao.....
Msichana ukijituliza ndio unapata mtu wa aina yako....coz utaheshimika....
sasa ukiwa kicheche....heee....hawa ndugu zetu hutakaa uwaelewe......
watakubandika....watakubandua....bandika...bandua.....

wanaume wa.com_wanawake wa.com wote ni full bandika bandua(vigeu geu)....Preta usinune plz ni ka ukweli tu
 
.ukiwa na jazba utampata kimeo ni suala la kutulia na kusali pia ili Mungu akupe mume mwema.
 
unatafuta emotional roller coaster tu! when u need him the most hapatikani.unless unapata very useless man,anaekaa mitaani hadi manane ya usiku. bt still he wont make u happy aisee.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom