Wanaume wenye ndoa ni wazinzi kuliko mabachelor

...kuna haka karesearch nimekaona mahali
eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje....

Naona matokeo ya utafiti wako yanashabihiana kwa karibu sana na yale ya Smith and Doe; wao waliona hivi:

"If a man is given an opportunity to engage in sexual relations with an attractive female, with no fear of getting caught and little risk of transmitted diseases, he will do so. Always. Without fail. There are no exceptions."

Tafakari, chukua hatua.
 
Back
Top Bottom