bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,860
hata mi nashangaa.......(hivi nimeelewa hapa kweli...?)
lol...huyu ndo Preta bana!!
hata mi nashangaa.......(hivi nimeelewa hapa kweli...?)
kwani wewe ni mtoto unaogopa dudu?wakati anaingia na kutoka bila kizuizi chochote.ahaaaaa unataka kunikula na mimi eeh?
kwani wewe ni mtoto unaogopa dudu?wakati anaingia na kutoka bila kizuizi chochote.
lidudu unalosemea ni hili......
Kwani Preta wewe unamuogopa huyo?
wakati unalala naye usiku kucha wala huhangaiki kumfukuza humo ndani.wenzio
hawataki hata atoke nje.
hili dudu bwana...ukitaka nikuambie siri zote tokea nilipozaliwa hadi leo.....basi lilete......zaidi ya hapo....madudu mengine yapo poa....hata buibui.....
kuna haka karesearch nimekaona mahali
eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje
wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa
wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao
je kuna kaukweli jamani?
Hizi anga zimelindwa.. ( controlled airspace )
Kwa hiyo napita kwa mbali..
"I am not afraid of storms for I am learning how to sail my ship - Louisa May Alcott"
Ok nimekupata ma dearniliuliza tu bwana kwani nilisema najitoa?
Reaserch yako ina data za uongo, data kamili ni kama ifuatavyo.kuna haka karesearch nimekaona mahali
eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje
wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa
wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao
je kuna kaukweli jamani?

na mtu akiomba clearance ya kupita kwenye anga yako.....Afrodenzi..?