Wanaume wenye ndoa ni wazinzi kuliko mabachelor

hao wa kithungu una jeuri nao basi au uunajifagilia tuu?

Kuku bana wa kienyeji,kabla ya yote unamwandaa vizuri kabla ya kumla na hakikisha viungo muhimu viko karibu
karoti inamenywa safi na unapochanganya na pilipili hoho basi unapata ladha halisi ya mboga.unakula kiulaini bila
kujeuza shingo kushoto,kuna kuku wengine wa kidhungu bana unakula huku umejeuza shingo kushoto bana kitu
kinavyolipuka
 
Siwezi kukupinga maana huwezi kuwa mzinzi kama hujafunga ndoa, teh teh teh .... sana sana utakuwa muasherati tu!
 
vikuku vya kienyeji haviendekezi kucheza kwenye matope kama bata.bana.wana jiheshimu sana.
Sasa kuku wa kidhungu analazimisha uchezee matope wakati wewe sio mla bata bana,mimi nachukia sana bebii.
tulia na wifi yetu bwana acha kuvunja amri ya sita mungu hapendi
 
tulia na wifi yetu bwana acha kuvunja amri ya sita mungu hapendi

Kwani si tunapita tuu bana,...tunarudi home taratiiibu kama umemwagiwa maji
vile na kulalamika sana uchomvu wa kukaa kwenye foleni muda mrefu.

Hautakiwi kuliamsha maana ukigusa tuu umeshitukiwa umekula meza ya nje.
 
kwani si tunapita tuu bana,...tunarudi home taratiiibu kama umemwagiwa maji
vile na kulalamika sana uchomvu wa kukaa kwenye foleni muda mrefu.

hautakiwi kuliamsha maana ukigusa tuu umeshitukiwa umekula meza ya nje.
dah si ungebakiza hata chenji jamani? Unamaliza kabisa?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom