wanaume wengine mnawezaje?

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
34,037
61,348
jamani mie nataka kuuliza wanaume wanawezaje kufukuzia demu kwa muda mrefu au kutumia pesa katika kutuma sms au kumtoa outing na vizawadi vidogo vidogo? mie nimejaribu lakini baada ya siku 3 niboreka au naona kama napoteza uda na mapenez
 
sio kila mtu anaweza hiyo ya kufukizia muda mrefu
wapo wengi kama wewe wasioweza pia
 
Hiyo waachie Kina babarita na alhandru vinginevyo utachanika msamba watu wana miaka ya kutosha hawajaona tunda.
 
jamani mie nataka kuuliza wanaume wanawezaje kufukuzia demu kwa muda mrefu au kutumia pesa katika kutuma sms au kumtoa outing na vizawadi vidogo vidogo? mie nimejaribu lakini baada ya siku 3 niboreka au naona kama napoteza uda na mapenez
Real love is kind, patient, giving, generous, and endless.
 
mabata yametia timu jamvini

craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap!
 
hbu poteza ka vp yan unafatilia demu ka unaomba ajira................pambaaaaaf umekua mtu mzima weye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom