Wanaume wengi wamepunguwa nguvu za kiume kwa sababu ya vimini vya dada zetu

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
Kukuwa kwa biashara ya dawa za kuongeza nguvu za kiume kunatokana na uvaaji wa kinadada wetu. yaani mwili wake wote huwa nje na wengine hata matiti yake huwa wazi pindi akitembea sehemu za watu sio. kwa kuwa macho huona na huona ni jambo la kawaida tu.
kwa hivyo kuna uwezekano sana wa mwanamme kuona jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom