wanaume wengi ni magumegume!

Jamani demand ya MAHANDSOME mjini imeongezeka, inabidi watu wacope na demand na wao by nature sio good looking, ndo kujituma na cosmetics za mchina! Ila mbona hata mastar kama Brad Pitt, George Clooney na D.Beckham wanapaka sana hizo kitu ili SHOTS ZITOKE CLEAR. I guess kwenye usanii U GOTTA LOOK DIFFERENT than the rest.!!!!!!!!

uhandsome wa mwanaume unapimwa mfukoni /wallet si kwa kupaka shedo

mwanaume unapaswa kuwa smart, msafi, unanukia full stop! Mapowder hayamuhusu, si kuwageza kina brad pitt
 
KWanza wanakaribisha chunusi tu usoni. Lol.

Mimi mwenyewe nawaangaliaga siwamalizi...whether awe msanii or not...eti wananyoosha kabisa mikono watengenezwe kucha. Kha.

Mfano mzuri ni yule mkongo alojichubua utadhani kinyago anakaribia kumliko Michael Jackson. Na yule mwingine anayevaa viblauzi vya kike na suruali za ming'aro sijuhi anajiita raisi wa masharobaro...Mh. Hata kama msanii you can still be 'a man'.

Sasa amekuwa mzuri au anachekesha tu.

uhandsome wa mwanaume unapimwa mfukoni /wallet si kwa kupaka shedo

mwanaume unapaswa kuwa smart, msafi, unanukia full stop! Mapowder hayamuhusu, si kuwageza kina brad pitt
 
Eti na lipshine kweli ukiwa rafiki yangu nikakuta umepaka lipshine nakupiga kibao!!na urafiki unaisha dume linatembea na kakopo kamafuta eti midomo inanikauka damn!!!

mwanaume anapaka lipcare, hii haibadirishi rangi ya midomo wala haing'ai, bali huzuia midomo kuchanika.
 
awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!

Wanawake mbona wana vaa suruali hamshangai, wanaume nao wanataka usawa kama mwanamke anafanya kwa nn mwanaume asifanye? Waache wafanye kitu roho inataka
 
Mi sina shida na mwanume anayejali lips zake...maana lips zikichanika na penyewe ni noma. Point ni kufanya yale ambayo ni necessary, siyo kujireeeeemba.

mwanaume anapaka lipcare, hii haibadirishi rangi ya midomo wala haing'ai, bali huzuia midomo kuchanika.
 
Huyu mwanamziki nampenda sana kwa kuwa vijana wangu (5 and 2 years) wanapenda miziki yake. Ila sipendi kabisa mavazi na anavyojiremba. Mpaka mwanamke waweza kujiona mwanaume ukiwa na mtu kama huyu.

Bob Junior a.k.a Sharobaro - Nanini - YouTube

walikua wanashindana na ben kinyaiya nani ni mweupe zaidi kwenye ben'mai live yan ndio ni mahandsom lakin sio kuwa proud na mashauz mengi we have to evaluate de different btn 2 genders!
 
awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine kalikiti womenglases wanavaa,wanatinda nyus yan cjui ni nini kimewapata!

Ulishawahi kusikia wimbo wa Vijana Jazz "Ngoma?" Jiulize mwanaume anasuka nywele, anapaka wanja na kunyoa nyusi, shanga kiunoni, lipstick/lip shine, anapaka perfume not cologne, pamoja na kubeba hii mikoba ya kina Rehmtullah, anataka nini huyo?
 
Eti mikoba ya kina Remtula. Lol.

Ulishawahi kusikia wimbo wa Vijana Jazz "Ngoma?" Jiulize mwanaume anasuka nywele, anapaka wanja na kunyoa nyusi, shanga kiunoni, lipstick/lip shine, anapaka perfume not cologne, pamoja na kubeba hii mikoba ya kina Rehmtullah, anataka nini huyo?
 
Huyu mwanamziki nampenda sana kwa kuwa vijana wangu (5 and 2 years) wanapenda miziki yake. Ila sipendi kabisa mavazi na anavyojiremba. Mpaka mwanamke waweza kujiona mwanaume ukiwa na mtu kama huyu.

Bob Junior a.k.a Sharobaro - Nanini - YouTube

Naona umeshapata jibu maana nilikuwa nataka kukujibu. Kama hujagundua, jibu ni hao wanao wa miaka 5, 2....wanampenda kwa sababu hawaelewi muziki wake bali wanapenda vituko vyake. Ila kama mzazi inabidi uanze kuwa na wasiwasi maana wasianze kumkopi kuvaa na kufanya vitu vya kisenge mapema kuona kama ni kawaida.
 
Ni kweli wapo,wengi wao ni wasanii au maarufu fulani na wanaowafuatia ni wale wa kunde lile baya. Mwanaume kamili wa kawaida hawezi kutinda nyusi na kuvaa shanga hata kidogo!!!
heeeeeeeeeeeeee shikamo! nimekumic wewe kaka yangu siku hizi wanaweka mpaka dawa nywele ziwe zakihindi mweeeee
 
Back
Top Bottom