Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Mungu ndiye mjuzi wa hayo.

Wanaume ukiachilia mbali tofauti ya umri hutumia nguvu na muda mwingi kutafuta. Katika utafutaji hupita katika maeneo hatarishi na kupata kemikali au gesi ambayo huua taratibu.

Wanaume wanaongoza kwa stress kutokana na familia na jamii inayowazunguka. Haya yote yanachangia ku accelerate death rate ya wanaume.
 
Simple math ni kuwa, wanaume huwa wanaoa mwanamke ambaye kiumri huwa ni mdogo kuliko mwanaume...

Life expectancy huwa inajumuisha jinsia zote mara nyingi...

Kwa mfano hapa Tanzania ni miaka 45, israel anakua ashaanza msako wa roho yako.
By the time unafikia umri wa kufa kufa,unakuta mkeo ndio kwanza ana miaka 6 hivi nyuma.
 
Kwa kawaida wanaume hawajishughulishi sana, mfano ukiwa nyumbani mwanamke anafanya shughuli ndogondogo ambazo scientifically is counted as part of exercise hivyo kupunguza rate ya kufa kwa ugonjwa wowote ule by 14%.

Hii ni moja ya sababu ya kwa nini wanaume wengi wanakufa mapema kabla ya wake zao. Hata ukiangalia familia nyingi mwanaume ndiye anakuwa wa kwanza kupata magojwa kama diabetes, hypertension, cancer n.k.

Wanaume tuache mfumo dume ili tuishi miaka mingi
 
Simple math ni kuwa,wanaume huwa wanaoa mwanamke ambaye kiumri huwa ni mdogo kuliko mwanaume...
Life expectancy huwa inajumuisha jinsia zote mara nyingi...
Kwa mfano hapa Tanzania ni miaka 45, israel anakua ashaanza msako wa roho yako.
By the time unafikia umri wa kufa kufa,unakuta mkeo ndio kwanza ana miaka 6 hivi nyuma.
Kwani mme wa bi kidude alikufa mwaka gani?
 
Mpitagwa

Utafiti wako unapata support ya data za census Tanzania na globally bila kujali ameoa au hajaoa, swali ni kwa nini?

Kuna msemo mwanamke na mwanaume wakifungiwa chumba kimoja kwa siku saba bila kula wala kunywa, mwanaume anatangulia kufa na mwanamke anafuata baadae.

Pili wanawake ni wengi kuliko wanaume Tanzania na globally why?
 
Nimepata point mbili ya kwanza hiyo ya kuficha stress na ya pili kufanya kazi sana. Naomba point nyingine jamani kwasababu kwa dunia ya sasa kuna wanawake wanapiga kazi si mchezo.
 
Utafiti wako unapata support ya data za census Tanzania na globally bila kujali ameoa au hajaoa, swali ni kwa nini? Kuna msemo mwanamke na mwanaume wakifungiwa chumba kimoja kwa siku saba bila kula wala kunywa, mwanaume anatangulia kufa na mwanamke anafuata baadae.

Pili wanawake ni wengi kuliko wanaume Tanzania na globally why?
That is exactly what I'm asking. Kwanini tunakufa mapema wanaume kuliko wanawake? Na naskia hata mbegu zinazobeba mimba ya kiume ni week kuliko zinazobeba mimba ya kike ila kwa hii sina ushahidi wa kisayansi zaidi ya story za vijiweni. sijui kama ni kweli au ni watu wanajaribu kutaka kukazia hoja tu ya why men and not women
 
wanawake ni wengi kwasababu wanazaliwa wengi
 
No woman no cry cjui bob aliwaza nini adi akatoa ili lisong.uzuri wote twafa na wanawake weng waliofiwa<wajane uwa wanajitenga sana na jamii wanajisikia kutegwa>
 
kwa sababu tukiudhiwa na wenzetu tunapiga kimya tunakufa ndani kwa ndani na maumivu,tukiwaudhi wanawake wao hupata relief kwa kuongea kila neno linalokuja kichwani mwao na kulia,hivyo hupunguza stress hivyo kuishi zaidi,Kaunga aliwahi kushauri wanaume waanze kulia hata kwa kujificha vinginevyo tutakufa mapema daima.

Emotional Suppression: Ni tatizo kubwa ambalo linawaua wanaume kutokana na socialization ambazo wanaume hupatiwa. Kwa mfano wanaambiwa ''wasilie kama wanawake'' matokeo yake anapokuwa stressed up halii which is a good way of relieving one's stress. Angalia katika jando:kijana hatakiwi kulia wakati ile local surgery inapoendelea. nk nk. so I agree with you hii inawaua wanaume wengi zaidi.
 
Pia at times mawazo ya jinsi unavyomsaliti mkeo yanachangia kukumaliza na unakuwa huna wa kuongea naye kumueleza maishu yako so unaishia kugugumia kufa na dukuduku moyoni..wafa kwa presa na mawazoya uchafu wao tu!
 
That is exactly what I'm asking. Kwanini tunakufa mapema wanaume kuliko wanawake? Na naskia hata mbegu zinazobeba mimba ya kiume ni week kuliko zinazobeba mimba ya kike ila kwa hii sina ushahidi wa kisayansi zaidi ya story za vijiweni. sijui kama ni kweli au ni watu wanajaribu kutaka kukazia hoja tu ya why men and not women
hilo lina ukweli.. mbegu zinazotunga watoto wa kiume hufa kabla ya zile za kike na mara nyingi mimba zisizotarajiwa huwa za watoto wa kike kwa sabbu hukawia kufa, ingawa sina uhakika kama ina uhusiano wowote na kufa mapema kwa wanaume. na hata kama wanawake wakiwahi kufa kabla ya waume zao basi mume huwa hakawii kufa tofauti na wamama wajane huishi muda mrefu sana kuliko wagane
 
Je unafahamu pia asilimia kubwa ya mbegu zenye muunganiko wa kutengeneza mtoto wa kiume wakati wa kurutubisha yai huwa zinakufa na hazifiki kurutubisha?

Je unafahamu pia asilimia kubwa ya watoto kati ya miaka 0-5 wanaokufa ni wanaume kwa sababu wana kinga dhaifu hivyo ni rahisi kushambuliwa na magonjwa?

Jaribu kufikiri sehemu yenye wanaume 100 na mwanamke 1, na sehemu yenye wanawake 100 na mwanaume 1 wapi pako more fertile?

Hata nyumbani utachagua kufuga ngómbe dume au jike?

Ni nature mjomba.
 
Pamoja na hilo la wanaume wengi kufa kabla ya wake zao,pia mara nyingi akitangulia mwanamke kufa mume huwa hakai sana bila na yeye kuvuta,tofauti na wanawake waliofiwa na waume zao
 
pia tendo la ndoa, mshindo mmoja kwa mwanaume ni sawa na mtu alielima ekari moja ya shamba!...anaebisha abishe tu! tendo la ndoa linaconsume adenosine triphosphate (ATP) nyingi sana, so inapunguza nguvu kwenye cell na kuuacha mwili ukiwa dhoofu.

kudadadeki!ndio maana mi hata kunenepa sinenepi!
 
pia tendo la ndoa, mshindo mmoja kwa mwanaume ni sawa na mtu alielima ekari moja ya shamba!...anaebisha abishe tu! tendo la ndoa linaconsume adenosine triphosphate (ATP) nyingi sana, so inapunguza nguvu kwenye cell na kuuacha mwili ukiwa dhoofu.
above is not true, tendo la ndoa lina faida sana kwa mwanaume na ni moja ya eksasaizi kubwa sana kwa mwanaume, nenda jf dokta kasome faida ya tendo la ndoa.
 
Nimepata point mbili ya kwanza hiyo ya kuficha stress na ya pili kufanya kazi sana. Naomba point nyingine jamani kwasababu kwa dunia ya sasa kuna wanawake wanapiga kazi si mchezo.
Risky life behaviours: smoking, over-drinking, fighting, too much exercise, workerholism, less sleep, nyumba ndongo, etc.
 
kuna kale kajamaa,kalikua kanaongea STAR tv, Kanaitwa dr...?nani vile?Kaliwahi sema Kila bao moja analopiga mwanaume, anapunguza sekunde tatu za kuishi!sasa nyie endeleeni kujisifia kuwa ni vidume kumbe mnapunguza siku za kuishi.nilijaribu kutafakari, nafikiri kuna wadudu wakipiga bao tu wanakufa, au wakizaa tu wanakufa.
 
Back
Top Bottom