Wanaume wembamba wana visa...

hulka ya binadamu kupenda asicho nacho. mimi sura yangu ni roundish au wengine huiita pana yaani ugonjwa wangu ni sura nyembamba dizaini za kisomali hata wife wangu sura yake ni nyembamba dizaini hizo. mwanamke mwenye sura pana km yangu kwa kweli ntamwomba tu awe dada yangu lkn msichana mwenye sura nyembamba kweli ananipagawisha!
 
Kwa kweli kipendacho roho hutakiwa zaidi...ila kuna hali fulani vile unavopanga na kuvipenda mara nyingi inakuwa tofauti unajikuta unaangukia kwa mtu ambae hata hayupo kwenye vigez vyako, na unampenda kwelikweli
 
Ni kitu gani zaidi kinachokufanya upende wanene sana? kwani wewe ukiwa mwembamba huwezi kuwa na wembamba wenzako?embu funguka kidogo
Mimi hata sijui kwanini dadaa!...napenda sana vya kuteleza,vya kubana sio zangu!
u know what i mean? lol
 
hapa sio wanaume wembamba wanapenda wanawake wanene ila wanawake wenene ndio wanapenda wanaume wembamba kwasababu ni watundu wanaweza kufika maeneo yote kwa urahisi tofauti bonge akakutana na bonge.................Ukute sasa mwanaume mwembamba kashoka mbuzi kagoma weeeeeee.................
 
Hivi ina maana watu wanavutiwa na maumbo tu? Kuna vitu vingi sana vinavyomvutia mtu. Kuna mtu akikuangalia tu watamani umfate mpaka anapoishia. Mwingine akiongea ndio mama wee. Ila nimeona hapa JF watu tuna discuss sana maumbo as if watu wana fall kufuata hizi nyama.
 
Chaka Demus alishasema hili katika "Gal Wine"

"Mi seh big fat gal love maaga man
All di maaga man love di big fat gal
Mi seh big body gal love slim body man
Di slim body man love di big body gal"
 
Mambo vp wakuu?
natumaini mko poa. kuna kitu kinaitwa "balance of nature". kwahiyo mwembamba na mnene ndio wamebalance, yani ni kama unavyosema +ve na -ve charges, msichana na mvulana, e.t.c
 
mhhh nyumba kubwa kwani watu wanaongeleaga maumbo tu humu? si kuna thread nyingi tu zinaongeea mambo tofauti?
 
Mambo vp wakuu?
natumaini mko poa. kuna kitu kinaitwa "balance of nature". kwahiyo mwembamba na mnene ndio wamebalance, yani ni kama unavyosema +ve na -ve charges, msichana na mvulana, e.t.c
haya kaba, so its all about balance huh!
 
Chaka Demus alishasema hili katika "Gal Wine"

"Mi seh big fat gal love maaga man
All di maaga man love di big fat gal
Mi seh big body gal love slim body man
Di slim body man love di big body gal"
Natamani niujue huu wimbo
 
kuna wimbo mmoja wa zamani sana ukiimbwa mwembamba mtoto mwembamba asiye na wivu mwembamba asiyemchoyo mwembamba mama sijui ni wa kenya ulee haha mmenikumbusha tena. lkn wote mkiwa wa nene hata haipendezi mkiwa tofauti atleast inakuwa swafii
 
mshangao.....nimeona kama unasema wanawake wanene wanapenda wanaume wembamba...
Kwa kinyume hivi lol
mi mwembamba by the way....lol
Wewe kila mtu humu anajua flavour zako ni wanene hakuna doubt
ila sikujua kama ni mwembamba kama avatar ya fidel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom