Wanaume wasitahiliwa

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
hili swali naomba niwaulize wa dada zetu wa jf hivi mkikutana na mwanaume ndio amekuaproach na amekuwa na umemkubali awe bf wako . au mmekutana tu one night stand na unakuja kukuta hajatailiwa a.k.a GOVI au mkono wa sweta huwa mnachukua hatua gani na mpo kitandani ? na je huwa mnalinyonywa ?
 
wee imekuwaje??

Ni ajabu kwa mt kula mbwa, ila mchina ni nyama ya wageni.

Ni ajabu kwa msukuma kula utumbo wa kuku, kwa watani ni snacks.

Ajabu kwako ni mazoea kwangu.

Unafungua ndani, unalamba unga wote, hatari iko wapi?
 
unamwambia, "sorry nimekumbuka nina email ya kutuma kwa bosi, tufanye siku nyingine" then unasepa.
 
Hivi Sinta sio memba hapa JF?? naona ndio angeweza jibu kifasaha zaidi.
 
kwa kweli yule muigizaji wa India anastahili kuja kushitaki huku
jinsi jina lake lilivyo haribiwa lol
 
jamani wakati mwingine,mnafanya wa2 waonekane kama machizi! Kwani unakuwa kwenye umati wa wa2 mala wanashangaa unacheka peke yako kumbe umekuta na neno la kufurahisha humu jf kama Govinda!
 
ila nasikia govinda wanakuwa na high sensitivity hivyo wana enjoy game zaidi
 
Hiyo kitu ni sawa na mwanamke asiyekeketwa.

Kutahiliwa ni utamaduni zaidi, kuna jamii mwanaume aliyetahiliwa hawezi kukubaliwa kirahisi na mwanamke.

Kwa mfano hapa Uholanzi mwanaume aliyetahiliwa kuoa mwanamke wa kiholanzi ni kama haiwezekani, kwani tamaduni nyingi za kiholanzi haziruhusu mwanaume kutahiliwa, asilimia zaidi ya 95 hawajatahiliwa na hawataki kabisa kabisa kutahiliwa, yaani ni rahisi kumfanyia Vasectomy mmasai kuliko kuwatahili wao!! Yaani kwao kutahili mwanaume hakuna tofauti na kuketa mwanamke
 
Hivi Sinta sio memba hapa JF?? naona ndio angeweza jibu kifasaha zaidi.
Ukiona manyoya ujue....
Sizitaki mbichi.....

Kwa vyovyote vile Sinta aliliwa na inaonekana ali enjoy ile kitu, maana ni yeye aliyeanza kumwagia misifa yule mganda, lakini mganda alipochoropoka tu Sinta akaanza kubwabwaja.

Halafu kuna tetesi kuwa mastaa wengi wa kike wa bongo sasa wameaanza kujipendekeza kwa kasi kwa yule mganda ili nao wapigwe na mkono na sweta!!!
 
Nimeshakutana na mwenye govi and it was okay, in fact he was very romantic. Siku go down of course lkn he was the first man to make me come; after been in relationship with my first guy for 4 yrs. Na sikuwahi kuuona huo unga!

So if l meet with a man hata leo, sintamshurutisha atahiriwe. Kwanza nafikiri ni nzuri kwao kwani the head inakuwa very sensitive coz haiko exposed sana. Siwezi semea mambo ya afya, lkn nafikiri ukiwa msafi na muaninifu you should be fine; otherwise Mungu asingewaumba na govi.

BTW wanyama wanatahiriwa???????
 
Khaaaaaaaaaaaaa! We mwana weeee! Ndo umepata GOVINDA linataka ushike MIC nini? Shauri yakooooo! Mambo mengine yanaletaga zinaa za mdomoni!!! Si ulipeleke kwa Dr. likakatweeee!

Mi kuna jirani yangu alikuja toaka Mbeya huko vijijini kwa maza wake, sasa form 1 ndo akahamia jirani yetu kwa dingi yake. Mi nilikuwa six hapo!!!! Akaniconsult kuwa hayuko free shuleni kuoa coz wenzie WANAYAPONDAJE MAGOVINDA!!!! Anaogopa hata kutafuta demu! Nikamwambia hilo si suala la kujadili, kama ana 20,000 twende hospitali, mi nina ndugu yangu Dr, atamsaidia! Tukatinga Hospitali akapew TIBA MBADALA YA UGOVINDAA! Kimbembe alivorudi kwaooooo! Weeeeeeee! Baba yake alinijiaje race!!!!! Kwanini na kama nani nimempeleka mwanae hospitali?????? Mi nikajitetea tu kuwa niliona hiyo hali itamuathiri kimasomo, na ameshindwa kukuface(kwanza ulikuwa wapi mpaka afike form 1) alfu ni jambo dogo nikampeleka linapotatuliwa!!! Dingi alinimind kinomaaa!
 
Nimeshakutana na mwenye govi and it was okay, in fact he was very romantic. Siku go down of course lkn he was the first man to make me come; after been in relationship with my first guy for 4 yrs. Na sikuwahi kuuona huo unga!

So if l meet with a man hata leo, sintamshurutisha atahiriwe. Kwanza nafikiri ni nzuri kwao kwani the head inakuwa very sensitive coz haiko exposed sana. Siwezi semea mambo ya afya, lkn nafikiri ukiwa msafi na muaninifu you should be fine; otherwise Mungu asingewaumba na govi.

BTW wanyama wanatahiriwa???????

Vipi alivaa condom?. Manake sipati picha govinda akivalishwa cofia anakuwaje.
au mshikaji alitembea peku!!!? manake Govinda akivalishwa cofia, atakuwa kama aliyetahiriwa tu. ngozi yote lazima irudi nyuma na kichwa kitakuwa exposed tu.
 
Baadhi ya Nchi za ulaya na asia hawana kabisa huo utamaduni wa kutairi. wengine wanadai husababisha kupungua nguvu, kupungua saizi, kuondoa sensitivity kama ujuavyo ngozi ni moja ya milango saba ya fahamu.Ila kwa nchi zinakeketa kama sehemu ya Usafi(ndomana inaitwa Tohara), Kuepusha magonjwa (std au UTI) kuna makala fulani ya kitabibu inayohusisha Kansa ya viungo vya uzazi na ugovi.
 
Siyo Ulaya tu. Hata jirani zetu Zambia kama wewe umeiriwa huwezi pata mwanamke labla wale wanao jiuza nao huwa wanakubali kwa shingo upande
 
Hiyo kitu ni sawa na mwanamke asiyekeketwa.

Kutahiliwa ni utamaduni zaidi, kuna jamii mwanaume aliyetahiliwa hawezi kukubaliwa kirahisi na mwanamke.

Kwa mfano hapa Uholanzi mwanaume aliyetahiliwa kuoa mwanamke wa kiholanzi ni kama haiwezekani, kwani tamaduni nyingi za kiholanzi haziruhusu mwanaume kutahiliwa, asilimia zaidi ya 95 hawajatahiliwa na hawataki kabisa kabisa kutahiliwa, yaani ni rahisi kumfanyia Vasectomy mmasai kuliko kuwatahili wao!! Yaani kwao kutahili mwanaume hakuna tofauti na kuketa mwanamke

Hahahahahaha......... kwa hiyo ROBIN VAN PIRSE!! nae ni mkono wa sweta?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom