Wanaume/Wanawake naombeni ushauri kwa huyu bestito wangu Chokonoa chokonoa yake imemcost...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Wakuu hope mko okay...

Sasa jana narudi zangu kutoka job nakutana na shostisho wangu ananisubiri home na story ilikuwa hivi...

Siku nying amemstukia mumewe kuwa ana uhusianao na secretary wake sasa juzi jioni wakati mumewe anaenda kuonga akachukua simu ya mumewe kwenye lile jina la secretary akabilisha ikaweka namba yake yaani ya mkewe...basi jana asubuhi wakati anaelekea kazini jamaa akamtumia msg kwenye lile jina la secretary 9 ikaenda kwa mkewe) akimwambia:

Mume: Honey leo sintakuwa na muda wa kuonana mimi na wewe sweet wangu kuna sehem naenda..msg akapata mke

Secretary (Mke): akamuuliza utakuwa wapi dear wangu au uko na mkeo...sasa hapo anayeuliza ni mke
Mume: Nina kikao na kazi za kiofisi niwe na mke wapi kwani hanifurahishi kama wewe penzi analonipa ni la kitoto sana wewe honey wangu nakupenda tena natamani niachane na huyu mshenzi ( mke) sema tuu nimeshafunga naye ndoa na tuna watoto kwa hiyo naishi naye kama kuigiza tuu ni pumbavu (mke) sana we ndio la azizi wangu nakupenda na ulizaliwa kwa ajili yangu...sasa huyu shosti wangu kupata hii msg alichanganyikiwa na ameshindwa hata kufanya kazi zake jana...

sasa wana Jf wenzangu hebu nipeni maushauri hapa kwani hiyo jana nilimtuliza tuu nikamwambia atulie na leo jioni ndio nitaonana naye je nimshauri nini??

Ila jamani kwenye ndoa kuna mambo mengi sana...mume ana kosa na mke bestito wangu vilevile ana makosa...kutafuta presha na wakati maisha yenyewe ndo haya na kitendo cha kubadilisha number kwenye jina la secretary....
 
Topic kama hii ilikuwa hapa majuzi tu....cheki kwen sticky ya mambo ya simu
 
Ukikua utaacha ku-personalise silly jokes huko fb na kuzileta hapa. This is an old old story unajua? We sniff around, get it?
 
Ukikua utaacha ku-personalise silly jokes huko fb na kuzileta hapa. This is an old old story unajua? We sniff around, get it?

pole pole jamani...alikuwa na nia njema tuu ya kuleta uzi hapa..
Afterall hata mm leo ndo siku yangu ya kwanza kuuona huu uzi..
 
Mmmmmh mmmh mmh mmmmh,kama ni kweli huyo shostito wako atakua alisoma uzi wangu ndio akaenda kuapply au ndio uzi wangu umeshachakachuliwa na wafesibuka!!!
 
Mke hana makosa,hata biblia(kwa wale wakristu) inasema mwanamke atamlinda mume wake,na ndivyo ilivyo,kwa hiyo amefanya kulingana na lililokwisha andikwa,as u know kila neno nililo kyenye bible lazima litatokea!Nampa pole,tumwombee apate hekima ya kuongea na mume wake.
 
Mmmmmh mmmh mmh mmmmh,kama ni kweli huyo shostito wako atakua alisoma uzi wangu ndio akaenda kuapply au ndio uzi wangu umeshachakachuliwa na wafesibuka!!!

Badili tabia yako kama ni wewe...
 
Ukikua utaacha ku-personalise silly jokes huko fb na kuzileta hapa. This is an old old story unajua? We sniff around, get it?

Mtu mzima unampimaje?? hii ni faida ya wengine ambao hawana hiyo mitandao but this is true story...sijatoa kwa mitandao
 
Haina tofauti na mada za madhara ya simu kwenye Mapenzi..
Cheki kule 'sticky' utapata cha kumshauri huyo nduguyo...
 
Hivi mna habari kuwa hapa watu tunapata ma ujuzi. Mimi mwenyewe nilishasema ntatumia hii mbinu plus mbinu zangu nyingine za ki FBI kupima upepo wa ndoa yangu. Lol.

Kwa hiyo inawezekana kabisa kuwa huyo bishostito ame apply alichosoma JF kikajibu. Hivyo msishangae uzi kufanana...si wote wanasoma na kuacha wengine tuna test.

Mmmmmh mmmh mmh mmmmh,kama ni kweli huyo shostito wako atakua alisoma uzi wangu ndio akaenda kuapply au ndio uzi wangu umeshachakachuliwa na wafesibuka!!!
 
Copy and paste
wala haipendezi hangaisha kicwa chako kuleta mada mpya!!!
 
Nyumba kubwa nakubaliana na wewe hizi nyuzi zinafundisha kweli,sasaaaa kama wewe utatumia hii mbinu naomba basi utumegee hayo maujuzi yako mengine ya kiFBI tushee.Nashangaa wengine wanavyosema ni tabia mbaya kumlinda mume wako..Nilipata mshtuko wa ghafla ila sitaacha kumlinda na kumchunguza hilo analijua.

Hivi mna habari kuwa hapa watu tunapata ma ujuzi. Mimi mwenyewe nilishasema ntatumia hii mbinu plus mbinu zangu nyingine za ki FBI kupima upepo wa ndoa yangu. Lol.

Kwa hiyo inawezekana kabisa kuwa huyo bishostito ame apply alichosoma JF kikajibu. Hivyo msishangae uzi kufanana...si wote wanasoma na kuacha wengine tuna test.
 
Badili tabia yako kama ni wewe...

Ni mimi na siwezi kubadili tabia yangu kwa sababu nina haki ya kumlinda mume wangu,ninachowashukuru wana MMU walinipa msaada mkubwa sana wa mawazo jinsi ya kukabiliana na hali ile hadi tulivyofikia muafaka.Nikihisi kitu kibaya kinaendelea nitatafuta njia nyingine ya kimafia kuujua ukweli.
 
Back
Top Bottom