wanaume wanateswa na wake zao

Bettina

Senior Member
May 3, 2009
102
24
Jumapili fulani Kanisani padre aliamrisha wanaume wote wanaoteswa na wake zao wasimame; walisimama wote isipokuwa mmoja tu alibakia amekaa!
Padre: Haleluya! MUNGU umemshirikishaje? Wewe huteswi na mkeo?
Akajibu:Kanivunja miguu yote hata kusimama siwezi!
 
Lord of Mercy.. I hope umeamua kuchangamsha ukumbi.

Vipi khs wanaume wanaowapa kichapo wake zao mpaka wengine mimba zinawachoropoka?
 
Sijafanya utafiti wa kina kutathmini kati ya wanawake na wanaume ni kina nani wanawanyanyasa zaidi upande mwingine BUT hypothesis is "wanawake wanawanyayasa sana wanaume" Mwanaume akimpiga mke wake ni indication kwamba hicho kitu ni repetitive baada ya onyo. Wanawake wanarudia sana makosa hasa baada ya kuonywa ili tu kufrustrate upande mwingine. Wanawake hufikiri ili wawe kwenye control inabidi kumfrustrate mwanamme kwa kuwa mwanamme hufikiri logical wanawake humfanya afikiri illogical ili apate loop hole ya kumkandamiza mkewe. Hapa naongelea most of educated couples na sio wale wanaobeba majembe kuni na mtoto begani.
 
Back
Top Bottom