Wanaume Wanaowasaidia Wake Zao Kazi za Nyumbani Ndoa Zao Hudumu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
Wanaume Wanaowasaidia Wake Zao Kazi za Nyumbani Ndoa Zao Hudumu
4510558.jpg

Utafiti umeonyesha kuwa wanaume wanaowasaidia wake zao kazi za nyumbani ndoa zao hudumu Friday, May 21, 2010 2:52 AM
Wanaume ambao huwasaidia wake zao kazi mbalimbali za nyumbani kama vile kupika, kuosha vyombo na kuwaogesha watoto, ndoa zao hudumu muda mrefu kulinganisha na wale wanaosubiria kufanyiwa kila kitu na wake zao. Utafiti uliofanywa na watafiti wa chuo cha London School of Economics (LSE) cha Uingereza umeonyesha kuwa wanaume wanaowasaidia wake zao kazi za nyumbani ndoa zao hudumu muda mrefu kulinganisha na wanaume ambao hawependi kuwasaidia kazi za nyumbani wake zao.

Utafiti huo ulisema kuwa ndoa ambazo mke na mume wote wanafanya kazi huwa katika hatari kubwa ya kuvunjika iwapo mume hamsaidii mkewe kazi za nyumbani.

Utafiti huo uliopewa jina la "Men's Unpaid Work and Divorce" ulihusisha familia 3500 za Uingereza.

Matokeo ya utafiti huo yalionyesha kuwa wanaume ambao waliwasaidia wake zao kazi za nyumbani kama vile kwenda sokoni, kuosha vyombo, kupika na kuwaangalia watoto ndoa zao zilionyesha kuwa imara zaidi.

Hata hivyo utafiti huo ulisema kuwa ndoa za watu wa zamani zilidumu sana kwa kuwa mke alikuwa hafanyi kazi akijishughulisha na kazi za nyumbani pekee wakati mume alifanya kazi kutafuta chakula kwaajili ya familia.
 
Si ndo mwanzo wa kuitwa bushoke!

Sio kweli ukimsaidia mke wako utakuwa Bushoke, kamanda Ndiba vipi bwana, huo ni ugentleman bana, we jaribu siku moja kuosha vyombo, uone penzi utakalo pewa na wife wako --lakini hii kama umeoa, am telling mtaishi vizuri sana kama mnasaidiana ndani ya nyumba
 
Nimefarijika sana na huo utafiti. Hizo zote nazifanya na nyingine nyingi tu! Na sasa navuta kwenda mwaka wa 10, sijaona dalili za kulimwa kibuti. Ngoja niendelee kufanya hako ka utafiti kwa tutaishia wapi.

Huu utafiti una ukweli kwa kiwango kikubwa, ila wamesahau kuongeza kuwa na endapo mume huyo hatazungushi ki-hiace mitaani!
 
Si ndo mwanzo wa kuitwa bushoke!

Hiyo ya Bushoke inahusishwa na uswahili. Sisi tuna-operate kisasa kabisa. Hakuna mzizi wala nini. Mwendo wa ratiba na kuangalia uzito wa kazi ulionao mwenzako. Mambo ya Bushoke hakuna katika hii issue!

Sio kweli ukimsaidia mke wako utakuwa Bushoke, kamanda Ndiba vipi bwana, huo ni ugentleman bana, we jaribu siku moja kuosha vyombo, uone penzi utakalo pewa na wife wako --lakini hii kama umeoa, am telling mtaishi vizuri sana kama mnasaidiana ndani ya nyumba

Kweli kabisa. Mwambie aniulize ili nimweleze, "from the Horse's mouth"! Hii kitu inapunguza stress kwa my wife na kumfanya apumue, tayari kwa dinner!
 
Wanaume Wanaowasaidia Wake Zao Kazi za Nyumbani Ndoa Zao Hudumu
4510558.jpg

Utafiti umeonyesha kuwa wanaume wanaowasaidia wake zao kazi za nyumbani ndoa zao hudumu Friday, May 21, 2010 2:52 AM
Wanaume ambao huwasaidia wake zao kazi mbalimbali za nyumbani kama vile kupika, kuosha vyombo na kuwaogesha watoto, ndoa zao hudumu muda mrefu kulinganisha na wale wanaosubiria kufanyiwa kila kitu na wake zao. Utafiti uliofanywa na watafiti wa chuo cha London School of Economics (LSE) cha Uingereza umeonyesha kuwa wanaume wanaowasaidia wake zao kazi za nyumbani ndoa zao hudumu muda mrefu kulinganisha na wanaume ambao hawependi kuwasaidia kazi za nyumbani wake zao.

Utafiti huo ulisema kuwa ndoa ambazo mke na mume wote wanafanya kazi huwa katika hatari kubwa ya kuvunjika iwapo mume hamsaidii mkewe kazi za nyumbani.

Utafiti huo uliopewa jina la "Men's Unpaid Work and Divorce" ulihusisha familia 3500 za Uingereza.

Matokeo ya utafiti huo yalionyesha kuwa wanaume ambao waliwasaidia wake zao kazi za nyumbani kama vile kwenda sokoni, kuosha vyombo, kupika na kuwaangalia watoto ndoa zao zilionyesha kuwa imara zaidi.

Hata hivyo utafiti huo ulisema kuwa ndoa za watu wa zamani zilidumu sana kwa kuwa mke alikuwa hafanyi kazi akijishughulisha na kazi za nyumbani pekee wakati mume alifanya kazi kutafuta chakula kwaajili ya familia.

Kwa kweli haya yote ni kweli...
Shida ni kwamba, wengi tumelelewa katika hali ya "mfumo dume", na ndo maana wengine wanafikiri kumsaidia mke ni "ubushoke"
 
.........Huu utafiti naukubali, ni kweli kabisa mwanaume akiwa anakusaidia kazi yaani penzi ndio linazidi maana anakupunguzia mzigo wa kazi nyingi za nyumbani ambao utakufanya uchoke.
 
Kwa kweli haya yote ni kweli...
Shida ni kwamba, wengi tumelelewa katika hali ya "mfumo dume", na ndo maana wengine wanafikiri kumsaidia mke ni "ubushoke"

Inawezekana ila nadhani baadhi ya wanaume wanasumbuliwa na inferiority complexes! Anahisi ataonekana Bushoke akimsaidia mke wake wakati ofisini anawabebea wakubwa zake mafaili hadi chai!
 
Si ndo mwanzo wa kuitwa bushoke![/QUOTE]
duh siamini kama bado kuna watu wa aina hii wana-exist katika dunia ya leo:angry: mie huwa nawaita 'short-sisted' hivi dunia ya leo mtu na akili \zako utaogopa kuishi na mke/mumeo kwa staili mnayotaka eti kisa utaitwa bushoke?? watu wanaoishi kwa kusaidiana kazi na malezi ya watoto ni kweli wanakuwa na mapenzii ya kweli na ni mara chache sana kusikia wanap ishana lugha au kugombana, hakuna wa kumlaumu mwenzie kwa lolote linalotokea nyumbani kwani kwa kila hatua wanashirikiana wanaamua pamoja na kufanya utekelezaji pamoja, ambaye hajajaribu hilo hebu akajaribu na ataona mabadiliko makubwa katika ndoa yake. siku hizi kila kitu ni kusaidiana, kuleta chakula, kujenga, kusomesha watoto n.k. sasa iweje ikifika zamu ya kufua na kupika uone ni kazi ya mama pekee?
 
Si ndo mwanzo wa kuitwa bushoke!

vitu vingine ni malezi zaidi
binafsi huwa siwezi kumwambia mwanamke
eti nitayarishie maji ya kuoga au niandalie chakula.....

mimi nimezoea ukiwa na njaa unaingia jikoni na kujipakulia
mwenyewe,na kuoga kama maji hakuna bafuni unakwenda
mwenyewe kutafuta yalipo na kuoga....
sijabadilika,nipo hivyo hivyo still
 
congrats bro thats gentlemanly behaviour.:thumb:
 
Mimi sioni kama ni suala la kuwa gentleman au la. Ni suala la kuwa responsible. Utasubirije kuletewa maji bafuni wakati mtu unayetaka akuletee maji ana kazi nyingine na wewe uko tu uanaangalia movie? Au utamwambiaje mwenzako akuipakulie chakula wakati yuko anaogesha watoto au kuwatandikia kitanda? Ni upuuzi wa hali ya juu mwanamume kujaribu kumfanya mke wake kijakazi.
 
for the first time kuona wanaume wanaongea lililo jema hivi!!(maana wako very few wenye mtizamo chanya juu ya mwanamke)
kweli jamii yetu ya sasa inaanza kuamka na kuona mwanamke ni binadamu/mtu
 
Kweli, inawezekana ni mara yako ya kwanza.
Aza
user-offline.png
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Tue Feb 2010
Location uvungu
Posts 153
Thanks : 306
Thanked 26 Times in 22 Posts
 
Hongereni wakina baba munaoona umuhimu wa kuwasaidia wake zenu katika shughuli mbali mbali za nyumbani. Ni kweli kabisa nyumba inakuwa na furaha na upendo na watoto wote wanaona kufanya kazi ni jukumu lao kwa vile baba na mama nao wanasaidiana.

Tatizo kubwa ninaloona ni mama mkwe au mawifi wakija hapo nyumbani na kuona mtoto/kaka yao anafanya kazi kusaidiana na mkewe - heeeee itakuwa nongwa na maneno tele tele.

Ila mukiwa na msimamo basi mambo yanakuwa poa, lakini pagumu hapo hasa anapokuwepo mama mkwe nyumbani.
 
vitu vingine ni malezi zaidi
binafsi huwa siwezi kumwambia mwanamke
eti nitayarishie maji ya kuoga au niandalie chakula.....

mimi nimezoea ukiwa na njaa unaingia jikoni na kujipakulia
mwenyewe,na kuoga kama maji hakuna bafuni unakwenda
mwenyewe kutafuta yalipo na kuoga....
sijabadilika,nipo hivyo hivyo still

ıuǝnɥɐ ǝʇɐdıu ɐʞɐdɯ ıɹıqnsɐʇıʞ ısɐq ɐʎuɐɟıʞnʞ ɐzǝʍoʇnʞ ɐɥɔ ısɐıʞ ɐʍɾuoƃɯ ıu ɐɯɐʞ ɐu ɐʍɾuoƃɯ ɐʍıʞıu ɐʇɐɥ ǝןıʞ ǝʇoɥɔoɥɔ ɐʍıʎuɐɟnʞ ıpuǝdıs ǝdʎʇ ǝɯɐs ǝɥʇ ɟo ɯɐ ı 'ssoq noʎ ɥʇıʍ ʎʇıɹɐןıɯıs ɹǝɥʇouɐ ¡ssoq noʎ ʞuɐɥʇ
 
Back
Top Bottom