Wanaume wanaongoza kwa kutovaa pete ya ndoa

Bacha wewe umevaa pete ya ndoa?? Kama hujavaa ulipokea ya nini pale kanisani/Kwa RC.

Si ungeiacha hapo kwa padri/mchungaji

kumbuka DA, PETE NI ISHARA TU!,
sio kwamba ukiivua basi na ndoa imekufa mama!!!!
 
Huna lolote wakware utawajua tu Rose analijua hilo?

Tena ungejua Rose wangu hanaga nafasi na issue ndogo kama hizi,
wallah, wala usingeniuliza hivo!!!!!!!
thamani ya ndoa haijabebwa kwenye pete,
bali kwenye moyo wake!!!!
 
I think baadhi ya madhehebu ya dini hayaoni mantiki kwa Wanandoa kuvaa pete wala aina yoyote ya mapambo.
 
Ukona pete haivaliwi ujue ndoa ishachakachuliwa hiyooo

Yaani ungejua jinsi pete za ndoa zilivyo dili siku hizi....akina dada wa siku hizi wanapeeeeeeenda wanaume waliovaa pete za ndoa,sijajua sababu ila nadhani wanahisi wanaume waliooa wako serious ktk commitments.
 
Sio ukware wala nini, ukiwa na pete ndio unamega kama unanawa maana hata kababie kanakuwa kanajua mzigpo sio wake so minadhani pete kwa wengine zinaondoa uhuru lakini sio eti anaficha asijulikane kaoa
 
Ni kweli wanaume wengi hawapendi kuvaa pete hususan za ndoa,
Nadhani shauri ya ukware ndo maana huwa hatupendi kuzivaa pete za ndoa na hasahasa vijana, ila kwa watu wazima huzivaa muda wote.

Kuna watu wanavaa pete vidoleni na ukware unaendelea kama kawaida. Ukware ni tabia ya mtu hauwezi kudhibitiwa na pete iliyokaa kwenye kidole.
 
Yaani ungejua jinsi pete za ndoa zilivyo dili siku hizi....akina dada wa siku hizi wanapeeeeeeenda wanaume waliovaa pete za ndoa,sijajua sababu ila nadhani wanahisi wanaume waliooa wako serious ktk commitments.

vijana wasumbufu sana
 
mie automatically toka utoto wangu huwa sipendi kuvaa vitu mwilini kama bangili,heleni,pete au kubadilisha nywele kama mtoto wa kiume huwa naona sipo huru nikifanya mambo hayo kikubwa ninahisi wengi wanavua kutokana na either sio waaminifu kwa ndoa zao au hawapendi tu kwasababu wanaona mzigo mwilini

Kwani unapokuwa mtoto unakuwa umeoa? acha hizo bana. Ndio maana unaambiwa unapooa au kuolewa its not about you enimoo.... its about us us us kwa kila kitu. Kwa hiyo kaka angu kila kitu unachofanya ukipata mwenza wa maisha unamuwazia na mwenzako. Kama mkipatana msivae basi msivae wote.
 
Like it or not a wedding ring is important to wear,ndo maana zikawepo!.ndo maana kuna traditions watu wanavaa kama vibangili just to differentiate you from those who are not married,.na wengi(sio wote) hawavai kwasababu hawataki kuondoka kwenye kundi la ubachelor where unafanya vitu bila macho ya watu kusema hivi wewe si umeoa?wanataka kuplay it safe!.
 
Back
Top Bottom