Wanaume wanaongoza kwa kususa misosi

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
NI UKWELI TENA WAKUAMINIKA, TENA WAKUKUBALIKA.

WANAUME WANAONGOZA KWA KUSUSA MISOSI KAMA ADHABU KWA WENZA WAO

NA WANAWAKE WANAONGOZA KWA KUSUSA KUTOA SERVICE 6x6.

IVI NANI MSHINDI
icon6.png
 
NI UKWELI TENA WAKUAMINIKA, TENA WAKUKUBALIKA.

WANAUME WANAONGOZA KWA KUSUSA MISOSI KAMA ADHABU KWA WENZA WAO

NA WANAWAKE WANAONGOZA KWA KUSUSA KUTOA SERVICE 6x6.

IVI NANI MSHINDI
icon6.png

Mimi siwezi kususa bana............chakula nitafute mwenyewe, halafu namsusia nani?
 
NI UKWELI TENA WAKUAMINIKA, TENA WAKUKUBALIKA.

WANAUME WANAONGOZA KWA KUSUSA MISOSI KAMA ADHABU KWA WENZA WAO

NA WANAWAKE WANAONGOZA KWA KUSUSA KUTOA SERVICE 6x6.

IVI NANI MSHINDI
icon6.png

Mimi huwa sisusi msosi hata kama mtani wa jadi ataupanga akiwa amenuna na mdomo unakaribia kugusa pua. Labda tu msosi uwe na matatizo ya kimsingi mfano wali uliojaa mchanga, mchuzi umezidi chumvi, ugali ambao haujaiva vizuri na mambo kama hayo. Kama mamsapu akibalilisha na kurekebisha kasoro shughuli ya kula inaendelea kama kawa. Hilo la kususa kutoa service tuwasubiri wenyewe waje kulonga hapa.
 
Nasusa msosi cuz naweza nunua msosi nje! Na wyf akisusa ....... mmmmmhh, kuna wengi nje at my disposal. So, vidume we always win.........
 
kweli wanaume ndo huwa sana wanasusa msosi mi pia niliwahi kususiwa loo iliniuma ile mbaya. ila mi sikususa sita kwa sita
 
Tunasusa kwa sababu utakulaje chakula unakinyongo?halafu m sili chakula ambacho ni kioto oto
 
Kususiana ni utoto!

Haimalizi matatizo sana sana it sends a very wrong message esp kwenye 6 x 6!
 
Mimi huwa sisusi msosi hata kama mtani wa jadi ataupanga akiwa amenuna na mdomo unakaribia kugusa pua. Labda tu msosi uwe na matatizo ya kimsingi mfano wali uliojaa mchanga, mchuzi umezidi chumvi, ugali ambao haujaiva vizuri na mambo kama hayo. Kama mamsapu akibalilisha na kurekebisha kasoro shughuli ya kula inaendelea kama kawa. Hilo la kususa kutoa service tuwasubiri wenyewe waje kulonga hapa.

Sijawahi wala huwa sipiti sana jukwaa hili ila mkuu umenifurahisha na nakuunga mkono.
 
Utasusa mara ngapi ..mimi siwezi kususa hata iweje..labda niwe nimeshiba tu..

Nitakula na kama hawakuweka mezani (pretending wamekasirika) wataweka na kupika kwa nguvu..ala!
 
kususa ni ujinga, haswa wa dada, me sisusi maana ni kuongeza ugonvi na kumsukumia mme aende nje zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom