Wanaume wanafanya na kujitesa vipi ili kuvutia wanawake kama wanawake wanavyofanya?

Hebu ngoja kwanza nikastue,manake nadhani kuna jam mahali,lol!japokua my main point ilikua mtoa mada kasema tunajichubua kwa ajili ya kuwaridhisha wanaume. Nikakataa kua ni issue ya self esteem....
Wanaume wenyewe wanabishana tu!

Kubishana ni haki yetu ya kuzaliwa, so don't worry. Tutaelewana tu baadae kwa hoja na matokeo,maana mtu ukimwambia usiache mwili kujaa fats akabisha, tumbo likindokea chini si inakula kwake?
 
Siku hizi hata wanaume wanajali jinsi wanavyo onekana sio kwa ajili ya kuwavutia wanawake tu ila pia kuwa na muonekano mzuri kwa ujumla.
Ingawa kwenye swala zima la mahusiano uhandsome na uzuri wa ndani ndio unaobeba 99% ya uhusiano.
 
- tunajiingiza kwenye madeni yasiyolipika na kuishi maisha tusiyoyamudu.... matokeo yake tunatembea kutwa nzima na maumivu ya kisaikolojia! Tunahofia kukimbiwa na wapenzi wetu na pole pole tunagundua kuwa chochote tunachofanya haitoshi na inabidi tufanye zaidi! Mwisho unakuta watu wanaishia lupango kwa makosa yanayotokana sana sana na kujaribu kuwin, kufurahisha au hata kutunza kipenzi cha roho! dada zetu wana gharama sana!
 
Mzee ushawahi ku max out VISA yako nini? Lol....
 
Tafiti zaonesha kuwa, Wanawake wanapo vaa na kujipamba siyo kwa ajili ya kuwavutia wanaume bali hasa kuwaringishia wenzao.
Mabinti hushindana kwa mavazi na wala suala la wanaume halipo hapo.
wakiwa wataalam wa psychology, wadada hujua fika kuwa wakaka ni mazuzu wa fasheni, hata wasichana wakivaa gunia wanaume watawafuata tu
 
Siku hizi hata wanaume wanajali jinsi wanavyo onekana sio kwa ajili ya kuwavutia wanawake tu ila pia kuwa na muonekano mzuri kwa ujumla.
Ingawa kwenye swala zima la mahusiano uhandsome na uzuri wa ndani ndio unaobeba 99% ya uhusiano.

Kweli.Siku hizi tunashindana nao kukesha salon na kupigana vipepsi kwenye dressing table..halina ubishi.Ila unajua njia moja ya kujua kama mumeo kapata nyumba ndogo ni jinsi anavyoanza kukoleza utanashati, anavyojifua hata kwa jogging tu lol

Tafiti zaonesha kuwa, Wanawake wanapo vaa na kujipamba siyo kwa ajili ya kuwavutia wanaume bali hasa kuwaringishia wenzao.
Mabinti hushindana kwa mavazi na wala suala la wanaume halipo hapo.
wakiwa wataalam wa psychology, wadada hujua fika kuwa wakaka ni mazuzu wa fasheni, hata wasichana wakivaa gunia wanaume watawafuata tu

Bold ya kwanza, hilo nalo neno, ila unajua kwanini wanashindana wenyewe kwa wenyewe? Nipeni jibu.
Kwenye bold ya pili, siyo kila msichana akivaa gunia atavutia..tuwe wakweli.Kuna wengine inabidi wachukue hatua madhubuti ku step-up their game..vinginevyo hata "hi" hawapati.Wanaume hebu semeni hapo.
 
Ila lazima nikiri kuwa mambo ya kujisopsop yanayofanywa na baadhi ya wanaume wa bongo huku kwetu kijijini yanaendana na ushoga. I'm sorry to say that. Inakuwaje mwanamme hadi anatengeneza nyusi!?

We Mwanakijiji ni kina nani hao bongo wanaojitengeneza hadi nyusi?

Halafu kuna mambo kama ya kutembea mmeshikana mikono au kucheza muziki pia. Huku kijijini hiyo inaonekana 'gay as hell' wakati bongo inaweza isiwe ishu kabisa.
 
wanawake hujikondesha/kujinenepesha, hujichubua,
Huvaa nguo za kubana ( cosettes, pelvic girdles etc) zenye kuumiza,
na mengine mengi ili kuwafanya wavutie kwa wanaume wao.
Hivi, wanaume nao wanajiumiza kwa ajili ya wanawake? Kama ndiyo, ni mambo gani wao hufanya?

Nasubiri michango yenu akina The Boss, Kaizer, MMKJJ, NN,TF,Mbu, etc......fungukeni fasta!!
Na wengine tafadhali msisite kusema..

Wala habari hatuna....................kazi yetu ni kupiga tu!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
We Mwanakijiji ni kina nani hao bongo wanaojitengeneza hadi nyusi?

Halafu kuna mambo kama ya kutembea mmeshikana mikono au kucheza muziki pia. Huku kijijini hiyo inaonekana 'gay as hell' wakati bongo inaweza isiwe ishu kabisa.

Hata wanawake siku hzi hatushikani mikono aisee. Mambo yamebadilika kabisa.
 
wanawake hujikondesha/kujinenepesha, hujichubua,
Huvaa nguo za kubana ( cosettes, pelvic girdles etc) zenye kuumiza,
na mengine mengi ili kuwafanya wavutie kwa wanaume wao.
Hivi, wanaume nao wanajiumiza kwa ajili ya wanawake? Kama ndiyo, ni mambo gani wao hufanya?

Nasubiri michango yenu akina The Boss, Kaizer, MMKJJ, NN,TF,Mbu, etc......fungukeni fasta!!
Na wengine tafadhali msisite kusema..

Naona sijatajwa hapa ngoja nirudi kwenye siasa.
 
Tausi umenikumbusha kisa kimoja kuna mshikaji wangu alikuwa na rafiki yake, huyu rafiki yake anafanya kazi Gym as an Instructor wa mazoezi sasa mabinti wakawa wanampenda sana jamaa kutokana na they way his body was built, sasa huyu jamaa mwingine nae akashikwa na wivu akaamua naye kuingia Gym kwa hasira ili na yeye awavutie mabinti matokeo yake yakawa tofauti the tactic never worked.

nahisi huyo jamaa alianza kutembea kama gari iliokata senta-boti.,
 
Sifa mojawapo ya mwanamme bora ni kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya familia yake.Lakini kumbuka wanaume wengi huwachukia wanawake wanaojipendekeza kwao; ukizingatia tabia za wanawake za kutaka kuwapenda wanaume wenye pesa.

Hata hivyo unaweza (mwanamme) ukawa na kipato kizuri lakini mwanawake ambao wewe unadhani ni wazuri kwa kiwango chako wakakukataa. Kama wewe malengo yako ni hayo (ya kupata warembo wazuri) cha msingi unatakiwa uonekane maridadi, msafi na unyejipenda kama warembo wenyewe wanavyofanya.
 
kwa wanaume its all about 'power'

power ndio kitu ambacho kila mwanaume anakitaka na anajua
'kinarahisisha' zoezi zima la kuwavutia wadada

wanasema 'power is sexy'

so power inaweza kuwa pesa, madaraka,umaarufu, kupendeza na kadhalika...
hata phisical fitness inachangia pia...
 
The Boss... hii power hebu tuichambue. Hatari sana kama mwanaume anatumia hii power kuwapata wanawake.
Haishangazi wanapoingia kwenye vitendo vya kihalifu - kupigana, kudhulumu na hata ujambazi kwa ajili hiyo.
Ufisadi nao je?
 
Back
Top Bottom