Wanaume wanafanya na kujitesa vipi ili kuvutia wanawake kama wanawake wanavyofanya?

Hawa viumbe ni tofauti kama mbingu na nchi...Kwa hiyo hawawezi hata siku moja kufanya vitu vinavyofanana!!

Kila group lina mambo yao yanayowasaidia kuvuta upande mwingine. Hata hivyo mateso wanayojipa wanawake ni makubwa na yanapitiliza!!

I wish wangeweza kumsikiliza King'asti!!
 
...lol...weight lifting madhara yake ya ndani ni makubwa kuliko muonekano wa nje...
nguvu zinahama toka sehemu nyeti, na kuhamia zisiko hitajika mara kwa mara,
aheri aerobics bana.

That is a myth Mbu. Give me conclusive proof that is in sufficient quantity and that has convincing force that weight training is harmful to the body, internally or externally.

I am a gym rat and all I know, through thorough research and first hand experience is that weight training, if and when done properly is more beneficial to your overall health. The ball is in your court.
 
Sisi tunahitaji zaidi kumiliki mali ili mtupende, kwa hiyo ubabe katika kutafuta unatutoa jasho, lengo kuu ni kutaka kuwamiliki wanawake........ ingawa hata hivyo kwa wanawake umiliki wa mali sio lengo kuu............ kwa hiyo tunarudi pale pale kwamba kuwaza kwetu, ndoto zetu, na namna tunavyotafsiri mambo tunatofautiana sana na wanawake....................

Kwa hapo nakubaliana na wewe kabisa....tuko tofauti saaaaana!
 
Mi nadhani suala la wanaume kujiumiza liko hapa mfano USHAROBARO wee huna kitu unaenda azima gari,unaazima sneakerz au unavaa mawani kama ya kanye west eti mademu wakupende ila sio rate kubwa kama wanawake...na kuna wanaume hujichubua bhana na wengine vidani kwa sana,waves eti wanawake wamkubali(wachache miongoni mwetu) lakini kuna wengine hutafuta ucelebrity ili vidosho vimzimikie
 
Nasubiri michango yenu akina The Boss, Kaizer, MMKJJ, NN,TF,Mbu, etc......fungukeni fasta!!
Na wengine tafadhali msisite kusema..

No one has mentioned this thus far...and that is trickin'.

Trickin'=spending money (that really should be spent on other important things) and acting like you are balling when you really aren't.

I once did it when I was a little younger and immature. I spent a quarter of my school fees that my dad had wired me. In the end it came to bite me in the ass coz I ended up being short on my fees.

It was just one of those youthful indiscretions that most of us go through but in it I learned a valuable lesson.
 
That is a myth Mbu. Give me conclusive proof that is in sufficient quantity and that has convincing force that weight training is harmful to the body, internally or externally.

I am a gym rat and all I know, through thorough research and first hand experience is that weight training, if and when done properly is more beneficial to your overall health. The ball is in your court.

...that's the word bro, if and when done properly!
nimezungumzia madhara ya (weight lifting kwa maana ya body building fanatics, sio weight training)
kwa muonekano wa nje dhidi ya madhara yake kwa muonekano wa ndani
i.e internal injuries ikiwa ni mojawapo,
otherwise, ukiwa fanatic...unaweza kuzeeka na 'great' body kama
'mr. terminator'....!
arnold-schwarzenegger-body-now-8ed7a.jpg
 
nimezungumzia madhara ya (weight lifting kwa maana ya body building fanatics, sio weight training) kwa muonekano wa nje dhidi ya madhara yake kwa muonekano wa ndani
i.e internal injuries ikiwa ni mojawapo,
otherwise, ukiwa fanatic...unaweza kuzeeka na 'great' body kama
'mr. terminator'....!
arnold-schwarzenegger-body-now-8ed7a.jpg

Ni wazee wachache sana wenye solid bodies na haijalishi kama wanafanya mazoezi au la. Mwili kuchakaa linakuja na uzee. Kuna wazee wengi tu ambao hawajawahi hata kupiga push up lakini miili yao haitazamiki.

Kitu chenye madhara ambacho wewe hujakizungumzia ni matumizi ya anabolic steroids na human growth hormones. Lakini ukinyanyua bila kutumia hayo madudu faida zipo nyingi zaidi.

Sasa wewe umetoa mfano wa former seven time Mr. Olympia. Unachekesha! Hakuna Mr. Olympia katika professional bodybuilding ambaye hatumii anabolic steroids. Hata Arnold keshatumia sana.

Come again sir...
 
...lol...weight lifting madhara yake ya ndani ni makubwa kuliko muonekano wa nje...
nguvu zinahama toka sehemu nyeti, na kuhamia zisiko hitajika mara kwa mara,
aheri aerobics bana.

Bora useme weye maana tungesema siye tungeonekana wazushi.

Tumbo bana linanitesa, nahangaika kupunguza!
We Edo....linakuhangaisha weye au yeye?? lol

ooh samahani tausi....nimeposti wakati siko kwenye orodha.ipotezee tu kama vipi!
Rubuye! I thought we are in this together..sasa unataka ipotezewe ili iweje?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Wanaume wenye obsessions za looks zao wapo tu. tena bila aibu unamkuta uso mweupe,akivaa kaptula loo salaale! Wanaume hollywood wanawekewa vigimbi feki (u wonder ati nayo ni sexy), na reli za tumbo. Ni personal mostly japo peer pressure might have something to do with it. Self esteem haikwepeki manake utakapotokea kwa king' na gari ya kuazima u score minus!
S*T happens all the same for no reason King'asti..
but you know what? "Attraction" nis an important ingredient..sizungumzii tu "uzuri" ambao ni subjective bali nazungumzia ukweli wa maisha.Unajua kuna wanaume wanaazima vitu mfano nguo, gari, etc ili tu ku impress a woman? Ninachotaka kujua ni vile vitu vyenye kuumiza ambavyo wanaume hufanya just bcoz ampate mdada.Forget about self-esteem theories for now ili tuweze kufurahi mjadala.
 
I love working out. I love having a nice body. If chicks like that then that is a collateral benefit but I don't do it to impress anyone other than myself.
I think most men do things for themselves but i can bet my last breath that they are the first ones to pressurize their damsels into anorexia lol

Mi nadhani suala la wanaume kujiumiza liko hapa mfano USHAROBARO wee huna kitu unaenda azima gari,unaazima sneakerz au unavaa mawani kama ya kanye west eti mademu wakupende ila sio rate kubwa kama wanawake...na kuna wanaume hujichubua bhana na wengine vidani kwa sana,waves eti wanawake wamkubali(wachache miongoni mwetu) lakini kuna wengine hutafuta ucelebrity ili vidosho vimzimikie

Yes! Wako wengi tu wanaochukua persona za watu wengine wanaowaona wako poa wakidhani nao watapendeka..kwa mfano Denzel Washington lol wanaume wanazinguka naye sana kama ambavyo wanawake wanazinguka.

No one has mentioned this thus far...and that is trickin'.

Trickin'=spending money (that really should be spent on other important things) and acting like you are balling when you really aren't.

I once did it when I was a little younger and immature. I spent a quarter of my school fees that my dad had wired me. In the end it came to bite me in the ass coz I ended up being short on my fees.

It was just one of those youthful indiscretions that most of us go through but in it I learned a valuable lesson.

Yeah Money matters bro!

...that's the word bro, if and when done properly!
nimezungumzia madhara ya (weight lifting kwa maana ya body building fanatics, sio weight training)
kwa muonekano wa nje dhidi ya madhara yake kwa muonekano wa ndani
i.e internal injuries ikiwa ni mojawapo,
otherwise, ukiwa fanatic...unaweza kuzeeka na 'great' body kama
'mr. terminator'....!
arnold-schwarzenegger-body-now-8ed7a.jpg

Terminator kafikia terminal stage lol.......maumivu hayo! But I guess he wasn doing it for his leading ladies... he did it for himself...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ni wazee wachache sana wenye solid bodies na haijalishi kama wanafanya mazoezi au la. Mwili kuchakaa linakuja na uzee. Kuna wazee wengi tu ambao hawajawahi hata kupiga push up lakini miili yao haitazamiki.

Kitu chenye madhara ambacho wewe hujakizungumzia ni matumizi ya anabolic steroids na human growth hormones. Lakini ukinyanyua bila kutumia hayo madudu faida zipo nyingi zaidi.

Sasa wewe umetoa mfano wa former seven time Mr. Olympia. Unachekesha! Hakuna Mr. Olympia katika professional bodybuilding ambaye hatumii anabolic steroids. Hata Arnold keshatumia sana.

Come again sir...

...naam, naaam....lugha moja tafsiri tofauti. Mada inazungumzia kuvutia/mvuto,
muonekano wa nje kulinganisha na 'kilichomo' ndani...ie kujiumiza...na hayo ma steroids, etc.
 
I think most men do things for themselves but i can bet my last breath that they are the first ones to pressurize their damsels into anorexia lol

Terminator kafikia terminal stage lol.......maumivu hayo! But I guess he wasn doing it for his leading ladies... he did it for himself...

...dahhh, na ukikuta mtu anajitesa afananie vile watu wanataka, atakuwa mtumwa wa mawazo huyo!
jipende na ujipendezeshe vile unavyotaka ila si kila 'mvuto' wako utamvutia kila mtu...
 
kubeba vyuma ili kifua kiwe kipana , kuwa smart , etc

Kimavazi au kiakili BPM? Vyote hivi havikuumizi bali ni kwa faida yako mwenyewe. Ukiwa mtanashati au mwenye akili/ufahamu/maarifa itakusaidia maishani mwako na haitakuumiza hata kama pale unayemtaka hakutaki.
 
  • Thanks
Reactions: BPM
Back
Top Bottom