Wanaume Wako Wapi?

cases ziko nyingi, acha french denialism - homosexuality is socially (and now politically) constructed primarily on the basis of dissatisfaction with men who have failed to live up to their bidding, biological cases are exceptional to the rule!
If that is the reason for female homosexuality, how do you explain male homosexuality then? Can you share a scientific study that supports this idea? your phalocentrist sensitivity is hurt by the fact that some women can live their sexuality independently from men performance, and men existence all together. why does it always have to be about men, even when it is between women?
 
hilo swali limeshajibiwa, rejea mjadala na emt - hayo ya phallus centrism tunaweza kumrejea sigmund freud
 
what are talking about! i'm not in denial and although i haven't told the world, i don't have relations with women just to cover up either...

but the fact remains a straight woman does not go to another woman after being hurt by a man, she looks for a better man period! Assume your wife breaks your heart, will you go to a man?? 'penzi moto moto' doesn't change a person's orientation

naona unabishana na hali halisi
 
hilo swali limeshajibiwa, rejea mjadala na emt - hayo ya phallus centrism tunaweza kumrejea sigmund freud

But hukujibu maswali yangu ulisema I was being too philosophical. Ninavyoona, you have already made up your mind na hata tukidebate you will just rubbish the arguments against yours. But uzuri wa JF: kama ulitegemea [maoni] in one dimension hapa jf utapata in three dimensions – source - Edson.

Nikirudi tena kwenye argument yako kuwa "wanaume tumekwisha duniani" najaribu kulinganisha na argument yako kwenye thread yako nyingine kuwa "Pamoja na kupinga ukatili wa mfumo dume ukweli ndio huo, ili mapenzi yafanikiwe lazima ubaba uongoze. Na tunapoongelea kutoa tunaongelea pesa - bila fedha penzi linakuwa mahututi na mwisho wake ni kufa tu. Pesa posa" https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/245924-umuhimu-wa-mfumo-dume-ubaba.html

Inawezekana labda "wanaume tumekwisha dunuani" kutokana na kuanguka kwa mfumo baba, which to you means pesa imepungua, because bila pesa penzi linakuwa halipo na mwisho wake ni kufa tuu. "Pesa posa", otherwise wanawake wengi watakuwa wasagaji.
 
emt, nimetoka huko kwenye kutetea ufeministi, ushoga na usagaji hivyo hiyo mitazamo ya pembe mbili achilia mbali tatu naijua kwa undani, nimewarejea sana kina judith butler, lesley rogers, bell hooks na wengineo ila hapa sasa tunarudi kwenye kiini hasa na kuachana na hizi porojo za anti-heternormativity na politicization of homosexuality.
 
Kwani sababu mojawapo hawezi kuwa ni kuanguka kwa mfumo dume?
 
Naam ila hujanukuu maana ya mfumo dume niliyoitoa - ubaba wa 'p' ama 'k' tatu ambao wanaume wengi sasa tumeushindwa, rejea hii:

"Wanaokubaliana na patriarchy inayotafsiriwa kama ubaba wanaamini kazi kubwa ya ubaba ni 'p' tatu yaani protecting (kulinda), providing (kutoa) na preside (kuongoza) japo wapo wanaodai p ya tatu ni profess (kuaminisha). Kama tulivyoona kwenye mjadala wa maamuzi, mapenzi hayawezi kwenda bila ubaba huu wa kuongoza, kulinda na kutoa" - https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/245924-umuhimu-wa-mfumo-dume-ubaba-7.html
 
Halafu on a serious note, naomba unitumie tasnifu yako ya uzamivu unayoandika huko chuoni - unitumie na ya uzamili pia tafadhali
 
emt, nimetoka huko kwenye kutetea ufeministi, ushoga na usagaji hivyo hiyo mitazamo ya pembe mbili achilia mbali tatu naijua kwa undani, nimewarejea sana kina judith butler, lesley rogers, bell hooks na wengineo ila hapa sasa tunarudi kwenye kiini hasa na kuachana na hizi porojo za anti-heternormativity na politicization of homosexuality.
There is no doubt that there has been some political recuperation of the GLBT struggle but this , by no mean, means that politicians and social scientists have created lesbianism (or any form of queer sexuality). Hao watu ulio wataja hapo juu unadhani ni reference kwa lesbians? so why do you take their views as if it was the gospel?

Nimejaribu kuunganisha hii thread na ile ya mfumo dume na mtazamo wangu ni kwamba if all men think like you (that bila pesa hakuna mapenzi) basi kweli maybe you have a point: women would run away from men who think like you (to put it blunt, they would run away from YOU). But we all know that money is not love and "ubaba" is not the spine of all relations.
 
Naam ila hujanukuu maana ya mfumo dume niliyoitoa - ubaba wa 'p' ama 'k' tatu ambao wanaume wengi sasa tumeushindwa, rejea hii:

"Wanaokubaliana na patriarchy inayotafsiriwa kama ubaba wanaamini kazi kubwa ya ubaba ni 'p' tatu yaani protecting (kulinda), providing (kutoa) na preside (kuongoza) japo wapo wanaodai p ya tatu ni profess (kuaminisha). Kama tulivyoona kwenye mjadala wa maamuzi, mapenzi hayawezi kwenda bila ubaba huu wa kuongoza, kulinda na kutoa" - https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/245924-umuhimu-wa-mfumo-dume-ubaba-7.html

Then ukamalizia kwa kusema "Pamoja na kupinga ukatili wa mfumo dume ukweli ndio huo, ili mapenzi yafanikiwe lazima ubaba uongoze. Na tunapoongelea kutoa tunaongelea pesa - bila fedha penzi linakuwa mahututi na mwisho wake ni kufa tu. Pesa posa." Swali langu limejikita hapo. Kwa vile mfumo baba unapungua badala ya kuongezeka, labda ndio maana wanaume wanakwisha duniani?
 
kilojiki uko sahihi kabisa
 
There is no doubt that there has been some political recuperation of the GLBT struggle but this , by no mean, means that politicians and social scientists have created lesbianism (or any form of queer sexuality). Hao watu ulio wataja hapo juu unadhani ni reference kwa lesbians? so why do you take their views as if it was the gospel?

Nimejaribu kuunganisha hii thread na ile ya mfumo dume na mtazamo wangu ni kwamba if all men think like you (that bila pesa hakuna mapenzi) basi kweli maybe you have a point: women would run away from men who think like you (to put it blunt, they would run away from YOU). But we all know that money is not love and "ubaba" is not the spine of all relations.

1. sikujua kama kuna gospel ya glbt na wala sijawataja hao watu kama reference ya lesbian, nilikuwa najibu hoja mahsusi ya emt kuhusiana na kutoangalia angle zaidi ya moja.
2. tunaposema socially and politically constructed tunamaanisha hiki kitu kimetengenezwa na jamii na si cha asili (kuna few exceptions na kama tulivyosema, exception is not the rule).
3. nahisi hukuelewa msingi mkuu wa hoja ya ubaba - kwa ufupi, ile hoja ilijikita katika 'p' au 'k' tatu ambapo ilikuwa inajaribu kuonyesha uhusiano wa ndani sana kati ya hizo p/k.
 
1. Mkuu, the fact that ulimention hao watu katika kumjibu EMT haimaanishi kua mimi siwezi kutumia hiyo argument katika mjadala. Umeongea na hao watu huko uliko ongea nao na walionekana kua na mtazamo unao upendekeza, hapa unaongea na watu wengine ambao wana mtazamo tofauti.

2. Homosexuality kua politically and/or socially constructed kwa maana ya kwamba politicians and sociologist have created and promoted it to bring forward their hidden agenda? hapa sidhani kwa kweli. Ingekua hivi basi politicians na sociologist wangetumia kipagi chao hicho cha ku-influence personal behaviors kujenga watu wa aina nyingi zaidi, sio from a sexuality point of view peke yake

3. Nimefanya reference kwa kipengele kingine cha thread yako ya 'u-baba'. Niliona pia pale ulipo zungumzia 3 "p" ila sikuchukua hiyo sababu haina link na nilicho taka kusema, nilichukua kile nilicho kiona muhimu kwa mjadala huu: ulisema hakuna mapenzi bila pesa. Na mimi nasema: Kwa mawazo haya, ukimtokezea mwanamke anae jiamini atakwambia she is a lesbian just to get rid of you!
 
1. Check, I mean crosscheck, your facts - hakuna sehemu niliyosema nimeongea nao
2. Rejea maana ya social constructionism mf. race & gender as a social construct(ion)
3. Hicho kipengele umekichukua nje ya muktadha, rejea analogy ya gari, oili na injini

PS. Bado nakusubiri unijibu yale maombi yangu, au ndio una-practice u-superwoman?
 
exception is not the rule, katika ujumla wetu wanaume hatupo kama vile ambavyo katika ujumla wetu tumeyaachia mafisadi yatafune nchi!

Hata mafisadi kiama yao itatokea uswazi tu kwenye wanaume waliokamilika...hiyo isikupe shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom