Wanaume Wako Wapi?

Na bora niwe sipo, nikija kuwepo kama wewe sitazubaa, ntawacharaza wote wawili kwa mkuyati :biggrin:

mbona huelewi kiswahili, haupo popote, ungekuwepo kusingekuwa na wasagaji hapo jirani na unapoishi - hata hilo hitaji la kutumia mkuyati ni dalili na kithibitisho tosha kuwa wewe kama mwanaume haupo, 'you are absent as a man there!
 
Siume ona na wewe, yani namlaumu sana kuwachia wanawake wanamdhalilisha vile, kama hana uwanaume mbele yao :poa

wewe mbona kuna wasagaji hapo jirani kwenu, hawakuoni mwanaume nini au wanadhani uko sawa tu na wapenzi wao wa kike?
 
mbona huelewi kiswahili, haupo popote, ungekuwepo kusingekuwa na wasagaji hapo jirani na unapoishi - hata hilo hitaji la kutumia mkuyati ni dalili na kithibitisho tosha kuwa wewe kama mwamaume haupo, 'you are absent as a man there!
Kiswahili kigumu kama umesomea juu ya mlima wa kilimanjaro, wasagaji wamejitokeza sababu wanaogopa mikuyati.
 
wewe mbona kuna wasagaji hapo jirani kwenu, hawakuoni mwanaume nini au wanadhani uko sawa tu na wapenzi wao wa kike?
Mimi sijasema wasagaji hakuna lakini usiseme wanaume wako wapi ni kosa...Usagaji ni tabia ya mtu wala haihusiki na wanaume.
 
du hiyo kali!
Ki vipi isiwe kali, unacheza na mlima wa kilimanjaro nini...Yani ukisha panda juu kabisa lazima utawaona ma lesbian tu, huwaoni wanaume...Kwa hio weka akilini watu wanakuwa ma lesbian by choice sio kuwa hamna wanaume :biggrin:
 
choice siku zote ina reason
 
Wameamua tu kupima wenyewe kwa wenyewe watapata radha zgani. Na sio kukosekana kwa wanaume. Ndio maana wanasababu nyingi za kusagana ilihali hizo sababu hazina msigni kimantiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom