Wanaume wakibongo kwenda nje ya ndoa.

yupo mmoja anaitwa shabani,anaongea kiswaz wewe mwenyewe umesingiziwa.usishangae akikuomba hifadhi hata kama kijijini poa tu ataishi.

ntampataje jamani?sijawahi muona hapa MMU?kama ATM haiko vizuri apotee tu,mi nataka anitoe kijijini yeye anataka hifadhi huku???:A S 13:
 
wengine tunapenda vidogo kuliko dole gumba,vina raha yake ati.....mimi hii mitarimbo wala siipendi.....l.o.l:hand:

Michelle maskhara hayo,adha yake isikie kwa jirani unaweza kuwa kichaa.:hand::hand:
 
ntampataje jamani?sijawahi muona hapa MMU?kama ATM haiko vizuri apotee tu,mi nataka anitoe kijijini yeye anataka hifadhi huku???:A S 13:
teh teh swala la keshi sahau,at least ana bito yake moja mbofu mbofu na ni mweupe kama hao,mtaji tosha huo kijijini kwenu huko.
 
Mange kiboko,yaani anafanya watu waone kuwa ukiwa na mzungu maisha yananyooka,unaenda paradiso,haonyeshagi the other side of wazungu,watu wanaolewa na mijizee ya kizungu wakitamani kuwa kama Mange wasijue bahati ya mtu si yao!!!!
There are so many losers in this world, and sometimes it is so tempting and easily to become their followers, regardless where they lead!
 
Michelle maskhara hayo,adha yake isikie kwa jirani unaweza kuwa kichaa.:hand::hand:

sasa Shosti wataka wao wasipate wenzao au?mi nafanya roho nzuri tu hapa mwenzio,nitalipwa na muumba....l.o.l
 
sasa Shosti wataka wao wasipate wenzao au?mi nafanya roho nzuri tu hapa mwenzio,nitalipwa na muumba....l.o.l

teh teh kwa swala hili muumba nae atakukopa tu ukiachia mali ghafi zake asilia kwa roho yako nzuri.
 
Joyce na babake mkubwa

Shosti umeitengeneza siku yangu vyema maana nimecheka kupita maelezo..'baba mkubwa' nilisoma jibu lako halafu nikarudi kuangalia elegant photo ndio nikacheka zaidi. Kweli duniani kuna mambo.
 
kujitahidi si atatundika hako ka-mulato hapo japo kaonje mlenda na kunde za kikwenu.na wewe ujidai kama wenzio.:wink2:

mmmhhh hela ya kamera na internet nifungue blogu ya kuweka picha?unafikiri zitauza kweli,za huko kijijini au ndo itafungwa??l.o.l
 
wewe kwa utafiti upi uliofanya hadi ukaweka hii thread hapa??kuna utofauti wa wewe unavyoona na wengine wanavyoona,na mi sizungumzii navyoona bali hali halisi...........katika maelezo yangu sikumaanisha huko Europe hawatoki ila levels za kutoka nje ya ndoa zinatofautiana kati ya Europe na Africa na utafiti nimeufanya......najua nachosema!!!

Michele utafiti uliofanya Africa ulitumia vigezo gani?

Mimi niliwahi kuishi Amsterdam kwa miaka 8 na kule niliwahi kuona kipindi kwenye TV kinaitwa undercover in Nederland.
Wanawake wafanyao ukahaba walipohojiwa kuhusu kazi zao wanasema wateja wakubwa wameoa na moja ya sheria wanayopewa na boss wao nikwamba wakitoka sehemu ya kazi hata mteja wanafahamiana vipi wakikutana naye njiani ni mwiko kusalimiana naye kulinda siri.

Nitabakia mwisho na msimamo wangu kwamba
Caucasian, black, latino men are all human
namatamanio.


Kama tabia ya kwenda nje ya ndoa iko zaidi africa kuliko Europe Christina Aguleira asingeimba hivi.

So-What am I not s'pposed to have an opinion
Should I keep quiet just because I'm a woman
Call me a bitch 'cause I speak what's on my mind
Guess it's easier for you to swallow if I sat and smiled

When a female fires back suddenly big talker don't know how to act
So he does what every little boy would do
Makin' up a few false rumors or two
That for sure is not a man to me, slanderin' names for popularity
It's sad you only get your fame through controversy
But now it's time for me to come and give you more to say

This is for my girls all around the world
Who've come across a man that don't respect your worth
Thinkin' all woman should be seen not heard
So what do we do girls, shout out loud
Lettin' 'em know we're gonna stand our ground
So lift your hands higher and wave 'em proud
Take a deep breath and say it loud
Never can, never will
Can't hold us down

Nobody can hold us down
Nobody can hold us down
Nobody can hold us down
Never can never will

So- What am I not s'pposed to say what I'm saying
Are you offended with the message I'm bringin'
Call me whatever 'cause your words don't mean a thing
Guess you ain't even a man enough to handle what I sing
If you look back in history, it's a common double standard of society
The guy gets all the glory the more he can score
While the girl can do the same and yet you call her a *****
I don't understand why it's OK
The guy can get away with it, the girl gets named
All my ladies come together and make a change
And start a new beginning for us, everybody sing

Lil’ Kim:

Now, here is something I just can’t understand
If the guy have three girls then he’s the man
He can even give her some head or sex her off
But if a girl can do the same then she’s a *****
But the table’s about to turn, I bet my fame on it
Cats take my ideas, they put they name on it
It’s aight though, you can’t hold me down
I got to keep on movin’
To my girls to their man who be tryin’ to mac
Do it right back to him and let that be that
You need to let him know that his game is mac
And Lil’ Kim and Christina got your back

You're just a little boy
Think you're so cute, so coy
You must talk so big to make up for smaller things
You're just a little boy
All you do is annoy
You must talk so big to make up for smaller things
 
Hivi hapa mlikuwa mnajadili nini, kwamba wanaume wa Kiafroika wenyewe hawawezi bila mpango wa kando!!! Na hao wa huko ng'ambo wao hapana!! Mmmmmh au wanaume wote ni sawa kwamba wote ni macheaters??

Duuuuuuuu!! Dunia tambara bovu!! Tulishike kwa manikini!!
 
tatizo ninaloliona mie kwa afrika ni kwamba, wakitoka nje ya ndoa wanazaa na kuzaa (most of them) na ndio maana inaoneka kama wao ndio watokaji sana wa nje ya ndoa, wazungu wao wanafanya kwa starehe lkn hawazai ( most of them) hayo ni maoni yangu tuu
 
tatizo ninaloliona mie kwa afrika ni kwamba, wakitoka nje ya ndoa wanazaa na kuzaa (most of them) na ndio maana inaoneka kama wao ndio watokaji sana wa nje ya ndoa, wazungu wao wanafanya kwa starehe lkn hawazai ( most of them) hayo ni maoni yangu tuu

Tembea ujionee.
Emancipate yourself from the mental slavery!!
 
Michele
Huna haja ya kukanusha maana ndivyo uonavyo! Hapa USA ni balaa ndoa zinakatika kila siku kwa sababu hizo hizo worse enough hapa ni pande zote mbili zina matatizo makubwa ya kwenda nje ya ndoa, kuchokana na kumwagana

Mange kiboko,yaani anafanya watu waone kuwa ukiwa na mzungu maisha yananyooka,unaenda paradiso,haonyeshagi the other side of wazungu,watu wanaolewa na mijizee ya kizungu wakitamani kuwa kama Mange wasijue bahati ya mtu si yao!!!!
 
Back
Top Bottom