Wanaume wakibongo kwenda nje ya ndoa.

kerrenH,mea culpa (unagonga kifua) mea culpa (unagonga tena) tafsiri yake 'nimekosa mimi,nimekosa mimi, kwa mawazo,maneno na matendo,ndo maana nakuungamia Mwenyezi Mungu..... Hii maana yake nini? maana yake ni kwamba kuzini(adultery) si lazima mlalane nje ya ndoa, kuwaza tu ni zinaa tosha .Sasa Kerren nionyeshe mwanandoa mmoja tu humu duniani ambaye hajawahi kutamani mwanamke mwingine,mmoja tu unionyeshe!

He!
 
Nadhani itakuwa sahihi zaidi ukisema kwamba hata wanawake wa kiafrika na hasa wa kitanzania (sio wote) wanakwenda sana nje ya ndoa zao. Hili lina -apply kote kote

nilichoandika ndo nachojua,siwezi sema nisichokijua.......we andika/sema hivyo kama ndo unachokijua!!!!
 
Nakubaliana na wewe kwamba tatizo la kutoka nje ya ndoa sio la waafrika peke yao, ni tabia ya mtu! ILA, sikubaliani na wewe kwenye hapo juu kwa red....sio kila mwanaume, hii si kweli, unaweza ukasema wengi, lakini kila mwanaume sikubaliani na wewe!

tusibishane kwa mambo yanayofanyika kwa siri, kutoka nje ya ndoa ni jambo linalochukuliwa kwa siri kubwa sana hasa kama mtu ana akili timamu. Unaweza ukaona mtu (baba au mama) ana heshima zake sana, mcha Mungu, anampenda sana mume/familia yake lakini haimaanishi kwamba hatoki nje ya ndoa. kuna siku bado kidogo nizimie, nilimwona (siyo kuhadithiwa) baba mmoja ambaye kila siku tulikuwa tunam-discuss kuwa ni baba wa kuigwa akitoka nyumba ya mdada mmoja, kabla sijauliza lolote niliyeenda kumtembelea hapo akaniambia "huyu baba kila siku lazima aje kwa huyu dada"; nilichoka
 
nilichoandika ndo nachojua,siwezi sema nisichokijua.......we andika/sema hivyo kama ndo unachokijua!!!!
Hata wamarekani weusi wamewazidi weupe kwa kwenda nje.Africa mashariki wanawake wa Uganda ndio wanaoongoza kwenda nje.
Pia siwezi umiza sana moyo kuwazia hili manake kama mwanaume anakuheshimu hatotoka na akitoka atatumia umakini sana usimshtukie kwa hiyo ni sawa na kutokutoka.
 
I agree na wewe Marytina ila kutoka nje ya ndoa ni kutoka tu hata kama asiposhtukiwa na mkewe!!!
 
kama hujamshtukia haitakusumbua so mnasonga bila mikwaruzano ila vibaya ni ukimshtukia utakuwa moodless everytime na tena kwa wale mapepe ndio hapo huamua kulipiza kwa kutafuta wa nje
 
Kisasi anajilipiza mwenyewe au anamlipiza nani??
 
anamlipizia mwanaume,hujui wanaume huumia kuliko wanawake wanapojua wake zao si waaminifu?

kama wanaumia kwanini wanaenda nje ya ndoa wanasahau mtenda hutendwa,mla cha wenziwe na chake huliwa.......yataka moyo kusamehe na kuendelea na ndoa iliyoisha ingia doa la infii.....Mungu atusaidie!!!
 
tusibishane kwa mambo yanayofanyika kwa siri, kutoka nje ya ndoa ni jambo linalochukuliwa kwa siri kubwa sana hasa kama mtu ana akili timamu. Unaweza ukaona mtu (baba au mama) ana heshima zake sana, mcha Mungu, anampenda sana mume/familia yake lakini haimaanishi kwamba hatoki nje ya ndoa. kuna siku bado kidogo nizimie, nilimwona (siyo kuhadithiwa) baba mmoja ambaye kila siku tulikuwa tunam-discuss kuwa ni baba wa kuigwa akitoka nyumba ya mdada mmoja, kabla sijauliza lolote niliyeenda kumtembelea hapo akaniambia "huyu baba kila siku lazima aje kwa huyu dada"; nilichoka

FP,

Asante kwa kudadavua mada:

Mimi binafsi ninakaribia umri wa kustaafu, nimeishi maeneo mengi sana ya Tanzania na phone book ya simu yangu ina karibia entry 1000 za marafiki wanaume ambao ni majirani, wafanyakazi wenzangu, school mates, waseminari wenzangu, tuliotumikia nao ibada, wanywaji wenzangu, e.t.c

BUT, hawa wote wanao wanawake wa pembeni! Sasa sijui nitoa sampuli kubwa kiasi gani?

Wanaume WOTE hutembea nje ya Ndoa zao - be it once, twice, or hundred times!

Kwa nyie akina dada ambao mna waamini sana waume zenu endeleeni hivyo hivyo....

Weekend njema
 
mhhh,kazi kweli kweli ....i wish i have a heart of accepting that , the man am sleeping with is cheating on mi! ngoja nijifunze ili nisije kuwa taken by suprise
 
Mange kiboko,yaani anafanya watu waone kuwa ukiwa na mzungu maisha yananyooka,unaenda paradiso,haonyeshagi the other side of wazungu,watu wanaolewa na mijizee ya kizungu wakitamani kuwa kama Mange wasijue bahati ya mtu si yao!!!!

Kwani huyo mange ana bahati gani? huko kuvaa na kuexpose maisha yake ndio bahati i don't think so..Ukiishi nao utawafahamu vizuri Wazungu hawana mpango sisi tunaishi nao huku tunawaona na tunafahamu udhaifu wao. Mimi nasema big up kwa wanaume wa kiafrica ninyi mnaowapenda hao wazungu kimpango wenu.
 
nimeishi na wazungu nawafahamu sana pia na ndo maana nimeandika she does not tell the other side of the story,nikimaanisha zipo dhihaka wanazakutana nazo wanaoolewa na wazungu,sijasema Mange ana bahati.....kuvaa na ku-expose maisha yake hakuna ubaya,its her life...let her be and live the way she wants!!! and si wazungu wote hawana mpango,tunawafahamu wenye mpango.....:rain:
 
Pole Michelle kama nilikukwaza sikuwa na maana ya wewe isipo nilikuwa najibu hoja kuhusu watu wanavyowadanganya watu kuwa wazungu ni bora kuliko lakini ukweli ni kwamba wazungu nao ni binadamu kama wengine wana mapungufu. Hope umenielewa.
 
My dear hujanikwaza at all,mimi na wewe tunazungumza lugha moja kuhusu Mange kuwa kwa kiasi fulani ana mis lead wasichana hasa wale wanaopenda dezo na wasiojua upande wa pili wa wazungu.....kuhusu wazungu,wapo wazuri,nimekutana nao ila ni wachache wasio na attitude chafu kuhusu wasichana weusi.....!!! Wikiendi njema!!!
 
angalia kipindi kimoja kinaitwa cheaters ndio utajua wazungu nao wamo sana
ni kweli hiki kipindi cha cheaters kinaoneshwa ktk mnet tv kinaonesha ufirauni mkubwa wa wazungu,kama sikosei kinaoneshwa jumanne kuanzia saa 1.30usiku.
 
Back
Top Bottom