Wanaume wagumba..........

Duh! Hapo ni kheri kwenda kumuona urologist tu.

Kwa Marekani urology ni moja ya fani za udaktari zenye ushindani wa hali ya juu kabisa. Kwa Tanzania tukiwa na hata ma urologists 50 nitashangaa sana!!!!

Kaka urologists wa Tz kazi yao ni kuzibua vibabu ambavyo vimeziba njia ya mkojo kwa sababu ya matumizi makubwa enzi za ujana wao!! Sasa unahitaji wengi wa nini? Watafanya kazi gani??

Babu DC!!!
 
Kaka urologists wa Tz kazi yao ni kuzibua vibabu ambavyo vimeziba njia ya mkojo kwa sababu ya matumizi makubwa enzi za ujana wao!! Sasa unahitaji wengi wa nini? Watafanya kazi gani??

Babu DC!!!

huwezi jua
waafrika tunazidi kuwaiga wazungu
trend huenda ikabadilika....urologist wakawa on demand....
 
Haki ya nani, tukikusikia kuwa umeenda kukamuliwa kule ikulu ili upimwe tunakutenga kabisa....

Hivi unaweza kusimama mbele ya nani ukajiita kuwa na wewe ni mwanamume baada ya kwenda kubonyezwa bonyezwa kama vile una mimba changa???

Babu DC!!!

Nimekupata swaafi kabisa laivu bila ya chenga.

Mind-set ya Kiafrika bado kabisa kuikubali hiyo hali.
 
Labda baada ya miaka 100. Kwa sasa bado kabisa aisee.

but isn't it funny kuwa
kuna vitu tunaiga so fast
lakini sio mambo ya sayansi na utaalamu?
i mean miaka iliyopita less than ten years
watanzania wengi walikuwa hawajui nini maana ya valentine day kwa mfano...
lakini leo ni kila mtu anajua...lakini ukiwaambia watu masuala ya kisayansi na utaalam
ni ngumu watu kuelewa?
 
Nilibandika hii kitu kwenye uzi wa Marintonia kuhusu wanaume wa Dar.

Kwa kuanza
Ni Robo Tu Ya Wanaume Wa Dar Wenye Mbegu Zenye Rutuba

Imefahamika kuwa idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba inaongezeka. Katika jiji la Dar es Salaam pekee, inaaminika kuwa ni asilimia 24.9 tu ya wanaume wa Dar es Salaam walio na mbegu za uzazi zenye rutuba, hivyo, wenye uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke na hivyo basi, mimba kutokea. Utafiti huo umefanywa na Idara ya Jinikolojia ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Michelle akatoa povu.

Zege (Chipsi Mayai) ((Kuku wa Kisasa) VS Ugali wa Muhogo/dona na Sato (kuku wa kienyeji).....!!

Kama asilimia 24.9 tu ndo wenye mbegu za uzazi zenye rutuba then serikali ichukue jukumu la kupiga marufuku mashine za DNA, manake asilimia kubwa ya wanaume wenye watoto wamerutubishiwa na wenzao wenye uwezo....huu utafiti uwe siri aisee....Dar itachimbika!

....yawezekana....anything is possible!!

Asprin akauliza:

Baada ya kumalizia utafiti wake Dar utafiti uliendelea na mikoa mingine au kwa kuwa Dar ndio TANZANIA, utafiti uliishia hapo?....

Nikamjibu kuwa

Utafiti unasema average ya 30 to 35 percent ya wanaume walioenda kufanya check up Muhimbili wamejulikana hawana nguvu za kiume. Of course, wanaoenda Muhimbili kutibiwa sio wale wanaoishi Dar tuu. Lakini kuna utafiti mwingine uliofanyika Dar mwaka 2003 kwenye hosipital ya Tumaini Upanga kwa jina "Male infertility in Dar es Salaam" uligundua kuwa asilimia 24.9 tuu ya wanaume wanaoishi Dar Es Salaam walikuwa na nguvu za kiume.

Kuhusu mikoa mingine kuna utafiti ulifanyika Moshi mwaka 2006 kwa jina "Infertility in a community and clinic based sample of couples in Moshi district". Kwenye sample ya couples 269, asilimia 30 ya waume walikuwa na matatizo ya nguvu za kiume. Overall mimi naona tukubali tusikubali hili ni tatizo kwa nchi nzima. Lakini no doubt that Dar inaongoza na sababu zinajulikana.

Alieyanzisha huu uzi ana hoja fulani lakini kaiweka kiumbea.

Sasa kuhusu kwa nini wanaume hawaendi hosipitali kupimwa, niliandika:

...... Kwa kweli hili ni tatizo kubwa sana lakini taifa letu huwa haliangalii social problems like these. Tafiti zinadai nusu ya matatizo ya infertility yanasababishwa na wanaume. Hata hivyo, wakati idadi ya wanawake wanaonenda kuwaona gynaecologists imeongezeka, wanaume wengi simply don't bother hata pale madaktari wanapowashauri wake zao wawalete hosipitali. Hii inakuwa ngumu sana kwa gynaecologists kutatua hili tatizo. Matokeo yake mwanamke anaenda kuzaa na mwanaume mwingine, huku mumewe akidhani ni mtoto wake simply b'se ana-ejaculate.

Ni muhimu both kwa wanawake na wanaume wawe tested. Wanaume wengi wanaona aibu, lakini ni rahisi kupata matibabu kama tatizo likigunduliwa mapema. Bahati mbaya jamii yetu inaamini kuwa mwanaume anaye ejaculate anaweza kumpa mwanamke mimba. Hii sio kweli.

Pia watafiti wanadai wanaume wanachanganya kati ya erectile dysfunction and infertility. The fact that a man's penis doesn't function while in sterility, doesn't mean such man cannot ejaculate. Lakini tatizo wanaume wengi hawaendi kupima afya zao ili wafundishwe kwa udani haya mambo.

Mwulize mwanaume yoyote hata hao wanaochangia kwenye huu uzi, lini walienda kupima afya zao kwa ujumla? I mean general check up na sio lazima uwe unaumwa. Mtu anajahimiana na mwanamke anatoa shahawa basi anadhani anaweza kumpa mwanamke ujauzito. Wanawake wenye watoto wana siri nyingi.
 
but isn't it funny kuwa
kuna vitu tunaiga so fast
lakini sio mambo ya sayansi na utaalamu?
i mean miaka iliyopita less than ten years
watanzania wengi walikuwa hawajui nini maana ya valentine day kwa mfano...
lakini leo ni kila mtu anajua...lakini ukiwaambia watu masuala ya kisayansi na utaalam
ni ngumu watu kuelewa?

Tunaiga yale mepesi mepesi tu. Watu wanajua kinachoendelea States kuliko hata watu walioko States.

Mimi natabiri ndani ya miaka 5 ijayo Watanzania tutakuwa tunasherehekea Thanksgiving day, kuna mbunge atapendekeza tuwe na electoral college system katika chaguzi zetu, tutakuwa tumeacha kabisa kutumia British English na kwa asilimia zaidi ya 90 tutakuwa tunatumia American English....tutakuwa tunaendeshea magari upande wa kulia (usukani ukiwa mkono wa kushoto).....na mengine mengi tu.
 
Tunaiga yale mepesi mepesi tu. Watu wanajua kinachoendelea States kuliko hata watu walioko States.

Mimi natabiri ndani ya miaka 5 ijayo Watanzania tutakuwa tunasherehekea Thanksgiving day, kuna mbunge atapendekeza tuwe electoral college system katika chaguzi zetu, tutakuwa tumeacha kabisa kutumia British English na kwa asilimia zaidi ya 90 tutakuwa tunatumia American English....tutakuwa tunaendeshea magari upande wa kulia (usukani ukiwa mkono wa kushoto).....na mengine mengi tu.

umenichekesha mno NN
eti fathers day na sisi tunasherehekea now
kwenye media utasikia eti leo ni fathers day..
bado haloween tu.....lol
 
Tunaiga yale mepesi mepesi tu. Watu wanajua kinachoendelea States kuliko hata watu walioko States.

Mimi natabiri ndani ya miaka 5 ijayo Watanzania tutakuwa tunasherehekea Thanksgiving day, kuna mbunge atapendekeza tuwe electoral college system katika chaguzi zetu, tutakuwa tumeacha kabisa kutumia British English na kwa asilimia zaidi ya 90 tutakuwa tunatumia American English....tutakuwa tunaendeshea magari upande wa kulia (usukani ukiwa mkono wa kushoto).....na mengine mengi tu.

Pia mie ningerudishwa nyuma kama miaka 30 hivi, lazima ningeenda kuoa huko States ili Obama awe baba mkwe wangu!

Seriously,

Tatizo hili ni kubwa sana ila limekaa kama mambo ya ugoni...Hadi muhanga anajua, ni too late!

Babu DC!!
 
If I may add something following the loooong post from EMT: Most men think that women always know who the father of their babies are... it is not that easy, especially when she has regular intercourses with more than one (fertile) man. Up to 3 or 4 days difference in the intercauses dates are short enough to confuse a woman. Sometimes they also need the DDNA test to get the confirmation of what they just suspected
 
This I agree with you. Not all women know who the real father (of their baby) is especially if they were having promiscuous sex around the time they conceived.

I know a few girls who were in that situation before.
 
I think it was important I mention this because EMT said 'wanawake wenye watoto wana siri nyingi'. As you say, sometimes they are as ignorant as men... all they know is that they cheated (or were given permission to have extramarital affairs) but sometimes they couldn't tell who the father (of their babies) is .
 
If I may add something following the loooong post from EMT: Most men think that women always know who the father of their babies are... it is not that easy, especially when she has regular intercourses with more than one (fertile) man. Up to 3 or 4 days difference in the intercauses dates are short enough to confuse a woman. Sometimes they also need the DDNA test to get the confirmation of what they just suspected

Nakubaliana na wewe kwamba mwanamke akitetembea na wanaume wawili kabla ya conception hatajua which one is the father of her child. Lakini mwanamke ambaye nia yake ni kupata mtoto sidhani kama atatembea na wanaume wengi at once. She will set her target kama target ikigoma, she will move on to the next one. The Boss himself kadhibitisha hili hapo juu. So kama mwanamke ametembea na mwanaume akijua anachokitaka kutoka kwake it is highly probable atajua baba wa mtoto ni nani.

Lakini mwanaume cannot say categorically that he is the father of his child based on what the wife told him. Anakuwa believer tuu. So, the issue turns to trust. Kama mwanaume anamwamini huyo mwanamke then, he will trust what she tells him. Otherwise, itakuwa mambo ya DNA au labda pale mtoto anapokuwa photokopi ya mwanaume husika.

This is why men always pray to God give them The Virtuous Woman. This is also the reason why many people trace their lineage through the offspring of their female children. They don't want to mix up things. :)
 
Tatizo lingine linakuja pale DC anapoomba ndugu zake 'wamsaidie'. at the end of the day mke kasaidiwa na ndugu wa mmewe, the kud looks like the grandpa, and she slept with three brothers...
I know many families that encourage closer relation with the mjombaz than the bamdogoz.
 
I think it was important I mention this because EMT said 'wanawake wenye watoto wana siri nyingi'. As you say, sometimes they are as ignorant as men... all they know is that they cheated (or were given permission to have extramarital affairs) but sometimes they couldn't tell who the father (of their babies) is .
hao wamama wote itabidi tuwakusanye tuwapeleke kwenye show ya Maury!.

http://youtu.be/HMgjJFW9GQg
 
Back
Top Bottom