Wanaume wagumba..........

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,847
Kuna jambo nimekutana nalo limenishangaza mno
nimeona nililete hapa na watu wengine waeleze uzoefu wao...

kuna watu wawili tofauti nawajua.....
inasemekana hao watu ni wagumba...
licha ya kuoa mda mrefu hawakufanikiwa kupata watoto
lakini wake zao walikuja kuzaa watoto....na inaonekana ni watoto
wa nje....au watoto wenye baba wengine.....

sasa hapa ndo nikabaki na masswali kibao ya kujiuliza....

kwa nini wanaume wengi hawataki kwenda hospitali kupimwa???
kwani inasemekana asilimia 90 ya matatizo ya ugumba yana tiba

la pili ni kwa nini inavyoonekana ni kuwa wanaume wakiwa wagumba
wanawake hutafuta watoto nje....?

na kwa nini wanaume huonekana kukubali hali hiyo?????

na je nyinyi mna ozoefu gani na kesi kama hizi?

mimi nimebaki nashangaaa na haya mambo......
 
What if they decide together to do it? people can be desperate sometimes, they do unexpected things. Mbele yenu wanajifanya hawajui kua sio wao but if you could notice that, he could notice it too...
 
The Boss,

Katika dunia ya Afrika, hakuna mwanamume mgumba...Ndiyo maana mke asipozaa ni tatizo lake na siyo la mwanamume!

Na kama ndo hivyo, ataenda hospitali kupima nini wakati haumwi?

Hata hvyo hayo matatizo mengine ya kuhanja hanja nje kutafuta ka-baby ni ya kujitakia. Mila zetu zina solution ya karibia kila kitu....!!!

Enzi zetu, mwanamume alifanyiwa test kwa kupewa mwanamke mwingine eg shemeji zake. Ikishindikana basi mke wake anaombwa apate huduma ya shemeji zake...Lengo ni kuficha aibu ya ukoo!!

Babu DC!!
 
unajua niliwahi experience
mwanamke mmoja kunitokea kwa nguvu mno
huku ameolewa.....halafu kama hajali watu kujua..
nilimkwepa...later on nikagundua mumewe ana tatizo hilo
huyo dada kazaa na mwanaume mwingine but still yupo kwenye ndoa..
nilibaki puzzled nilipokuja gundua the truth mwishoni....
 
Male infertility treatments kwa Tanzania haziko advanced kihivyo. Sasa ukichanganya na male ego ndiyo inakuwa balaa kabisa.

Mwanaume gani wa Kiafrika atakubali kirahisi rahisi kwenda kupimwa rutuba yake?

Kweli kaka,

Hivi kuna mtu anaweza kupata courage ya kumweleza mwanamume wa Kiafrika kupima afya yake ya uzazi?

Kama ni mie lazima nitasababisha deformity ya reception kwa gharama yoyote!

Babu DC!!
 
The Boss,

Katika dunia ya Afrika, hakuna mwanamume mgumba...Ndiyo maana mke asipozaa ni tatizo lake na siyo la mwanamume!

Na kama ndo hivyo, ataenda hospitali kupima nini wakati haumwi?

Hata hvyo hayo matatizo mengine ya kuhanja hanja nje kutafuta ka-baby ni ya kujitakia. Mila zetu zina solution ya karibia kila kitu....!!!

Enzi zetu, mwanamume alifanyiwa test kwa kupewa mwanamke mwingine eg shemeji zake. Ikishindikana basi mke wake anaombwa apate huduma ya shemeji zake...Lengo ni kuficha aibu ya ukoo!!

Babu DC!!

yaani kuna mambo yanashangaza mno kwa kweli
sasa kwa nini watu wasi adopt tu
kuliko kuona mwanamke yuko bize kutongoza vidume wengine?
 
unajua niliwahi experience
mwanamke mmoja kunitokea kwa nguvu mno
huku ameolewa.....halafu kama hajali watu kujua..
nilimkwepa...later on nikagundua mumewe ana tatizo hilo
huyo dada kazaa na mwanaume mwingine but still yupo kwenye ndoa..
nilibaki puzzled nilipokuja gundua the truth mwishoni....
Kama alifanya wazi kabisa bila kujali watu kumfikishia mumewe, maybe she had discussed (and agreed on) it with her husband.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuu,

Kumbe ulishakaribia kufanywa dume la mbegu?

Do you look like one??? (sorry kama nimefanya uchokozi...ila mhhhh.....)

mkuu DC kwa kweli sina hakika hasa
na nini alitaka kutoka kwangu
na mimi nilikuja kujua ukweli baadae
sijui hasa kama alikuwa na nia hiyo au la...
najua tu alikuwa anakuja kwangu kwa nguvu
na mimi mumewe namjua nilikuwa siko tayari
ukweli nilikuja kuupata baadae.....
 
Kama alifanya wazi kabisa bila kujali watu kumfikishia mumewe, maybe she had discussed (and agreed on) it with her husband.

Nakubaliana na wewe kabisa,

Jamaa alishapitishwa kwenye vipimo na vikao vyote...I bet, even written minutes of such meets were available in the bedroom files!!
 
Kweli kaka,

Hivi kuna mtu anaweza kupata courage ya kumweleza mwanamume wa Kiafrika kupima afya yake ya uzazi?

Kama ni mie lazima nitasababisha deformity ya reception kwa gharama yoyote!

Babu DC!!

Hahahahahaaa umenichekesha kweli kaka. Watu wanaichezea ego ya mwanaume wa Kiafrika.

Mfumo dume bado unatawala sana katika jamii zetu za Kiafrika.
 
Nakubaliana na wewe kabisa,

Jamaa alishapitishwa kwenye vipimo na vikao vyote...I bet, even written minutes of such meets were available in the bedroom files!!

inawezekana aisee
sasa hapo utaona 'desperate situations'
zinavyowabadili watu

usikute aliwahi kusema huko mwanzo mkewe akitoka nje tu ni talaka
lakini tatizo linamfanya hadi mtu ashiriki kumsaidia mkewe 'kutoka nje;..
 
Back
Top Bottom