Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

yaan ni kweli kabisa, mara mkutane mlman city, mara mkachek muvi, mara umpgie cmu ucku huku una usingz, mara ukamnunulie i phone, mara nataka sare ya kwenda kwenye kitchn party ya rafk yake,,asa tabu zote hzo za nini,,wakati mtu ukienda tu hapo salun na elfu 20 yako unapata huduma zote
kuna mdada mmoja hahusiani na hizo.saloon tuliwasiliana katika kutaka kupanga pa kuonana anataka tuonane.UCHUMI QUALITY CENTRE.nikamwambia mimi nataka tuonane Tandika Kwakuwa anakaa. VETERINARY TMK akagoma anasema Tandika hakuna sehemu ya kukaa!.wakati kule anakotaka ni foleni ukiwa na.gari ni kero! yeye kapuku hata baiskeli hana anadharau.Tandika.nilitaja huko kumpima.bichwa lake.nikaona maji tu.nikampotezea.
 
ewaa..ndo maana tunaenda kwy hzo saluni..unapata vitu safi na kw bei rahisi na kwa muda unaotaka..instant at required
 
Weee labda hujawai kushikwa ndevu na hao wadada mi siku nilipooshwa baada ya kunyoa nilitamani nisiamke
 
Ngoja nielekee mitaa ya sinza madukani nikapate huduma hii, wana mikono laini kama sponji
 
Back
Top Bottom