Wanaume waanza kujiuza

hata mie najiuza ,wananiita,kidume cha mbegu,,,,,kcm,,,,,,,,a,k,a ,,,ail,maarufu kishuka,,,,weweeeee...utaipendaga,,,,karibuni,,,,:msela:
 
Uchunguzi wa muda mrefu wa suala hili ulibaini kuwa katika klabu,
kasino na sehemu nyingi za starehe jijini Dar es Salaam,
kuna idadi kubwa ya wanaume wanaojiuza kwa mijimama ya mjini yenye ‘MIHELA’ yao.

ISSUE IPO HIVI:
Uchunguzi ulibaini kuwa vijana wanaojihusisha na biashara hiyo ni wale walio
fiti kwa mazoezi ya ‘gym’ au wababeba vitu vizito wanaosifika kwa kutunisha vifua a.k.a mabaunsa.

USISHANGAE KWAMBA:
Kuna madai kuwa, baadhi ya wanawake wanaowachukua vijana hao ni wake wa vigogo (wanasiasa)
na watumishi wa serikalini ambao ndoa zao hazijatulia.

Kama wadada wakijiuza wanaitwa makahaba,......wanaume wanao jiuza kwa style hii tuwaiteje?

Upumbavu ni zama za giza.
 
Hii kitu si kwa mabaunsa wa klub tu hata kwa WANACHUO WATEGEMEA BOOM wanapenda sana kutafuta mijimama chuoni yenye hela zao ili wawe wanawapa mpunga yaani kuwatoa,Wenyewe wanachuo wanaita KUSAFIRIA NYOTA
 
Hivi hawawezi kusanya hizi energy wakawauzia Ministry of Energy and Minerals kwa ajili ya grid ya taifa?

Mie nashindwa kukuunga mkono kusema wanapenda mteremko!
Kwa nini usichukulie hiyo ni AJIRA (sekta binafsi ?)
huoni anapokua kibaruani kulisatisfai jimama huyu mtu anatumia energy ?
 
Nyie mwa shangaa v2 vdogo hvyo wakat mwanaume ukiwa fit katka majamboz lazma mijimama yenye mihela ikuchukue na ukiirizisha lazma kila cku akupe mpunga wa maana hapo una win kmaisha aisee kwa vle mabwana zao hawawarizsh kabisa datz why wanafanya hv.
 
Hii kitu si kwa mabaunsa wa klub tu hata kwa WANACHUO WATEGEMEA BOOM wanapenda sana kutafuta mijimama chuoni yenye hela zao ili wawe wanawapa mpunga yaani kuwatoa,Wenyewe wanachuo wanaita KUSAFIRIA NYOTA

Hawa mabaunsa si ndio wanaongoza kwa kutatuliwa marinda?
 
Mwisho wa dunia unavyokaribia mbona tutayaona mengi?

hivi kuna mwisho wa dunia kweli au ni blablaaa tu! Nijuavyo mimi mwisho wa dunia ni pale jua litakapoacha kutoa mwanga maana kila kitu kitakuwa ndo mwisho wake!
 
mbona kitambo tu wanajiuza, sio club tu, hata carwash siku hizi vijana wanajilengesha kwa mijimama..........
 
Kuweni mtayajuwa wengi ya watanzania wanawekwa na wanawake, chunguza hata nyumbani kwenu utakuta mama'ko ndio aliomuweka baba'ko.

Ni utamaduni wa Kiafrika, nenda vijijini, wanawake ndio hufanya kazi zote na wanaume kazi yao kubwa ni kukaa vilabuni na kunywa pombe tu.

Duh,kwa hiyo hii ni kitu ya zamani sana eh?
Basi sio mbaya,"haki sawa" naona imeanza zamani ila
ilikua haionekani
 
Hawa waitwa makababu (Maana yanaliwa tuu). Kwa sasa Tanzania wanaume wengi wanapenda mteremko! We unacheza

pool table asubuhi mpaka jioni unategemea nini? Ndo kujiuza kunaanzia hapo

Mie nashindwa kukuunga mkono kusema wanapenda mteremko!
Kwa nini usichukulie hiyo ni AJIRA (sekta binafsi ?)
huoni anapokua kibaruani kulisatisfai jimama huyu mtu anatumia energy ?

Asante sana Judgement kwa jibu lako,hiyo ni ajira pia
naskia wanaingiza mamilioni hao wacheza pool,hasa wale wa mombasa.
 
Back
Top Bottom