Wanaume wa kihaya kugomea vitambulisho vya wakazi

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,536
2,187
kutokana kwamba sisi sio wakazi bali ni washaija, hivyo basi serikali ituletee vitambulisho vya washaija, kama wamekubali kuwaletea wakazi wetu tu? haiwezekani na hatukubali, liwalo na liwe!
 
hapo sasa inabidi wataalamu wa 'linguistic' wahamie BK au la sivyo nasi tupewe mikungu ya ndizi ndipo tukubali kuhesabiwa kama hao watakaochinjiwa pundamilia
 
kutokana kwamba sisi sio wakazi bali ni washaija, hivyo basi serikali ituletee vitambulisho vya washaija, kama wamekubali kuwaletea wakazi wetu tu? haiwezekani na hatukubali, liwalo na liwe!

Iwe ta kamugisha leka kujuma omutwale! Bati enjuma bakulu tejuma omoi= ( Ta Kamugisha acha kuwatukana wakubwa, mtukana wakubwa haishii kwa mmoja)
 
Wakora Ta Kamugisha. Infwact kwa chihaya Wakazi ni wanawake bwana, sasa kugamba eti chitambulisho cha wakazi sisi wanaume tutaandikishwa lini jameni. Sirikali itugambile open before siku hiyo. Ta Kajuna ulio, aba Katerero mlimu, nabakeisa.
 
Back
Top Bottom