Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Hivi mganga wa Lizzy ni yule yule wa Kimanzichana au keshapata mpya?

Hili naloona hapa ni la kweli?
Konnie mie mganga sina ehhhh. . .ila nna kahirizi nilipewa na bibi mzaa babu!!

Alafu unataka kukimbia kwanini Kongosho? Kaa hapo umlinde wifio!!

Mwali
Hamko wengi bana. . .we uko mwenyewe ndo maana huwezi kumtaja (wampenda sana). . .wengine watamchezea tu wamuache.

Erotica. . .anaweza akawa mkaka. . .embu komaa nae utuachie hawa wetu.
 
Last edited by a moderator:
klorokwini
Kloro namwogopa mume wangu. . .naweza lazwa sebuleni bureee!

Invisible
Ushatajwa mara kadhaa, hujafurahi?!

Musimo Jr
Jr huyo ni off limit, yani mtu akifanya mchezo namwendea kwa babu. . .atapata mimba hata kama ni Boflo!!lolz

Haya we ujue biashara huria siku hizi so kama anatajwa sana ujue competition iko high..... review strategy zako
 
Last edited by a moderator:
Konnie mie mganga sina ehhhh. . .ila nna kahirizi nilipewa na bibi mzaa babu!!

Alafu unataka kukimbia kwanini Kongosho? Kaa hapo umlinde wifio!!

Mwali
Hamko wengi bana. . .we uko mwenyewe ndo maana huwezi kumtaja (wampenda sana). . .wengine watamchezea tu wamuache.

Erotica. . .anaweza akawa mkaka. . .embu komaa nae utuachie hawa wetu.

teh teh teh. nishakua mkaka. nani Saint Ivuga?
 
Last edited by a moderator:
Mwali, usihofu wakimtaja, kasema weekend hii tunaenda wapi kweli, sijui away sijui fishing.

Ngoja nimuulize vizuri ila kasema u-reserve wiki hii. Kutakuwa na kuogelea, kuvua samaki, bbq and the like.

Andaa vitu vizuri sawa?

Hi EMT!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom