Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Ndo sasa uniambie. . .do you like girls aswell!?!!!

Hehehe sitaki kusutwa mie. ,ngoja aje mwenyewe. Alafu kuna mwingine hapo nae inabidi umfute fasta. . .ukifantasaizi kuhusu yeye tena unapata mimba!!

Girls kama ni Preta i can think about it. :wink2: Lizzy umepinda wewe! Nitapanda mimba kwa

kufantasize? nani huyo? Mwali akija nambananisha anipe ukweli ni nani. teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
akyanani mwali ataua mtu.

Ngoja niandae vifaa vya kwenda kuvulia samaki.

Girls kama ni Preta i can think about it. :wink2: Lizzy umepinda wewe! Nitapanda mimba kwa

kufantasize? nani huyo? Mwali akija nambananisha anipe ukweli ni nani. teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Girls kama ni Preta i can think about it. :wink2: Lizzy umepinda wewe! Nitapanda mimba kwa

kufantasize? nani huyo? Mwali akija nambananisha anipe ukweli ni nani. teh teh teh
Hehehe. . . .basi mweke Preta badala ya Cookie pale.

Yani hapo ndo ujue umeshaendewa kwa babu. . .lolz
Sijui utasema umeipata wapi!! Hhhmmm. . .kama Mwali atasema sasa. . . .
 
Last edited by a moderator:
Nimejaribu kumkonvinsi kwamba mimi ndio kwanza nimemaliza kidato cha form six lakini kanijibu "jizee kitambi hovyoo"

Sasa we unamdanganyaje mzee mwenzio?!Unadhani hajui mapigo yenu ehhh?
According to The Boss..... JF is never boring

I co-sign

Yeahh we all know that Cookie
Unajisikiaje kuhusu kuwa kwenye list ya Erotica.
 
Last edited by a moderator:
klorokwini, EMT, Nyani Ngabu, Invisible, TIMING, Mbu, Fang, Cookie, The Boss, gfsonwin, fazaa, Mtambuzi, Bishanga, Mzee Mwanakijiji

The above list is the ones I consider hot and fantasize about. teh teh teh
Erotica wewe ni mkorofi... Lizzy, unaonaje tumchukulie hatua?
Mi kwangu pia nadhani lazima Boflo is hot. Sijui mwasemaje hapa?
Invisible lazima awe kwenye list, he is such a mysterious member. lol
Zaidi ya hao ongezeni Saint Ivuga, he's is hot (smoking hot) lolest
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom