Wanaume uwezo umeshuka?

kwani kufika kileleni ndo aje kweli kuwa serias mimi sijawai nasikiaga tu. Kama wewe ni mwanaume utajuaje mwanamke wako kafika? Na kama wewe ni mwanamke utajuaje nimefika?
wee ni process ambazo tumejaaliwa wachache ina techniq 7

Ivi unampata mtu kama MR aliyepata sugu kwa kuchungulie lile jukwaa,, afu usimnywee si atakudharau?

Sasa kwanin umwache mmeo ale chips na mayai tu ilhali ukijua kabisa ndani ya mda mfupi jogoo hatawika tena?akina dada wengi ndo mizigo mmekuwa wanawake sketi hamjuhi tena kupika home,hamjuhi mwanaume anatakiwa ale nini na asile nini kazi yenu ni kuzurura alafu unarudi na vichips eti ndo chakula cha usiku,bnafsi nikila chips hata jogoo hasimami mbali ya kuwika,mpe mmeo magimbi,miogo,viazi,supu ya samaki alafu uone shughuri yake,weeeh!

Wa baba kuleni vyakula vinavyoeleweka, unamkuta mkaka naangiza mi nataka matunda, eti ndo lunch, usiku nyama choma na ndizi moja, unategemea usiku kuna kitu kweli au ndo mwili uko nyororo.

• Thanks
Reactions: Aza
kwani kufika kileleni ndo aje kweli kuwa serias mimi sijawai nasikiaga tu. Kama wewe ni mwanaume utajuaje mwanamke wako kafika? Na kama wewe ni mwanamke utajuaje nimefika?

mwanaume atakayekuwa wa kwanza kukufikisha kileleni utakuja muhusudu mno, atakutesa usipokuwa makini, ikiwa hujawahi fika kileleni, inawezekana unatatizo la network antenna! ama umri wako ni chini kidogo ya 20 na si zaidi ya 22, na huna mtoto. ukikidhi vigezo utalijua jina la alexander nyirenda, bendera ya taifa na kibo peak!!!

mwanaume atakayekuwa wa kwanza kufikisha kileleni utakuja muhudu mno, atakutesa usipokuwa makini, ikiwa hujawahi fika kileleni, inawezekana unatatizo la network antenna! ama umri wako ni chini kidogo ya 20 na si zaidi ya 22, na huna mtoto. ukikidhi vigezo utalijua jina la alexander nyirenda, bendera ya taifa na kibo peak!!!
mi niko zaidi ya 22 hilo tatizo la network antena ndo likoje?

Wa baba kuleni vyakula vinavyoeleweka, unamkuta mkaka naangiza mi nataka matunda, eti ndo lunch, usiku nyama choma na ndizi moja, unategemea usiku kuna kitu kweli au ndo mwili uko nyororo.

Mamndenyi hebu nipe hiyo diet maana mimi huwa ndo napenda hivyo ila bado niko stable kweney fani

hapa ndio WANGONI tunawapiga bao! kule kwetu kuna matunda mengi ya asili. fikiria daily mtu anaiga mapwete(yapo km matango lkn yana mibamiba) madonga, masuku, mangatungu(yapo km maharage lkn yenyewe makubwa) fikiria hiyo menu haya sasa bd msosi mboga likolo na nanyungu, namgujulu mboga ya manyonyoli, lidelelele samaki kuna mbasa mbelele na dagaa nyasa! hahaaaaaa hiyo menu ipige three month viagra nyumaa. kwa nini akina dada wanatufagilia tuko moto mnooo!!! kuna siku demu alishawahi nikimbia eti mbona mtanange wa moto namna hiyo ntamuua hahaa . jamani wanaume kuleni vyakula vya asili haya ma baga sijui nini yanawashushia heshima shauri yenu!

mi niko zaidi ya 22 hilo tatizo la network antena ndo likoje?

mtoto huna, ni kweli! network antenna (ukeketaji) mutilation of female genital, hujaathirika na hilo?

hapa ndio WANGONI tunawapiga bao! kule kwetu kuna matunda mengi ya asili. fikiria daily mtu anaiga mapwete(yapo km matango lkn yana mibamiba) madonga, masuku, mangatungu(yapo km maharage lkn yenyewe makubwa) fikiria hiyo menu haya sasa bd msosi mboga likolo na nanyungu, namgujulu mboga ya manyonyoli, lidelelele samaki kuna mbasa mbelele na dagaa nyasa! hahaaaaaa hiyo menu ipige three month viagra nyumaa. kwa nini akina dada wanatufagilia tuko moto mnooo!!! kuna siku demu alishawahi nikimbia eti mbona mtanange wa moto namna hiyo ntamuua hahaa . jamani wanaume kuleni vyakula vya asili haya ma baga sijui nini yanawashushia heshima shauri yenu!

Sasa mkuu uko huko kijijini mjini hata dagaa wameshawekwa kwenye packet na kuwekwa madawa ili wasiharibike na kama ni maharage yamekaa stoo na yamewekwa dawa kibao . Hivyo hata useme utakula dagaa na maharage na sijui mchicha huo unaolimwa kwenye mabonde ambako maji ya kumwagilia ni yale yanayotoka kweney viwanda vyenye chemicals kibao usifikirie kuna kitu hapo. tena ndo unajiua kabisa

Duh mai sister Rose punguza jazba .... Umeua bendi! yaani ndo unavyotuchukulia wanaume?

Sasa mkuu uko huko kijijini mjini hata dagaa wameshawekwa kwenye packet na kuwekwa madawa ili wasiharibike na kama ni maharage yamekaa stoo na yamewekwa dawa kibao . Hivyo hata useme utakula dagaa na maharage na sijui mchicha huo unaolimwa kwenye mabonde ambako maji ya kumwagilia ni yale yanayotoka kweney viwanda vyenye chemicals kibao usifikirie kuna kitu hapo. tena ndo unajiua kabisa

nakubaliana na wewe hasa kwa hapa mjini dar na mikoa michache sana lkn sehemu nyingi za nchi hii watu wanalima hizo mboga kwenye mashamba yao. nunua dagaa wasifungwa kwenye vifungashio mbona wapo wengi tuu. samaki mimi huwafuata pale ferry kwenye mnada na si hawa wa makopo au wa mwanza wanaokaa kwenye majokofu kwa miezi hata sita. nnapokaa nje nimepanda matembele nnayamwagilia na maji ya dawasa labda clorine inidhulu

Mkuu sikatai wazo lako na kujilimia mchicha na matembele yako ila sasa kwa sisi wengine nyumba za kupanga mwenye nyumba tuu akikuona unachimba shimo la taka ni ugomvi so lazima uishie kununua mchicha wa pale msimbazi
Ila kwa kweli hali ni mbaya sana kuanzia kwenye mafuta, vyakula tunavyokula na mazingira tunayoishi. Watu hawataki kuwa wahalisia wanaishia supermarket mpaka nazi na mchicha hawataki tena kushika shika udongo wapande mboga zao wenyewe wala kwenda kwenye masoko haya ya kawaida kununua nyanya wanaishia kununua vitu ambavyo viko packed na huko ndio kunawamaliza kabisa

Back
Top Bottom