BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
- Thread starter
- #21
Matola hujaelewa.......
Nilichomaanisha ni kuwa mali ambazo nilichuma kabla sijakutana na mwenzangu zinajulikana zote, hapa watoto, mume na ndg wanazijua na hata tulipooana na kuendelea kuchuma mali zinajulikana wazi....
Hakuna mali ambazo namiliki kwa siri bila mwenzangu kujua au watoto kujua....kila kitu kipo wazi........hakuna siri wala vificho.... In case of anything mambo yako wazi kuilinda familia yangu

Kumbe kwenye ndoa kuna mali ambazo hazihusiki na ndoa yenu halafu ndio kuna zile mali za ndoa!!??.....kweli hakukosea yule aliyesema Mwanamke siyo ndugu yako, ni sahihi kabisa.