Wanaume ubongo wetu unakasoro sometimes??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:
 
Kiukweli kama umempata wako wa ubani kisha ukamfanyia hayo tatizo litakuwa ni msingi wa mahusiano yenu,mfano kama ulikuwa unafikiri ndoa ni raha tu bila changamoto,ukaoa halafu ukakutana na utofauti lazima utahisi umeingia choo cha kike na utalazimika ukitafute cha kiume kitu ambacho ni kinyume chake,kwa kifupi haya ni mambo mapana sana yanahitaji muda kuyajua
 
Kuana baadhi yetu huwa hatuki thamini tulichonacho na 2. wake zetu kujisahau 3. tamaa za kijinga
 
Ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:
gve me some more pls
umenena ya KWELI TUPU
SINA CHA KUONGEZA
 
......umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:

Sio kasoro aisee, ndo ukamilifu wa kiume ati...
 
Kiukweli kama umempata wako wa ubani kisha ukamfanyia hayo tatizo litakuwa ni msingi wa mahusiano yenu,mfano kama ulikuwa unafikiri ndoa ni raha tu bila changamoto,ukaoa halafu ukakutana na utofauti lazima utahisi umeingia choo cha kike na utalazimika ukitafute cha kiume kitu ambacho ni kinyume chake,kwa kifupi haya ni mambo mapana sana yanahitaji muda kuyajua

sidhani kama yanahitaji muda kuyajua, ni kuwa hayajulikaniki kwa sababu we are all human being ila hatulingani!
huwezi kujua! cha msingi ni kutenda mema kwa mwenzi wako na kujiweka safe side ukitafakari all risks ambazo wawezapata ukifanya mambo ndivyo sivyo
 
ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:

mnamtindio wa akili
 
Ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:

Hii sio kasoro, ndo wanaume jinsi tulivyo!na hii ndo siri ambayo dada zetu huwa hawaijui kabisa juu yetu!mwanamke unaweza ukamgharamikia sana tu, ukamjengea nyumba, ukamnunulia gari na mambo mengine kedekede, lakini kumbe mwisho wa siku jibaba ulikuwa unataka umege tu mara kadhaa kisha upotezee uangalie ustaarabu mwingine!
 
KAKA KIIZA kama ndio hiyo picha yako mmmh yani inanishangazaga kilasiku unatisha ujue mtu akikuangalia kwa makini.,kama mtoto anaweza lia kabisa
 
Kwa upande wangu naona ni matatizo yako tu na baadhi ya jamaa zako.

Mambo ya ndoa lazima uwe mvumilivu bila ya hiyo umeliwa. Na hilo ndo linalokufanya wewe uhalalishe kuwa ni wnaume wote.
BADILIKA, ZUNGUMZA NA MWENZIO
 
KAKA KIIZA kama ndio hiyo picha yako mmmh yani inanishangazaga kilasiku unatisha ujue mtu akikuangalia kwa makini.,kama mtoto anaweza lia kabisa
Kwahiyo umeamua kunitusi nikushataki kwa Br Mod??mungu anamadhumuni yake kunipa hii sura!jamani kama unanichukia nichukieni mimisikujiumba!!:A S angry:
 
Hii sio kasoro, ndo wanaume jinsi tulivyo!na hii ndo siri ambayo dada zetu huwa hawaijui kabisa juu yetu!mwanamke unaweza ukamgharamikia sana tu, ukamjengea nyumba, ukamnunulia gari na mambo mengine kedekede, lakini kumbe mwisho wa siku jibaba ulikuwa unataka umege tu mara kadhaa kisha upotezee uangalie ustaarabu mwingine!
:nono: NaOMBA nikukatalie kuwa si kwamba wanaume ndivyo tulivyo! sema hata mimi nipo hivyo! basi.

Kuna watu kibao hawachezi na mambo haya, yaani akiacha ujue huyo dada anamatatizo makubwa, lakini kama unakuwa unamgharamikia mtu halafu lengo ni kumega basi wewe subiri Mungu akuadhibu hata kabla ya kufa kwako. na utakufa masikini daima.

Kumega tu mbona siku hizi huduma za machangudoa zipo? si uende umege, lipa na kuondoka, lakini kudanganya watu walio serious ni DHAMBI KUBWA!

ACHA MARA MOJA WENZIO WAMEACHA!!!!:deadhorse:
 
Kwahiyo umeamua kunitusi nikushataki kwa Br Mod??mungu anamadhumuni yake kunipa hii sura!jamani kama unanichukia nichukieni mimisikujiumba!!:A S angry:

Huyo naye ana yake, mwache kwanza wakati hata sura yake twaijua!!
 
wengi wenu wananunua nguo dukani ambayo kaipenda hata kama hana hela atakopa,akifika nyumbani anaanza kuwaza ile nyengine aloiacha dukani kwamba ni nzui kuliko aliyonunua,ukweli utabaki pale pale uliyoipenda kwanza na kununua ndio nguo yako nzuri,hata kitabu kitakatifu kimesema shika sana ulichonacho muovu asikunyanganye.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom