Wanaume tunawavumila ila kila nyakati mnaboa sana

Kila mwanamke anavionjo vyake bana kila ukikukuruka ndo hivyo unapewa masharti eti nisimpapase kalio

inaelekea unafanya hadharani (kwenye foleni za daladala na benki )ndio maana unabaniwa
 
utakuta jamaa kwa kuwa amenunua gari basi hata zoezi la kutembea kidogo hafanyi akija bed anakuwa kama yupo ICU kwa kisukari
Hili nakuunga mkono Marytina....
Ukidamka asubuhi unawahi kwenye garrrri yako full kiyoyozi, ukifika ofisini kwenye kiti chako....full kiyoyozi, ukitoka kazini kwenye garrrri yako, full kipupwe mpaka kaunta......... unapiga biya baridi na nyama choma........ ukitoka hapo kwenye garrri yako mpaka kitandani........... Mtumbo huooooo! Afu wasikumegee mkeo? Khaa!

Wanaume tuukubali ukweli huu.......... Mazoezi muhimu, tutamegewa wake zetu na waendesha mikokoteni.
Msije mkasema sijawaonya!
 
nenda fb na twter.
ukikosolewa usichukie chukulia kama changamoto ya kukuendeleza

Da kweli wanawake ni wavumilivu hivi threads zote zinazoanzishwa za kuwasema wanawake wangekuwa wanalipuka hivi na lugha mbaya sijui ingekuwaje.
 
BADILI TABIA uko wapi? Kuna jamaa anahitaji councelling how to talk, umbadili tabia hii aliyonayo si nzuri ati..
 
USHAURI WA BURE KWENU KINAMAMA MSIOTOSHEKA: Mara zote manung'uniko yenu yamekosa mashiko kwa sababu mnaoleta janga la mzee kulala ni nyie wenyewe. Hamjui hatari gani mnazileta kwenye miili ya waume zenu na hiyo mimafuta mnayojaza kwenye vyakula na mineno mibaya inayotoka vinywani mwenu inavyonyong'onyeza. Sijui nani aliwaambia kutia mimafuta mingi kwenye vyakula ndio upishi.

La pili, mkae mkijua kile kifaa sio kijiti kikavu kwamba kimeumbwa kigumu vile. Kile kinasimama kwa hisia. Sasa kama unanuka vitunguu au jasho unategemea appetite ya mr itatoka wapi? Hapo nikikuuliza vyakula vinavyoleta nguvu na kuamsha ari utaniambia huvijui, kwa hiyo hata huyu unayemlalamikia hapa hapewi almonds wala chai ya saa kumi na karanga. Mmekaa kudai haki tu bila kutimiza wajibu, ebo!

Mimi wife wangu kafundishwa bana, akiona nadhorota tu anabadili diet yangu. Chai ya jioni na korosho, ndizi mbivu sana, asali na tangawizi kama kawaida. Huwa kuna wakati mwenyewe anajuta kujifanya fundi kwa shughuli nzito anayoipata. Jifunzeni nutrition sio kulalamika tu huku wenyewe mnatulisha sembe na miwali daily, eti tukimbie. Nikimbie kwani nimefumaniwa?!
 
Hili nakuunga mkono Marytina....
Ukidamka asubuhi unawahi kwenye garrrri yako full kiyoyozi, ukifika ofisini kwenye kiti chako....full kiyoyozi, ukitoka kazini kwenye garrrri yako, full kipupwe mpaka kaunta......... unapiga biya baridi na nyama choma........ ukitoka hapo kwenye garrri yako mpaka kitandani........... Mtumbo huooooo! Afu wasikumegee mkeo? Khaa!

Wanaume tuukubali ukweli huu.......... Mazoezi muhimu, tutamegewa wake zetu na waendesha mikokoteni.
Msije mkasema sijawaonya!
kwa hiyo anataka apige game na mwili ubaki kwenye hali ya ubaridi kama alivyouzoesha
 
khaah hii nayo kali
 
sikujui ila i can give u a score of 70%
sio wenzako wenye mikwara ya maneno ila wana 30%
 
hahaha umewapa za uso. Subiri waje hapa, kila mmoja atajifanye yeye mtaalam,mjuzi,amebobea. . . . . .
 
Hili nakuunga mkono Marytina....
Ukidamka asubuhi unawahi kwenye garrrri yako full kiyoyozi, ukifika ofisini kwenye kiti chako....full kiyoyozi, ukitoka kazini kwenye garrrri yako, full kipupwe mpaka kaunta......... unapiga biya baridi na nyama choma........ ukitoka hapo kwenye garrri yako mpaka kitandani........... Mtumbo huooooo! Afu wasikumegee mkeo? Khaa!

Wanaume tuukubali ukweli huu.......... Mazoezi muhimu, tutamegewa wake zetu na waendesha mikokoteni.
Msije mkasema sijawaonya!

Uko sahihi kabisa babu!
 
nimewageneralize kama wafanyavyo wao
ukweli wengi ni upepo hawana mtiti wa maana

Inaonekana idadi ya vidume vilivyopita kwenye mwili wako ni vyakutosha hadi ukaja na hiyo conclusion af inaonekana kwa bahati mbaya vyote vilikuwa vimeo...La sivyo usingeyajua yote hayo..Ila thanx kwa kutukumbusha
 
Hili nakuunga mkono Marytina....
Ukidamka asubuhi unawahi kwenye garrrri yako full kiyoyozi, ukifika ofisini kwenye kiti chako....full kiyoyozi, ukitoka kazini kwenye garrrri yako, full kipupwe mpaka kaunta......... unapiga biya baridi na nyama choma........ ukitoka hapo kwenye garrri yako mpaka kitandani........... Mtumbo huooooo! Afu wasikumegee mkeo? Khaa!

Wanaume tuukubali ukweli huu.......... Mazoezi muhimu, tutamegewa wake zetu na waendesha mikokoteni.
Msije mkasema sijawaonya!
sisi ndio wanaume bana!
Source:Aspirin.
Kumbe sio 'wavulana ' tu na so called 'wanaume' wanamegewa pia?hahaaaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom