The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,448
- 17,147
This is just a reminder.
Nawakumbusha ndugu zangu faida za kufanya ngono kila siku, najua mnazijua na kuzifahamu, nawakumbusha tu.
Ngono kama tendo la burudani kuliko matendo yoyote duniani lina faida lukuki hasa kwa wanaume ikiwa ni pamoja na kupunguza msongo wa mawazo, kupunguza uzito, kuuongeza siku za kuishi, kuondoa magonjwa madogo madogo, kuongeza kinga ya mwili na nyingine nyingi.
Msikatishwe tamaa na wale jamaa wanaosema kwamba ili uishi maisha marefu acha ngono, huo ni uongo mtakatifu, hizo ni kauli za wasio na nguvu za kiume wakijifariji kwamba kukosa kwao nguvu za kiume kutawaongezea siku za kuishi hivyo kushawishi walio na nguvu kuungana nao katika ubatili wao.
Fanya ngono mara nyingi kwa siku au wiki kadri uwezavyo, piga goli nyingi kadri uwezavyo, kuwa na wanawake wengi kadri uwezavyo ili wakusaidie katika kutimiza hili.
Mimi nawakumbusha tu, injili inasema peleka neno kwenye misuko suko, wakikataa nawa mikono uondoke. Kua mseja uishi maisha mafupi.
Sharing is caring. Mjumbe hauwawi.