Wanaume toeni ukweli wenu juu ya hili

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
kwa nyakati hizi wanaume mnapenda kuoa wanawake vimodal au tipwatipwa nategemea majibu individual kwa sababu kila mtu ana interest zake
 
Mie napenda size ya kati asiwe mwembamba sana na awe na nyama tumbo flat mahaga mabwepande ya kutosha
 
Mie napenda size ya kati asiwe mwembamba sana na awe na nyama tumbo flat mahaga mabwepande ya kutosha

me too, awe mtu ambaye nikimuona nahisi kumpenda na kutamani kudo hata njiani. Sio dude linakuwa dah! Mpaka unahisi siku ukiangukiwa unakata roho,au anakuwa mwembamba mpaka unajiuliza,hivi huyu hata mimba itakaa wapi?
 
Back
Top Bottom