Wanaume sio SACCOS au DECI jamani

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Dubai trip = Kiwanja cha Eka 1 hapo Boko
1 Brazilian Wigi = Mifuko 68 ya
Simenti
1 Handbag ya Jimmy Cho = 10
Tankers of water
1 Quality High Heel shoe = 1 Trailer of sand
1 BB Torch = 1500 Blocks

... Halafu cost yote hii unaambiwa
wewe kidume umlipie Mwanamke
wakati kwa cost hii unaweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Boko ukaishi na mke na watoto
Girls,Hamuwezi kuwa serious...Wanaume sio Saccos au
DECI jamani kuweni na huruma,watu hela hazikai,Wallet inatia huruma! :D:D

Courtesy of sethought blog.
 
sasa mwana kama wewe waona huwezi sii unatulia pembeni tuu...wapo ambao wanaweza kuwafanyia hivyo madada bila wallet kupungua kivile.nenda na madada wa ngazi yako usijitie pressure bure.
 
Sasa na wewe siutafute wanawake wanaoelewa maisha? Unahangaika na masista du wa mjini wanaojua na kujali kuvaa na kula tu alafu unalalamika? Ukichagua sampuli hiyo ikubali, kama huiwezi badili aina ya wanawake unaokuwa nao.
 
Kama huna pesa unahangaika na wanawaka wa kazi gan sasa?
 
Kama huna uwezo nao kaa pembeni waendelee wanaoweza.....tatizo liko wapi? Wewe unalalamika wakati kuna wenzio wanatafuta wa kuwachuna! Yani jana nimejionea kioja jamaa anaita mabinti anawaambia wachague vitu vilikua vinauzwa bill ikafika milioni akasema bado chagueni tuuu,niliondoka bila kupata jibu kama huyo jamaa ni mzima au laa!
 
Hahaha! Mnaanzaga na ma-advertise afu mnakimbia! Mtakoma, na hivyo vijizawadi viambatane. Hujaongelea brunch ya jumapili ya leo hapo double tree,lol
 
  • Thanks
Reactions: LD
tafuta kuku wa kienyeji ili ujihakikishie minimum bills with maximum service
 
Kaka imekula kwako
Dawa yao usijenge banda mkuu, we pita fasta kisha kama hukuwepo
ukitaka umaximize mtoko wa kwanza haiwezekani, na kama amebana usijaribu kuongeza advert ili akubali,
otherwise, nenda tu ambiance pale sinza, au chipukizi hapo moro, au makoroboi pale mwanza, au kwa mrina pale arusha, au malindi & pub alberto kule moshi, chako ni chako hapo dodoma wapo wengi tu, kwa BB torch unapita nao kama 60 hivi, hapo lazima utakuwa umeridhika,
kama hukuridhika una matatizo mengine, ingia bafuni na Revlon, au sabuni ya kufulia
 
kila mtu ana mambo yake anayoyapenda, huyo mwenzio hayo ndo anayoyapenda... mtimizie au unataka akaombe nje?? if you wife love money, then be the 'bank'.
 
Kama unapiga hesabu hivyo wewe hata kiatu hununui,hivyo ni vijimambo tuu hapo haja nunua gari lakutembea mtoto anaempa raha,mie naona wewe bora ukatafute mwanamke huko boko ili usipate tabu yakulipa nauli ya dala dala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom