Wanaume sio ATM!!!

Utadhani ndo wewe uliyekua upande wa pili wa meza Fynest!!!Mzima lakini mchumba wa muda???Lolzz!!!
Salama kabisa mchumba wa muda baadhi ya wadada inabidi wawe wastaarabu kama huyo msichana aliyependwa na rafiki yako ameishapoteza bahati kwa mambo aliyoyafanya.
S
 
Lizzy thanks for this useful sredi

VOR na The Finest wameongea almost mawazo yangu kabisa

Ila sasa unakuta mtu unajifanya 'kipofu', unafanya yote kulingana na demand zake, lakini omba kwenda tabenako uone kasheshe yake...visingizio kibao...hapo mtu unajua 'hii si rizki' unachapa lapa

Halafu wanakuja baadaye oooh 'tuna nuksi mbona hatuolewi au kupata BF' usawa huu kuna mtu atakubali kuchunika kinamna hiyo kweli?

Nimechoka kabisa
 
Kweli usawa huu watu wanaangalia umuhimu wa mtu na sio starehe.
 
how are you Michelle...lets go...nionyeshe Pauline alipo?:sick:

Am fine Kaizer,how are you? una kifaa kipya kinakula ATM nini mbona una beep sana siku hizi hapa JF?isije ikawa kimelamba hadi hela ya internet? manake sisi wapenda ATM tunajua kuzichota haswaaaaaaaaaaaa......l.o.l
njoo nikupeleke Pauline alipo!!!:laugh::laugh:
 
Mweeee!!
 
Duhh Kweli huyu hafai kabisa and the guy should have stopped at the shopping stage.... Huyo ni wa kuogopa kama ukoma... Duhh Lizzy ulitaka kumtumbukiza kaka wa watu kwenye matatizo???

Lakini unakubaliana na mimi it makes sense mwanzo wa mapenzi kwa dada kupenda kuwa na back-up ya mwenzake for support au?
Mhh. What kind of support ? hapo mwenye akili yake moja kwa moja anjua msindikizaji ndiye decision maker, wakitoka hapo mhusika ata draw conclusion kutoka kwa msindikizaji (i.e mwnye kusindikizwa hana maamuzi juu ya mambo yake mwenyewe)-lol
 
Hapo kuna ukweli ndani yake. Kama muhusika bado hana uhakika na anahitaji convincing, omba mungu msindikizaji awe upande wako.
 
Hata usiwateteee.wengi wao wanapenda wenyewe kwa hiari yao kuitwa ATM.Tena wanashindana kabisa ili waonekane ATM ya Barclays na sio NMB.
 
Mimi nakubaliana na V of R kuwa sio vibaya mwanamke akija na shoga'ke kwenye date ya kwanza ili aweze kusaidia kumthaminisha jamaa aweze kumshauri baadae kama atamfaa baada ya hapo inabidi aje peke yake lakini hili la vocha kila kukicha alafu hapigi inaboa na mwimbaji MR.Paul aliimba kwenye wimbo 'dola kumi kila simu waishia kunibipu wampigia nani' ?
 
I know you hate me now than anyone here . . . .:coffee:

mmmmhhhh not really,sema umeusoma udhaifu wangu and unautumia kuniangusha.....kwa kunichokoza every now and then......:A S 20::A S 20:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom